Ni ccmWana JF naomba mnisaidie kujua hili kwa uwazi pasipo matusi na kejeli.
Najua wazi kuwa Mengi kuwa mwanachama fulani cha Siasa siyo dhambi wsla kosa, lakini hoja yangu ni pale anapotumia fursa aliyo nayo kutumia vyombo vya habari kukashfu chama tawala, anatoa fursa kwa viongozi wa Chadema kutoa kashfa kwa vyama vingine na kuyapa muda mwingi sana matukano na kejeli hizo, mfano ITV hutangaza habari nyinngi sana za Chadema hususan ni zile za maneno ya wabunge wanaozungumza mambo ya kuiponda Serikali, Pia kuna tukio jingine nalo lilitushangaza Watanzania, Kwanini Mtei alizindua kitabu chake cha "gother to governor" kwenye Hotel ya Mtei? Je tuamini kwamba ni kwa vile wote wanatoka ukanda mmoja? Naomba majibu ya hoja siyo kejeli na matusi.
Ni kweli Mengi ni mchaga na Chadema yetu ni Full uchaga kwa kwenda mbele,lakini tatizo linakuja Kuwa mengi ni ccm lakini anajaribu kusaka huruma za wanachadema zimusaidie kwa masilahi yake binafsi.
kwel wewe ni zero
Lakini Mali zake kazipata akiwa ccm na mpaka sasa ni ccm japo anabeep chadema kisanii.
Mkuu, I'llNenda kawaulize wale wafanyakazi wakongwe wa NBC Bank watakuambia Mengi alifanya nini hadi NBC ya zamani ikafirisika ! Pesa zake ni za kifisadi ana mbinu za kijanja janja kuliko unavyodhani ,Swala,vikoba,michezo ya bingo,viwanda vya revola komesha nk huku kuna Vioja ujanja mwingi wa kifisadi umejificha humo humo ukumbuke Mali zake zote kazipatia humo humo ccm sasa kaona Muhongo na wenzake wamegoma kumpatia Vitalu vya Gesi kaamua kuwashilikisha wananchi ili wamuonee huruma kwa masilahi yake Binafsi ,mengi ni ccm mjanja anayejipenyeza Chadema kuwalubuni wamsaidie kwa mambo yake Binafsi .
Wana JF naomba mnisaidie kujua hili kwa uwazi pasipo matusi na kejeli.