Hivi Serikali hii ya Awamu ya 5 imeshindwa kweli kumshika na kumshtaki mtu anayeitwa Kigogo2014?

Status
Not open for further replies.
Hivi huyu kigogo ndio yule aliyetukanwa sana humu kisa amemshambulia mbowe?

Nijuavyo
, Tanzania haina sera za siri za kuwafatilia wapinzani wa serikali

Hii ya kusema tcra wameandika barua twitter, tiss wanamfuatilia, mala tanpol ni uzushi na kujitafutia umaalufu tu, na umaalufu zaidi anaupata kwa hawa vijana wenzetu ambao kazi za vichwa vyao ni kuamini kwanza kabla ya kuhoji.
 
ili nibidi nicheke sana mkuu asubuhi hii

maendeleo hayana chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdude na wengine waliokamatwa, mtanzania wa kule kijijini anafaidika na nini?
Watu wengi wanajibu kwa mihemko ya kisiasa hawajajua point yako.(kiini cha swali).

Kuna udhaifu mkubwa katika taasisi yetu ya usalama.
Huyu Kigogo hakamatwi aitha kwa sababu zifuatazo;
-Kushindwa kumpata kutokana na udhaifu wa taasisi kiutendaji.
- Mkakati maaluma wa kutokumkamata ili kufikisha ujumbe fulani kwa mamlaka za juu kuonyesha hali ndani ya taasidi sio shwari.
- Taasisi ya usalama haiko pamoja kiutendaji na serikali ilioko madarakani.
 
Hii sms imenigusa sana ubarikiwe sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ina mambo mengine mengi, kama mtu sio threat kwa Taifa kuna haja gani ya kumkamata?
Na kwann unadai kuwa wameshindwa ilihali hatujawahi kusikia serikali ikitangaza kumtafuta.

Mimi binafsi namuona kama mtu wa kujitungia story zisizo na kichwa wala miguu, mwenye chuki kwa Magufuli, much know fulani, dharau na kiburi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali isipoteze muda wake na raslimali kupambana na watu kama Kigogo. Kuna mambo muhimu zaidi ya kufanya. After all watanzania wangapi wanasoma tweet zake?
 
Kigogo2014 ni nani?
Jinsia gani?
Mtaifa gani?
Ni mtu au taasisi?
Anpata wapi taarifa na nyaraka nyeti za govt?
Anaishi wapi ndani au nje ya Tanzania?
Sura yake halisi je, ni ipi (anafananaje)?
]Ni mwanaharakati mzalendo au mzandiki?

Haya yote yanajibika kwa @mdudechadema@idrisssultan na wengineo katika mifano yako ila si kwaKigogo2014

Ila pia kwanini akamatwe? Shida ni nini?

''Deception is the state of mind, and the mind of state" JJA CIA chief of CI.

"open your eyes wake up to lies"


"open your eyes wake up to lies"
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…