Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,434
- 59,289
HaswaaYaani kweli ata tapeli anakamatwa Kwa ajili ya tamaa tu
HaswaaYaani kweli ata tapeli anakamatwa Kwa ajili ya tamaa tu
Tumia akili nyingi,nguvu kidogo tena nguvu huwa inatumika kwenye kuzilinda pesa zilizopatikana maana ukishakuwa na pesa kuna wasumbufu wengi hujitokeza ili wakuangushe.Kwenye kusaka pesa nguvu na akili vyote hutumika na lazima uingie kwenye bato uone kama kweli
Kweli kabisaNdo maisha ayo tamaa zipungue
Nifungulie makufuli ya hazina mkuu nishakua creative sana badala yake napata vicent vya kula tuUtatoboa kama ukituliza kichwa.
Wewe unaonekana ni aina ya watu wenye pupa au kwa lugha nyingine mihemko ukiwa mtu wa hivi kutoboa ni ngumu.
Kutoboa kunahitaji watu wenye creativity,focus,consistency sio kurukia mambo juu kwa juu.
Toa code mkuu vijana tupate mkwanja tule maisha kama wewe na madone wengineT
Tumia akili nyingi,nguvu kidogo tena nguvu huwa inatumika kwenye kuzilinda pesa zilizopatikana maana ukishakuwa na pesa kuna wasumbufu wengi hujitokeza ili wakuangushe.
Nipe mfano wa creativity uliyoifanya na ulidumu nayo kwa muda gani kisha nitakwambia ulikosea wapiNifungulie makufuli ya hazina mkuu nishakua creative sana badala yake napata vicent vya kula tu
Mimi sio Don ni mtu wa kawaida ambaye huwa nimeridhika na maisha ya grade yoyote tu lakini njia za kutoboa naziona kama nikiamua kufosi na kuishi maisha ya show off.Toa code mkuu vijana tupate mkwanja tule maisha kama wewe na madone wengine
Mimi ni miongoni mwa waanzilishi wa vibanda vya tigo pesa na huduma mtandao kijijini kwetu hadi saizi sijatoboaNipe mfano wa creativity uliyoifanya na ulidumu nayo kwa muda gani kisha nitakwambia ulikosea wapi
Maisha ya kutafuta hayataki kuridhika hadi pale utakapopata pesa nyingi za kutosha na zikabakiMimi sio Don ni mtu wa kawaida ambaye huwa nimeridhika na maisha ya grade yoyote tu lakini njia za kutoboa naziona kama nikiamua kufosi na kuishi maisha ya show off.
Mimi ni miongoni mwa waanzilishi wa vibanda vya tigo pesa na huduma mtandao kijijini kwetu hadi saizi sijatoboa
Ukija ofisini utagundua ubunifu wangu wa ofisi na utoaji huduma lakini kutusua ni ndoto ni nyingi sana mkuu
Nina uwezo wa kuzipata ila moyo wangu umekinai tu that means kuna kitu kingine ambacho kitanipa furaha lakini sio pesaMaisha ya kutafuta hayataki kuridhika hadi pale utakapopata pesa nyingi za kutosha na zikabaki
Kwa sasa nipo mjini mkuu naendelea na ubunifu kijijini niliona ni ngumu kutoboaKwenye hicho kijiji ulichoweka kina wakazi wangapi kwa makadirio?na shughuli zao za kiuchumi zinazowaingizia kipato ni zipi?Kama shughuli zao ni kilimo tu cha kawaida means pesa zao zitakuwa ni za msimu hapo kutoboa ni ngumu
Wewe ni geniusNmeanza kwa kutatua changamoto, nlienda huo mtaa una shule tatu ila hamna stationery nlihitaji copy hakuna yani stationery ipo mbali mno kwahiyo nikaweka stationery hapo.....cha kwanza hicho.
Pia hakukuwa na biashara za miamala kabisa huduma ipo mbali nikaweka pia, Naendelea na kutatua changamoto zingine pia ambazo ndio fursa zenyewe.
Umeelewa sasa nlichoandika pale juu???
Hata hizo za ndagu ni pesa halisi lakini zina masharti yake, humu watu watakupiga porojo nyingi lakini pesa nyingi unazozitaka kuzipata sio rahisi kiivyo.Nataka pesa halisi either paper money au salio ziwe nyingi mkuu
Wenzako kijijini wanaenda wakati wa msimu wa mavuno wanapiga minada ya bidhaa mbalimbali kisha msimu ukiisha wanarudi mjini,ukisema uhamie kijijini moja kwa moja utapauka hadi uchakae.Kwa sasa nipo mjini mkuu naendelea na ubunifu kijijini niliona ni ngumu kutoboa
Pesa utaipata ulipoiweka, kama uliweka kwenye kibubu utaikuta kwenye kibubu, kama uliiweka benki utaikuta benki.Naomba nijibiwe hili swali kwa weledi bila kejeli wala mzaha
Hakuna mtu hapendi pesa wadau na kila siku watu hujituma kutafuta pesa sasa pesa huwa inapatikana wapi?
Naomba nieleweke nikisema pesa simaanishi vipesa vya kula namaanisha pesa nyingi
Karibuni
Njoo pm kuna vitu vingi sana vya kujadili huenda nitagundua kitu kuhusu wewe na mahali unapokwama.Nifungulie makufuli ya hazina mkuu nishakua creative sana badala yake napata vicent vya kula tu