Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,595
- 22,334
Naomba nieleweke nikisema pesa simaanishi vipesa vya kula namaanisha pesa nyingi
Kuna code kwenye hii Audio:
Naomba nieleweke nikisema pesa simaanishi vipesa vya kula namaanisha pesa nyingi
Usidharau biashara yoyote, biashara zina siri...hata ile ya sh 100 iheshimuNilikuwa nadharau biashara ya stationery kumbe Inatoa pesa nyingi
Kuna mahali sahihi haujapress, kwanini zote zimekufa?Nimeenda migodini nimepiga veni na kanyero za kutosha sijapata pesa
Nimeingia porini kata miti na mbao sikupata pesa
Nimesoma hadi chuo pia olaa
Biashara ya uwakala, mitumba, viatu, viwanja, nyumba kote sijapata pesa
Oya pesa inapatina wapi mazee
Mkuu nimesoma somo la kiswahili sielew kimombo nitafsirieKuna code kwenye hii Audio:
View attachment 3285515
Excess money yani rundo la pesa ivo vijicent ninavyo ila havinitoshiUsidharau biashara yoyote, biashara zina siri...hata ile ya sh 100 iheshimu
Na pesa nyingi unamaanisha kiasi gani kwa mfano, make hii kauli yako ina kauli ndani yake.
Aisee acheni kunimotivate nielekezeni pesa ziliko tafadhali
Alafu unamtafuta wa kwenda kula nae kodi za walalahoi bin taabaniHiyo nipewe nagawa kidogo zilizobaki natafuta kwanza hotel nje ya mji nkapoze moyo
UWEZO WAKO WA KUFIKIRI UTAKAPOISHIA NDO UTAJIRI WAKOAisee mtaani kila fursa Ina watu kibao sioni fursa mpya
Pesa Huwaga Haitoshelezi KamweExcess money yani rundo la pesa ivo vijicent ninavyo ila havinitoshi
Nimeenda migodini nimepiga veni na kanyero za kutosha sijapata pesa
Nimeingia porini kata miti na mbao sikupata pesa
Nimesoma hadi chuo pia olaa
Biashara ya uwakala, mitumba, viatu, viwanja, nyumba kote sijapata pesa
Oya pesa inapatina wapi mazee
Book: The school of money by Olamide Emmanuel
"Money hides in people"
"Money hides in problem"
"Money hides hides in gifts and talents"
"Money hides in opportunities"
"Money hides in products and services"
"Money hides in ideas"
"Money hides in vision"
"Money hides in work"
"Money hides in seed
Aisee kuchimba madini ni kazi sana asikwambie mtu mnachimba shimo refu hadi kwenye miamba huko halafu mnaporora yani mnakuta veni haina kitu badala yake mnaosha felo la watu waliochimba zamani mnaambulia point tatu mnagawana mnanunua dona muendelee kuishiUlikua unapata point ngapingapi
Hahahahhaahhahahah hatari sana mkuu, ukute veni inanata sasa alafu haina madini, mkitoka hapo kila mtu na lugha yake hamuelewaniAisee kuchimba madini ni kazi sana asikwambie mtu mnachimba shimo refu hadi kwenye miamba huko halafu mnaporora yani mnakuta veni haina kitu badala yake mnaosha felo la watu waliochimba zamani mnaambulia point tatu mnagawana mnanunua dona muendelee kuishi
Na hadi mnaikuta hiyo veni mmepigika vya kutosha mnatoa felo la tope kwa viroba chini huko mkizingatia msitekenye nguzo kila sampo mtakayocheki olaaHahahahhaahhahahah hatari sana mkuu, ukute veni inanata sasa alafu haina madini, mkitoka hapo kila mtu na lugha yake hamuelewani
HayaKwa umri wangu nikipata £1bil inatosha kabisa na inabaki
😃😃😃😃😃 Da ilikua pori gani mkuuNa hadi mnaikuta hiyo veni mmepigika vya kutosha mnatoa felo la tope kwa viroba chini huko mkizingatia msitekenye nguzo kila sampo mtakayocheki olaa