Hivi Reginald Mengi ni CHADEMA?

Hivi Reginald Mengi ni CHADEMA?

mengi ni chadema moyoni na ccm machoni mwa jamii. kwa kifupi anajifanya yupo ccm tu kwa ajili ya maslahi ya biashara zake na jinsi ya kupata nafasi za kuliibia taifa hiki kama vile alivyotaka kutuibia visima vya gesi.

Wana JF naomba mnisaidie kujua hili kwa uwazi pasipo matusi na kejeli.
Najua wazi kuwa Mengi kuwa mwanachama fulani cha Siasa siyo dhambi wsla kosa, lakini hoja yangu ni pale anapotumia fursa aliyo nayo kutumia vyombo vya habari kukashfu chama tawala, anatoa fursa kwa viongozi wa Chadema kutoa kashfa kwa vyama vingine na kuyapa muda mwingi sana matukano na kejeli hizo, mfano ITV hutangaza habari nyinngi sana za Chadema hususan ni zile za maneno ya wabunge wanaozungumza mambo ya kuiponda Serikali, Pia kuna tukio jingine nalo lilitushangaza Watanzania, Kwanini Mtei alizindua kitabu chake cha "gother to governor" kwenye Hotel ya Mtei? Je tuamini kwamba ni kwa vile wote wanatoka ukanda mmoja? Naomba majibu ya hoja siyo kejeli na matusi.
 
Mods mngekuwa mnatimiza wajibu wenu na kuwa fair kwa hili jamvi letu, ujinga kama huu wa mleta mada usingeruhusiwa kudumu hata kwa dakika tano. Kwa kweli mnaonesha dharau kubwa kwetu wana JF...fikiria mtu anaingia humu kwa mara ya kwanza kabisa halafu anakutana na upuuzi kama huu ulioletwa na anayejiita Makusudically; bila shaka akitudharau ni halali yake. Makusudi hapa ya Makusudically ni kuishushia hadhi JF, nothing more nothing less!

CC:
Cookie, Mhariri, Active, Moderator

kwa7bu gani utolewe? Jf ni mali yako? Au unachangia peke yako? Huna hoja, kaa kimya! Usiwashwe kwa pilipili usiyoila!
 
kwa7bu gani utolewe? Jf ni mali yako? Au unachangia peke yako? Huna hoja, kaa kimya! Usiwashwe kwa pilipili usiyoila!

Majibu haya nimeyazoea kutoka kwa alhaji Ritz, ndio wewe nini?
 
Last edited by a moderator:
Anashabikia Ccm, Na Sabodo Je Utasema Anashabikia Chama Gani??
ninachojua kama sio kuhisi, sabodo na waasia wenzake wanawasiwasi siku wapinzani wakiingia madarakani wanaweza kuanza na wao kwa kuliibia taifa hili kwa miaka mingi. kwa hiyo wanachofanya ni kujaribu angalau kujipendekeza kwa wapinzani ili likitokea la kutokea wao angalau na pakujishikiza.
mrema wakati anagombea urais 1995 aliapa kuwashughulikia wezi wote bila shaka akiwepo chavda aliyemfukuzisha uwaziri. mchungaji mtikila yeye hana simile kabisa kwani huwaita magabachori.
 
CCM wote ni wapuuzi.

*hupuuza mambo muhimu na kushededea ya kijinga.
 
Mengi ni nani?
Mtu mmoja anawezaje kuumiza watu vichwa?

Aingie tu chama chochote hata cha wala gongo haina shida.

Ccm ni ngumu sana kuitoa madarakani.
 
Mengi ni mfanyabiashara smart asiejihusisha na chama chochote in my opinion. Akiongea anagusia issues tangible zenye manufaa kwa wananchi nabkwake binafsi. Namheshimu kwa hilo
Mengi ni nani?
Mtu mmoja anawezaje kuumiza watu vichwa?

Aingie tu chama chochote hata cha wala gongo haina shida.

Ccm ni ngumu sana kuitoa madarakani.
 
Mengi ni mfanyabiashara smart asiejihusisha na chama chochote in my opinion. Akiongea anagusia issues tangible zenye manufaa kwa wananchi nabkwake binafsi. Namheshimu kwa hilo
jidanganye.
 
Mengi ni mwanachama wa chagadema siku nyingi tu.
 
Mengi ni mfanyabiashara smart asiejihusisha na chama chochote in my opinion. Akiongea anagusia issues tangible zenye manufaa kwa wananchi nabkwake binafsi. Namheshimu kwa hilo
Ndiyo unavyojidngaya na akili yako hivi.
 
taarifa zilizonifikia hivi punde ni kwamba dr slaa amekubali kumpisha mengi ili ndo awe mgombea urais kupitia chadema,ndo maana kasi ya mengi kuonekana kwenye tv zake imeongezeka mara dufu hivi karibuni.
 
Hivi Wachagga waliwafanya nini?Hivi hawatakiwi nchi hii?Hii mada ni ya kikabila.Ni mada ya chuki
 
Hivi Mambulula kumbe gonjwa la kudumu, Sasa ITV hata angekuwa ni yeye na mkewe wanaongea, yakuhusu nini, TBC ni ya nani na wanaonyesha vipindi vingi upande gani? Huna faida kwa taifa naona wewe
 
Hivi Wachagga waliwafanya nini?Hivi hawatakiwi nchi hii?Hii mada ni ya kikabila.Ni mada ya chuki

Lazima ukweli usemwe. Mengi kinachomsumbua ni ukabila. Uchaga ndo unaomsumbua. Kwa sababu na wewe ni mkabila ndio maana unajitia upofu. Wewe ni kati ya watu walionufaika kupitia ukabila. Ajira yako CHADEMA makao makuu ilifuata msingi wa ukabila tu. Hivyo hatutegemei mchango tofauti na huo.
 
mleta uzi ana akili ya kizamani sana ! Ile ya chama kushika hatamu ! Ama ni kikongwe au ni kiongozi wa ccm mwenye elimu duni mno ! Mengi siyo mhariri ,
 
Back
Top Bottom