Hivi Reginald Mengi ni CHADEMA?

Hivi Reginald Mengi ni CHADEMA?

Si mlidai CDM ni chama cha wachaga?? Mengi ni mchaga, sasa sijui unalalamika nini?? Waachieni wachaga wajenge chama chao........................!!

kila siku humu jf wanatusi wachaga. watuache tuinuane wenyewe kwa wenyewe
 
Tanzania ukishakuwa Tajiri lazima uwe CCM ili uendelee kuwa Tajiri sasa hamia sijui chadema kama hujala jeuri yako.
 
Shida yako kubwa ni Chadema kupewa Air time I.T.V hakuna kingine na kwasababu litbc linainyima nafasiw cdm basi ulitaka iwe hivyo na kwa I.T.V jambo ambalo haliwezekani kwasababu si chombo cha ccm kama ilivyo kwa Tbc na startv

BACK TANGANYIKA

wewe housegirl wa nassari unaongea pumba tupu hapa
 
ninachojua kama sio kuhisi, sabodo na waasia wenzake wanawasiwasi siku wapinzani wakiingia madarakani wanaweza kuanza na wao kwa kuliibia taifa hili kwa miaka mingi. kwa hiyo wanachofanya ni kujaribu angalau kujipendekeza kwa wapinzani ili likitokea la kutokea wao angalau na pakujishikiza.
mrema wakati anagombea urais 1995 aliapa kuwashughulikia wezi wote bila shaka akiwepo chavda aliyemfukuzisha uwaziri. mchungaji mtikila yeye hana simile kabisa kwani huwaita magabachori.

Ni kweli Unafiki wa Kisiasa upo sana hapa Tz wapo wanaojipendekeza kwa Uwazi wengine hujipendekeza kimya kimya lakini kikubwa huwa ni kulinda masilahi Binafsi tu Hakuna mwenye uchungu na kero za masikini wa Tanzania .
 
...we kichwa maji kweli,hebu leta tathmini ya tbc1,tbc2,tbc taifa na tbc fm,habari leo na dailynewz jinsi vyombo vyote hivyo vilivyo jivika koti la ccm,kisha ndo uinyooshee kidole itv...

Si lazima mengi a-copy staili ya TBC Kama wao wanapendelea CCM na yeye mengi anapaswa aje kivyake akidhi haja ya pande zote kwa usawa asifanye kazi kwa kuwaangalia TBC unavyofanya kazi, mengi ni ccm japo Chadema wanafaidi misaada yake sana hasa ukizingatia Chadema ni wachaga lakini siku tukiingia ikulu ajue Kama ana Madhambi hatumwachi lazima atinge kizimbani kuyajibu.
 
Tanzania ukishakuwa Tajiri lazima uwe CCM ili uendelee kuwa Tajiri sasa hamia sijui chadema kama hujala jeuri yako.

Unachokisema ni Ukweli mtupu na ukumbuke Ukweli unauma sana Matajiri wengi wa Tz akiwemo mengi ni ccm lakini huja hapa Chadema kujipendekeza tu wakihofia Kuwa endapo Chadema italitwaa Dola wanaweza kuhamishiwa Keko na Ukonga Kama makazi ya kudumu.
 
Wachaga wameunda Chadema kufanya jaribio la kututawala.
 
Tanzania ukishakuwa Tajiri lazima uwe CCM ili uendelee kuwa Tajiri sasa hamia sijui chadema kama hujala jeuri yako.

Unachokisema ni Ukweli mtupu na ukumbuke Ukweli unauma sana Matajiri wengi wa Tz akiwemo mengi ni ccm lakini huja hapa Chadema kujipendekeza tu wakihofia Kuwa endapo Chadema italitwaa Dola wanaweza kuhamishiwa Keko na Ukonga Kama makazi ya kudumu.
 
Mengi ni mnafiki sana, Hana uzalendo hata chembe, yeye anaangalia nani analinda maslahi yake tu! Ndio maana sasa anawatumia CHADEMA na wabunge wake kwenye ugomvi wake Binafsi na Prof.Muhongo.

Sasa ww ulitaka alinde maslah ya nani? Familia yako? Kwani ulimsaidia kufikisha hyo company yake hapo ilipo..Mengi ni mfanyabiashara na yupo kwa ajili ya faida, na hyo tv yake c ya taifa..anatumia hela yake kuiendesha...au ulidhn anatumua kodi yako... ITV ni mali yake anaweza kuifanya lolote analotaka...Jamn cjui elimu zetu zinatusaidia nn,usiwe mshabiki tu bla kufanya reseach..
 
Mengi ni nani?
Mtu mmoja anawezaje kuumiza watu vichwa?

Aingie tu chama chochote hata cha wala gongo haina shida.

Ccm ni ngumu sana kuitoa madarakani.

Ni mchagga na anatumia media zake vibaya kuruhusu wapinzani kukashfu serikali!
 
Wana JF naomba mnisaidie kujua hili kwa uwazi pasipo matusi na kejeli.
Najua wazi kuwa Mengi kuwa mwanachama fulani cha Siasa siyo dhambi wsla kosa, lakini hoja yangu ni pale anapotumia fursa aliyo nayo kutumia vyombo vya habari kukashfu chama tawala, anatoa fursa kwa viongozi wa Chadema kutoa kashfa kwa vyama vingine na kuyapa muda mwingi sana matukano na kejeli hizo, mfano ITV hutangaza habari nyinngi sana za Chadema hususan ni zile za maneno ya wabunge wanaozungumza mambo ya kuiponda Serikali, Pia kuna tukio jingine nalo lilitushangaza Watanzania, Kwanini Mtei alizindua kitabu chake cha "gother to governor" kwenye Hotel ya Mtei? Je tuamini kwamba ni kwa vile wote wanatoka ukanda mmoja? Naomba majibu ya hoja siyo kejeli na matusi.

Kwa namna ulivyo panga hoja zako ....ni dhahiri kwamba unatakiwa ujijibu mwenyewe . Ulichokiandika huna uhakika nacho na umechanganya sana matukio. Haieleweki ipi ni hoja kati ya uliyo yaandika .Haujaeleweka kabisa na ujengaji wako wa hoja kwa maoni yangu NI KWA MISINGI YA TABIA YA CHAMA KILE KULE CHA WEZI SIYO HIVI HUKU VYA TUMBILI
 
Inawezekana mleta mada ni mgonjwa wa akili..!!! Hebu tupe na habari za TBC zikitoa prom kwa mazuri tu ya serikali mabaya huyaweka kusikojulikana. Uliwahi kuona TBC wakiirusha CDM kwa uzuri hata siku moja?!!!! Nakuhurumia maana upo steg ua kuwa punguani
 
Thread ya kipuuz naipuuzia. JF hii ni thread? Watanzania tupo 45m hiv kila mmoja akianza kuuliza, jf tutafika wapi?

Ok Mrisha Ngasa, Kaseja nae ni Chadema?
 
Kuna vyama vya siasa zaidi ya 18 kwa nn kila siku issue hapa ni chadema?
Ulitaka ITV nayo iwe biased kama TBC na Clouds TV?
Acha kuwa kanyanya wa fani.
 
Wana JF naomba mnisaidie kujua hili kwa uwazi pasipo matusi na kejeli.
Najua wazi kuwa Mengi kuwa mwanachama fulani cha Siasa siyo dhambi wsla kosa, lakini hoja yangu ni pale anapotumia fursa aliyo nayo kutumia vyombo vya habari kukashfu chama tawala, anatoa fursa kwa viongozi wa Chadema kutoa kashfa kwa vyama vingine na kuyapa muda mwingi sana matukano na kejeli hizo, mfano ITV hutangaza habari nyinngi sana za Chadema hususan ni zile za maneno ya wabunge wanaozungumza mambo ya kuiponda Serikali, Pia kuna tukio jingine nalo lilitushangaza Watanzania, Kwanini Mtei alizindua kitabu chake cha "gother to governor" kwenye Hotel ya Mtei? Je tuamini kwamba ni kwa vile wote wanatoka ukanda mmoja? Naomba majibu ya hoja siyo kejeli na matusi.
MTEI alizindua kitabu chake kwenye HOTEL ya MTEI. unapokuwa muongo kupata aibu ni rahisi sana.
 
Hili si swali la kuuliza wakati unajua kabisa Chadema ni NGO ya wachanga.
 
Wana JF naomba mnisaidie kujua hili kwa uwazi pasipo matusi na kejeli.
Najua wazi kuwa Mengi kuwa mwanachama fulani cha Siasa siyo dhambi wsla kosa, lakini hoja yangu ni pale anapotumia fursa aliyo nayo kutumia vyombo vya habari kukashfu chama tawala, anatoa fursa kwa viongozi wa Chadema kutoa kashfa kwa vyama vingine na kuyapa muda mwingi sana matukano na kejeli hizo, mfano ITV hutangaza habari nyinngi sana za Chadema hususan ni zile za maneno ya wabunge wanaozungumza mambo ya kuiponda Serikali, Pia kuna tukio jingine nalo lilitushangaza Watanzania, Kwanini Mtei alizindua kitabu chake cha "gother to governor" kwenye Hotel ya Mtei? Je tuamini kwamba ni kwa vile wote wanatoka ukanda mmoja? Naomba majibu ya hoja siyo kejeli na matusi.
Mbona hueleweki! ulitaka azindulie chumbani kwa mama yako?
 
Mengi ni mnafiki sana, Hana uzalendo hata chembe, yeye anaangalia nani analinda maslahi yake tu! Ndio maana sasa anawatumia CHADEMA na wabunge wake kwenye ugomvi wake Binafsi na Prof.Muhongo.
MSALANI polepole ndugu yangu.Umetumia maneno makali lakini jiulize wakubwa wako wanawekeza wapi pesa zao?Utakuja shangaa ukigundua kuwa Mengi si mwepesi kama unavyodhania kwani si ajabu pesa za wakubwa wako ziko huko.
 
Back
Top Bottom