aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 7,490
- 21,049
Huyo ni mtakatifu hana hizo diliAnastasia21 mpe muongozo kijana wako
Huyo ni mtakatifu hana hizo diliAnastasia21 mpe muongozo kijana wako
Anastasia21 njoo unipe dili."Usimzarau usiemjua huenda anaweza kukusaidia" (in daz baba voice)
kuna member humu anaitwa UMUGHAKA ashawahi kutoa ushuhuda kwamba kuna jini lilikua linamletea hela room kwakePesa nyingi bila shaka zinapatikana kwenye biashara zote halamu.
Pia serikalini kuna pesa nyingi sana ambazo ni kodi zetu wananchi na viongozi wa serikalini wanazifuja.
Epuka utapeli wa kwamba pesa zinatolewa kwa muujiza fulani, kwamba kuna jini linaweza kukupatia pesa huo ni utapeli.
Pesa ni kitu halisi, siyo kitu cha kiimani.
Kwahiyo pesa zote zinatoka BOT na siyo kwamba kuna mzimu fulani unaweza kuzalisha na kukupatia pesa.
Yeye anapaswa kusema "Money hides in Utapeli"Hii inatakiwa aiseme Mwamposa 😁
Tafadhali share soft copy ya hcho ktabu hapa. nimekitafuta online cjakipataBook: The school of money by Olamide Emmanuel
"Money hides in people"
"Money hides in problem"
"Money hides hides in gifts and talents"
"Money hides in opportunities"
"Money hides in products and services"
"Money hides in ideas"
"Money hides in vision"
"Money hides in work"
"Money hides in seed"
Tafadhali share soft copy ya hcho ktabu hapa. nimekitafuta online cjakipata
Mkuu usichukulie poa kuna mambo yanahitaji ujasiri sana ule wa kumuua simba ukiona anakuja livelive, hapa wengi huwa wanatoka mbiooo😂😂😂😂
Baby bhana💔Wee usije ukawa waficha sembe ndani ya mbususu 🤣🤣🤣🤣
Umbea mwingi siwez mpa anatakiwa anilipe 1500$ anapata connectionAnastasia21 mpe muongozo kijana wako
Mambo bbyBaby bhana💔
Pouwa baby❤️ nimepamis humu ndaniMambo bby
Oh karibu bby ulikuwa umeenda kudoe pilau niniPouwa baby❤️ nimepamis humu ndani
Ndio nimerudi😎Oh karibu bby ulikuwa umeenda kudoe pilau nini
Wee sema na mengine uliyofanya huko pilau gani linaliwa siku 4Ndio nimerudi😎
Mengine yapi na wwWee sema na mengine uliyofanya huko pilau gani linaliwa siku 4
Kwichi kwichiMengine yapi na ww
Apana mm sister haturuhusiw izo mamboKwichi kwichi
OkayApana mm sister haturuhusiw izo mambo