Hivi pesa inapatikana wapi?

Hivi pesa inapatikana wapi?

Hata hizo za ndagu ni pesa halisi lakini zina masharti yake, humu watu watakupiga porojo nyingi lakini pesa nyingi unazozitaka kuzipata sio rahisi kiivyo.

Nina mifano mingi tu lakini uwe tayari kujikana nafsi na usiwe na roho ya huruma hapo ndo utazikuta hizo hela nyingi unazozitaka... Kama ww ni muoga na huna roho ngumu endelea kutafuta hela za kula tu!
Fungua code mkuu nishapiga fonga za kutosha na kubeba poka kwahiyo hakuna cha kunitisha duniani hapa
 
Nina mifano mingi tu lakini uwe tayari kujikana nafsi na usiwe na roho ya huruma hapo ndo utazikuta hizo hela nyingi unazozitaka... Kama ww ni muoga na huna roho ngumu endelea kutafuta hela za kula tu!
Mkuu kwamba unamaanisha ulishawahi kuwashuhudia watu wakiwa maskini kisha wakaingia kwenye ndagu halafu ghafla wakawa matajiri?
 
Jamani mi ntarudia kila siku pesa zina njia nyingi sana ila njia moja wapo ni universal connection
Hii kuna watu wanatumia kuna wengine hawatumii.
Kina bahati pia.. ila ogopa sana kuna wale wana grow in every year an no step down ni mbele tuu ila ni kwa slowly..

Ukijua universal language wewe upatikaji wako wa pesa hauwi mgumu hvo....

Mi soon ntakua billionaire ila sitosema hii njia nayotumia hata kidogo maana watu wakijua computation itakua kubwa ila pesa zipo kikubwa kuwa na nidhamu ya pesa..

Ukijifanya wee ni wale wa "maisha haya haya"" utakubali show

Ukijifanya unawaza kufa leo au kesho utakubali show...

Mzee wa leo unayemuona now anapambania kombe mpaka umri ule jua nayeye alikua kama wewe hvo hvo.

Pesa zipo tusichoke kupambana..
Kama una akili fatilia mawazo ya Evelyn Salt huyu ni genius sana...
Japo kuna mda huwa ananizingua sana aliposema nifanye biashara ya kuuza chenji 😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
 
Mimi nikiwa rais nachapisha nyingi naleta tunagawana. Hakutakuwa na masikini ndani ya nchi yangu. Kilamgonjwa asiye na huduma namchpishia zakwake na kila ombaombanamchapishia zakwake. Hakuna kilala nje kwenye nchi yangu wakati pesa tunachapisha tu
Mkuu kama una machine ya kuchapishia tufanye kitu
 
Back
Top Bottom