Hivi pesa inapatikana wapi?

Hivi pesa inapatikana wapi?

Pesa nyingi bila shaka zinapatikana kwenye biashara zote halamu.
Pia serikalini kuna pesa nyingi sana ambazo ni kodi zetu wananchi na viongozi wa serikalini wanazifuja.
Epuka utapeli wa kwamba pesa zinatolewa kwa muujiza fulani, kwamba kuna jini linaweza kukupatia pesa huo ni utapeli.
Pesa ni kitu halisi, siyo kitu cha kiimani.
Kwahiyo pesa zote zinatoka BOT na siyo kwamba kuna mzimu fulani unaweza kuzalisha na kukupatia pesa.
Ok
 
Hakuna matajiri wawili wenye siri moja ya pesa .ndo maana 90% ya matajir wakifa hela haikai na watoto.utajiri huwa ni kama uchawi au mapenzi hakuna ushirikiano kwenye hilo.chunguza matajiri wote huwa
1.hawako social
2.hapendi mambo ya kijamii
3.sio wacha mungu mfano bakhresa hajawahi kuhiji ila analipia wengine
4.ukitaka kumjua jua anakuchukia

Ntatoa mfano mdogo ili ukome kuwauliza matajiri siri yao:
MFANO A
Leo ww ukagundua kuwa kumbe kila kufuli la solex lina gram 2 za dhahabu .
Cha kwanza hutataka hata mkeo na mama mzazi wajue utakuwa unajificha shambani kwako unayeyusha unavuna dhahabu.je vaa viatu vya huyu tajiri ukimuuliza amekuwaje tajiri akisema si kaua dili lake? Ndo atakudanganya fanya kazi kwa bidii na mengine.vaa viatu vyake ukawa unamfata fata kuomba ushauri ili utoboe je humkeri?
Na mfano vaa pia viatu vyake utawaambia wanao? Wenye wake zao na marafiki uue mchongo? Utachofanya unawajengea mahotel unawapa wale maisha . Ukisema nikikaribia kufa ntasema mara pa ajali umeenda .watoto wanarudi kwenye vita yetu wanakuta bili kubwa kuliko kipato wanauza watu mnasema mzee hakuwapa urith wa uchawi .
UKWEL MCHUNGU
Utajiri ni jambo binafsi kama punyeto hakuna wa kukupa siri yake .

MFANO B

Arusha mzee mmoja alikuwa pale loliondo alikuwa anakunywa bia kila siku yaan kila siku saa 1 anachinja mbuzi anakula na wenzie siku nzima na kila mwezi ananunua ngombe 30 hadi 50.
Na akisha lewa mida ya saa 3 hivi anaenda kulala hadi kesho yake . Ilaa saa 1 yuko baa na mbuzi anauawa .alifanya hivo kama miaka miwili.wakimuuliza anatoa wapi hela anajibu anamadili arusha mjini.na kwel mwisho wa mwezi anaenda arusha akirudi ana mil 20 hadi 30 anaanza bata tena .
Wahuni wakaamua kumfungia kazi walikaa nae beneti mwezi mzima akienda kwake kulala wanalala jirani na kwake .siku akanywa hela zikaisha akakopa akasema kesho kutwa naenda arusha .wakasema ewaaa .wakakaa mafichon usiku wakashangaa ametoka na sululu ndani ya ndoo anatoka nje basi wakawa wanamfatilia mdogo mdogo alitembea haraka haraka nje ya kijiji kama masaa ma 3 kisha kuna sehemu akasimama. Akaanzq kuchimba kwa muda wa masaa manne kukikaribia kukucha akatembea na ndoo nzito mpaka akafika kijijini saa 11 asubuhi akaingia kwake .
Jamaa mchana wakarudi pale alichimba ahaula yaaan madini ya ruby in zoite yako nje nje .
Baada ya hapo kijiji kizima kikavamia na kupata hela sana baada ya mwaka mgodi ukakata watu wakanunua magari mangombe ila jamaa akawa masikini hadi leo hii yupo mlalahoi tu.
Je kama unaakili hujajifunza kitu?
Vaa viatu vya huyo mzee je ww ungewambia watu siri yako ya kweli??
Je ww angetokea kakijana kanakaa nq ww kanakufata kila mahali kakikuita role model waza jinsi ungekapotosha ili kamwe kasikujue?

Nawakilisha
 
nakazia kaka upo sahihi nimejaribu kuvaa ivo viatu ulivosema nivae sure nisingeweza kumpa mtu siri yoyote.
 
Kisa chako kinasisimua na kinafunza ila nitakuwa msiri nikishatoboa asaivi ukiniambia mambo za Siri sikuelewi mkuu
 
nakazia kaka upo sahihi nimejaribu kuvaa ivo viatu ulivosema nivae sure nisingeweza kumpa mtu siri yoyote.
Kwahiyo mkuu tufe masikini kisa ubinafsi wa watu kwa kisingizio cha siri
 
Pesa wanazo watu

Kama ulishawah kuwa mhasibu wa vikundi au unakusanya michango ya harusi utaelewa au muulize cashier wa Mwamposa atakuambia pesa wanazo watu

Fanya mbinu zako zote unazozijua watu watoe pesa walipozificha wakupe
Uhakika pesa zipo Kwa watu, pesa wanazo watu, kwenye watu ndio zilipo pesa💯
 
Hawaendi kuweka, wanaenda kuchukua.
Unajidanganya sana mkuu, kuna siku nilipanga foleni benki moja hivi nitoe hela kuna jamaa alikuwa mbele yangu yaani ile anaangalia salio nikashangaa sana mtu kama yule kuwa na mil 68 benki..

Nilivaa vizuri na nilikuwa naenda kutoa laki 5 tu lakini kuona salio la jamaa ni milioni 68 nilijiona kama pilitoni kwake alafu alikuwa mtu wa ajabu tu hiyo ilikuwa mwaka 2015.

Huko benki kuna siri nyingi sana za watu wenye masalio makubwa.

Naomba ujiulize lini umewahi kuweka hela benki zikafika hata milioni 50 bila kuzitoa uje utoe hapa majibu.
 
Usiniambie mimi najidanganya, ni bora uulize swali ueleweshwe.

Ukitaka ufaidike, ni bora kutoa fedha benki kuliko kuweka.

Wengi wanaoweka fedha benki, wanafanya money laundering.
 
Hakuna matajiri wawili wenye siri moja ya pesa .ndo maana 90% ya matajir wakifa hela haikai na watoto.utajiri huwa ni kama uchawi au mapenzi hakuna ushirikiano kwenye hilo.chunguza matajiri wote huwa
1.hawako social
2.hapendi mambo ya kijamii
3.sio wacha mungu mfano bakhresa hajawahi kuhiji ila analipia wengine
4.ukitaka kumjua jua anakuchukia

Ntatoa mfano mdogo ili ukome kuwauliza matajiri siri yao:
MFANO A
Leo ww ukagundua kuwa kumbe kila kufuli la solex lina gram 2 za dhahabu .
Cha kwanza hutataka hata mkeo na mama mzazi wajue utakuwa unajificha shambani kwako unayeyusha unavuna dhahabu.je vaa viatu vya huyu tajiri ukimuuliza amekuwaje tajiri akisema si kaua dili lake? Ndo atakudanganya fanya kazi kwa bidii na mengine.vaa viatu vyake ukawa unamfata fata kuomba ushauri ili utoboe je humkeri?
Na mfano vaa pia viatu vyake utawaambia wanao? Wenye wake zao na marafiki uue mchongo? Utachofanya unawajengea mahotel unawapa wale maisha . Ukisema nikikaribia kufa ntasema mara pa ajali umeenda .watoto wanarudi kwenye vita yetu wanakuta bili kubwa kuliko kipato wanauza watu mnasema mzee hakuwapa urith wa uchawi .
UKWEL MCHUNGU
Utajiri ni jambo binafsi kama punyeto hakuna wa kukupa siri yake .

MFANO B

Arusha mzee mmoja alikuwa pale loliondo alikuwa anakunywa bia kila siku yaan kila siku saa 1 anachinja mbuzi anakula na wenzie siku nzima na kila mwezi ananunua ngombe 30 hadi 50.
Na akisha lewa mida ya saa 3 hivi anaenda kulala hadi kesho yake . Ilaa saa 1 yuko baa na mbuzi anauawa .alifanya hivo kama miaka miwili.wakimuuliza anatoa wapi hela anajibu anamadili arusha mjini.na kwel mwisho wa mwezi anaenda arusha akirudi ana mil 20 hadi 30 anaanza bata tena .
Wahuni wakaamua kumfungia kazi walikaa nae beneti mwezi mzima akienda kwake kulala wanalala jirani na kwake .siku akanywa hela zikaisha akakopa akasema kesho kutwa naenda arusha .wakasema ewaaa .wakakaa mafichon usiku wakashangaa ametoka na sululu ndani ya ndoo anatoka nje basi wakawa wanamfatilia mdogo mdogo alitembea haraka haraka nje ya kijiji kama masaa ma 3 kisha kuna sehemu akasimama. Akaanzq kuchimba kwa muda wa masaa manne kukikaribia kukucha akatembea na ndoo nzito mpaka akafika kijijini saa 11 asubuhi akaingia kwake .
Jamaa mchana wakarudi pale alichimba ahaula yaaan madini ya ruby in zoite yako nje nje .
Baada ya hapo kijiji kizima kikavamia na kupata hela sana baada ya mwaka mgodi ukakata watu wakanunua magari mangombe ila jamaa akawa masikini hadi leo hii yupo mlalahoi tu.
Je kama unaakili hujajifunza kitu?
Vaa viatu vya huyo mzee je ww ungewambia watu siri yako ya kweli??
Je ww angetokea kakijana kanakaa nq ww kanakufata kila mahali kakikuita role model waza jinsi ungekapotosha ili kamwe kasikujue?

Nawakilisha
Safi hiyo mkuu utajiri ni Siri kubwa ya mtu binafsi.
 
Back
Top Bottom