🤣🤣🤣🤣 Sasa sii ndio kuzuri unalima na kulima kabisaVikindu huko si ni mashamba?? Huko mbususu hapana labda mabusu tu
🤣🤣🤣🤣 Sasa sii ndio kuzuri unalima na kulima kabisaVikindu huko si ni mashamba?? Huko mbususu hapana labda mabusu tu
Kuna mchungaji mmoja wa Kenya nilimsikia akisemaNaomba nijibiwe hili swali kwa weledi bila kejeli wala mzaha
Hakuna mtu hapendi pesa wadau na kila siku watu hujituma kutafuta pesa sasa pesa huwa inapatikana wapi?
Naomba nieleweke nikisema pesa simaanishi vipesa vya kula namaanisha pesa nyingi
Karibuni
Hizo hataki anataka maburungutu ya pesa, huyu mpeni konesksheni kwa wakinga huko, au kule jogoo anakula punje, hizi za mifukoni kwa watu hatakiKuna mchungaji mmoja wa Kenya nilimsikia akisema
“Money is a reward after solving somebody problems”
Mkuu PESA zipo kwa watu
Nijuhudi yako kuzifanya zitoke kwao zije kwako
Wewe ukiwa na buku na unanjaa basi ujue mama ntilie alishatathmini kuna watu wana changamoto ya njaa ndio akapika chakula
Na wewe kwa njaa yako unampelekea buku lako anakua kasolve changamoto yako ya njaa na kaingiza PESA
Chungulia mahali ulipo jamii inachangamoto ya mahitaji gani kisha geuza fursa kutatua changamoto hizo watatoa hela zao na kukupa
mm sio tajiri mkuu ila kama ningepeewa option ya kwamba fuata njia hii kua tajiri ningepima vitu vichache kwanza, kama icho kitu kinanibisi nifanye kazi kila sku hakuna kipindi ntakuja kutulia ela zitaingia zenyewe basi sichukuiNataka kuelekea nyakafuru mkuu namimi nikajaribu bahati yangu
Gofu lako lipo wapi, mzabzab tumeshindwana huko vikindu mi sitakiHivyo vipesa navishika sana na kuwekeza ila hakuna ninachoambulia, lile gofu ni matokeo ya faida ndogo
Vipi mkuu hujamalizana na mzabzab tubadilishane na gofu langu kwa mbususu
Unaonaje uumpe gofu lako na mie nimpe kiwanja changu tugonge 3someHivyo vipesa navishika sana na kuwekeza ila hakuna ninachoambulia, lile gofu ni matokeo ya faida ndogo
Vipi mkuu hujamalizana na mzabzab tubadilishane na gofu langu kwa mbususu
Ili nipate $1bilion natakiwa niwe na watu wangapi wa kunipa buku bukuKuna mchungaji mmoja wa Kenya nilimsikia akisema
“Money is a reward after solving somebody problems”
Mkuu PESA zipo kwa watu
Nijuhudi yako kuzifanya zitoke kwao zije kwako
Wewe ukiwa na buku na unanjaa basi ujue mama ntilie alishatathmini kuna watu wana changamoto ya njaa ndio akapika chakula
Na wewe kwa njaa yako unampelekea buku lako anakua kasolve changamoto yako ya njaa na kaingiza PESA
Chungulia mahali ulipo jamii inachangamoto ya mahitaji gani kisha geuza fursa kutatua changamoto hizo watatoa hela zao na kukupa
Pesa zina kanuni zake ili uzipateIli nipate $1bilion natakiwa niwe na watu wangapi wa kunipa buku buku
"Money hides in GOD"🙏Book: The school of money by Olamide Emmanuel
"Money hides in people"
"Money hides in problem"
"Money hides hides in gifts and talents"
"Money hides in opportunities"
"Money hides in products and services"
"Money hides in ideas"
"Money hides in vision"
"Money hides in work"
"Money hides in seed"
Hii inatakiwa aiseme Mwamposa 😁"Money hides in GOD"🙏
Mkuu umetema madini ahsante sanaPesa zina kanuni zake ili uzipate
Na kanuni hizo ndio zitafanya upate hela kiasi gani
Tunapo zungumzia hela tunazungumzia MAFANIKIO
Na kanuni ya manikio ni matokeo ya mambo matatu
1, MUDA
Muda ni wetu sote, wote tuna 24hrs per day, Ni namna utakavyo utumia muda wako
2. JUHUDI
Juhudi ni za mtu binafsi
Hapa ni juhudi zako za kupigania ndoto zako
3, KUDRA/MUNGU/BAHATI
Hii ipo nje ya uwezo wetu kama binadamu
Wengine wanaamini ni Mungu wengine ni BAHATI wengine ni KUDRA/KARMA
Mtoto wa Barekhsa huyo kudra/bahati/ Mungu ndio imempa nafasi ya kupata mahela mengi kuliko wewe mtoto wa mkuli ambaye inabidi vitu vyote vitatu inabidi vikutane ili upate mabilioni
Lakini Baba yake yeye alianza labda kushona viatu na alikua analipwa buku buku tu.... Hapa JUHUDI za kupigania ndoto ndio zina matter
Ni somo refu sana hili kulieleze
Maana hapo inabidi ufafanuzi wa MUDA, JUHUDI na KUDRA
So kujibu swali lako la kupata bilioni ni kwamba unahitaji hayo mambo matatu
Mind you that money are scary.... hatuwezi wote kuwa mabilionea kwasababu hela hazitatosha
Hapo ndio KUDRA inaamua nani atakua na mafanikio makubwa
Na ukiijua hali yake sasa, mwenyewe utachoka.Kwakweli hataki kusikia vijisent vya kununua ist anataka mahela 🙌🙌
Watu Dunia nzima 🤣🤣Ili nipate $1bilion natakiwa niwe na watu wangapi wa kunipa buku buku
Ukipata dili hata la kuuza unga nishtue mkuu.Mission failed! Hapo kutoboa ni ngumu
Kuna ma bango kwenye nguzo za umeme yameandikwa 666 na namba ya simu pale chini cheki nao fasta ulete mrejeshoNaomba nijibiwe hili swali kwa weledi bila kejeli wala mzaha
Hakuna mtu hapendi pesa wadau na kila siku watu hujituma kutafuta pesa sasa pesa huwa inapatikana wapi?
Naomba nieleweke nikisema pesa simaanishi vipesa vya kula namaanisha pesa nyingi
Karibuni
Anastasia21 mpe muongozo kijana wakoUkipata dili hata la kuuza unga nishtue mkuu.