Hivi Reginald Mengi ni CHADEMA?

Hivi Reginald Mengi ni CHADEMA?

Mengi ni mmoja ya wazalendo na ni tajiri pekee mwenye ubinadamu
 
Mbona nape na mwigulu walifanyia mkutano kwenye ukumbi wa baba yangu ambaye ni chadema?ina maana kina nape ni chadema? Natamani kuktolea tusi kubwa sana ila najiheshm. Ila jua unastahl tusi kubwa sana.
 
Sasa wewe ulitakaje?

Inachofanya ITV ndiyo ethics za taaluma ya habari, ya kubalance habari. Kwa maana ya kutangaza habari za CCM, na vile vile kuzipa pia nafasi, habari toka vyama vya upinzani.

Pengine wewe ulichokuwa unataka, kwa kuwa Mengi ana kadi ya CCM, basi hata vyombo vyake, unataka viwe biased, wazi wazi kwa kupendelea CCM.

Taaluma ya habari hailikubali hilo, na ndiyo maana hata Star TV, ingawa mmiliki wake, Anthony Dialo, ni kada mkubwa sana wa CCM na pia ndiye mwenyekiti wa CCM, mkoa wa Mwanza, lakini bado Star TV, angalau inajitahidi tahidi, kubalance habari.

Mtu peke yake ambaye anaushangaza umma wa watanzania, ni Clement Mshana, mkurugenzi wa TBC, ingawa yeye Mshana anajua wazi kuwa TBC ni steshani ya umma, na inaendeshwa na kodi za watanzania wote, wanaccm na wale wa vyama vya upinzani, lakini TBC. inaonyesha upendeleo wa wazi wazi kwa CCM, kiasi cha kudhani pengine chombo hicho kinaendeshwa kwa pesa ya michango, ya wanaCCM peke yake!!

words of wisdom!!
 
mleta uzi ana akili ya kizamani sana ! Ile ya chama kushika hatamu ! Ama ni kikongwe au ni kiongozi wa ccm mwenye elimu duni mno ! Mengi siyo mhariri ,

Mengi anaweza asiwe Mhariri wa macho yako lakini ujue Vyombo vyake vya Habari vinafanya kazi kwa Maelekezo yake ndio Maana taarifa ya Habari humpendelea sana pindi akitokea kwenye Habari ambapo hupewa dakika nyingi sana hata Kama anachokizungumza ni kitu cha kawaida tu, Mengi ni ccm kibiashara lakini kifikra tupo nae chadema .
 
Lazima ukweli usemwe. Mengi kinachomsumbua ni ukabila. Uchaga ndo unaomsumbua. Kwa sababu na wewe ni mkabila ndio maana unajitia upofu. Wewe ni kati ya watu walionufaika kupitia ukabila. Ajira yako CHADEMA makao makuu ilifuata msingi wa ukabila tu. Hivyo hatutegemei mchango tofauti na huo.
Mengi ni ccm ambaye kajipenyeza Chadema kikabila na kinafiki Maana lengo lake ni kuombea Chadema ichukue Nchi awakomeshe wahindi wapinzani wake tu,hana chembe ya Uchungu na majanga yaliyowazunguka walalahoi yeye ana angalia mambo yake Binafsi na siku akiona Chadema wamepoteza nguvu atakuwa wa kwanza kuingia mitini .
 
kama chadema ni chama cha wachaga na mengi ni mchaga basi mpeni kaisari yaliyo ya kaisari. Ungeanza na tbc!

Si lazima mengi awaige tbc Kama wao wanaipendelea ccm mengi nae basi aipendelee ccm Maana ni chama chake pia asiendekeze Ukabila huku chadema Maana anaeleweka yupo kinafiki akitegea chama kichukue Nchi akitumie kujinufaisha Binafsi .
 
Tanzania ukishakuwa Tajiri lazima uwe CCM ili uendelee kuwa Tajiri sasa hamia sijui chadema kama hujala jeuri yako.

Haki ya mama Habari ndio hiyoo.. CCM ndipo penye yote huyo Mengi kavuna,kaiba,kafisadi,katajirikia ccm asijifanye kujitoa fahamu sasa na kuleta Undumila kuwili Wengi wanamjua Kuwa huwa anapenda kujiona kwamba hapaswi kukosa kila anachokidhamilia .
 
Sasa ww ulitaka alinde maslah ya nani? Familia yako? Kwani ulimsaidia kufikisha hyo company yake hapo ilipo..Mengi ni mfanyabiashara na yupo kwa ajili ya faida, na hyo tv yake c ya taifa..anatumia hela yake kuiendesha...au ulidhn anatumua kodi yako... ITV ni mali yake anaweza kuifanya lolote analotaka...Jamn cjui elimu zetu zinatusaidia nn,usiwe mshabiki tu bla kufanya reseach..

Nenda kawaulize wale wafanyakazi wakongwe wa NBC Bank watakuambia Mengi alifanya nini hadi NBC ya zamani ikafirisika ! Pesa zake ni za kifisadi ana mbinu za kijanja janja kuliko unavyodhani ,Swala,vikoba,michezo ya bingo,viwanda vya revola komesha nk huku kuna Vioja ujanja mwingi wa kifisadi umejificha humo humo ukumbuke Mali zake zote kazipatia humo humo ccm sasa kaona Muhongo na wenzake wamegoma kumpatia Vitalu vya Gesi kaamua kuwashilikisha wananchi ili wamuonee huruma kwa masilahi yake Binafsi ,mengi ni ccm mjanja anayejipenyeza Chadema kuwalubuni wamsaidie kwa mambo yake Binafsi .
 
Ni kweli Unafiki wa Kisiasa upo sana hapa Tz wapo wanaojipendekeza kwa Uwazi wengine hujipendekeza kimya kimya lakini kikubwa huwa ni kulinda masilahi Binafsi tu Hakuna mwenye uchungu na kero za masikini wa Tanzania .
well said.
 
Mengi ni mnafiki sana, Hana uzalendo hata chembe, yeye anaangalia nani analinda maslahi yake tu! Ndio maana sasa anawatumia CHADEMA na wabunge wake kwenye ugomvi wake Binafsi na Prof.Muhongo.

Kumbe sendeka ni cdm!.
 
Wana JF naomba mnisaidie kujua hili kwa uwazi pasipo matusi na kejeli.
Najua wazi kuwa Mengi kuwa mwanachama fulani cha Siasa siyo dhambi wsla kosa, lakini hoja yangu ni pale anapotumia fursa aliyo nayo kutumia vyombo vya habari kukashfu chama tawala, anatoa fursa kwa viongozi wa Chadema kutoa kashfa kwa vyama vingine na kuyapa muda mwingi sana matukano na kejeli hizo, mfano ITV hutangaza habari nyinngi sana za Chadema hususan ni zile za maneno ya wabunge wanaozungumza mambo ya kuiponda Serikali, Pia kuna tukio jingine nalo lilitushangaza Watanzania, Kwanini Mtei alizindua kitabu chake cha "gother to governor" kwenye Hotel ya Mtei? Je tuamini kwamba ni kwa vile wote wanatoka ukanda mmoja? Naomba majibu ya hoja siyo kejeli na matusi.

kweli punda hutoa popote
 
Well,kama umezoea TBC....huwezi kuelewa ITV inafanya nini,makanjanja hayajui kile ITV wanafanya ila waandishi waliokomaa ndio wanaelewa role ya media house ya mzee Mengi..time will tell!:hail::hail::hail::hail:
 
Mengi ni ccm ambaye kajipenyeza Chadema kikabila na kinafiki Maana lengo lake ni kuombea Chadema ichukue Nchi awakomeshe wahindi wapinzani wake tu,hana chembe ya Uchungu na majanga yaliyowazunguka walalahoi yeye ana angalia mambo yake Binafsi na siku akiona Chadema wamepoteza nguvu atakuwa wa kwanza kuingia mitini .
Unahis ata anajua Leo kuna habari gani zinazoenda hewan?acha kuota
 
Mengi ni mnafiki sana, Hana uzalendo hata chembe, yeye anaangalia nani analinda maslahi yake tu! Ndio maana sasa anawatumia CHADEMA na wabunge wake kwenye ugomvi wake Binafsi na Prof.Muhongo.
Msalani hivi ww kwa kutetea hawa wezi wanaofukarisha hii nchi unauzalendo gani? yamkini ww ni mmoja wao,lakini tambua kwamba dhulma wanazo fanyiwa watu wa nchii na hilo genge lenu (ccm) lazima zitalipwa.
 
Unahis ata anajua Leo kuna habari gani zinazoenda hewan?acha kuota

Najua kila Habari kumbuka swali lipo hivi : je ? Mzee mengi ni Chadema? Jibu hili hapa Mzee mengi ni ccm anamiliki kadi ya ccm na hao hao ndio wamemlea mpaka kufikia hapo alipo sasa japo amekuwa na unafiki wa kisiasa .
 
Msalani hivi ww kwa kutetea hawa wezi wanaofukarisha hii nchi unauzalendo gani? yamkini ww ni mmoja wao,lakini tambua kwamba dhulma wanazo fanyiwa watu wa nchii na hilo genge lenu (ccm) lazima zitalipwa.

Kumbuka mengi nae ni mwanachama wa ccm na utajiri wake kaupatia
 
Back
Top Bottom