OK sawaKwa Hilo haliwezekani labda kingine
Mbona mnakimbilia kwenye ushoga?? Ina maana haiwez kuwepo sababu nyingine?Mumeo analala nje tena analala kwa mwanaume mwenzie..umekagua marinda yapo kweli! Je una miaka mingapi na mumeo isije kuwa tunashauri msichana na mvulana tofauti ya mwanamke na mwanaume. Huyu mumeo hajitambui na hajui maana ya ndoa. Ninachokitabili ni kuwa hapo hakuna ndoa na hamuwezi kuja kuendelea. Usizae tena vuta muda.
Ipi mwanaume mwenye mke ndani akalale kwa mwanaume mwenzie?! Huo ni ushogaMbona mnakimbilia kwenye ushoga?? Ina maana haiwez kuwepo sababu nyingine?
Kidini si sawa, kishikaji ni sawaHabarini za wakati huu wakuu, mimi nimeolewa na ndoa yangu ina mwaka sasa na tumebahatika mtoto mmoja.
Sasa kilofanya niandike uzi hapa ni kwamba mume wangu anapenda sana ku-hang out na marafiki ambao hawajaoa na mbali na Hilo washkaji zake hao hawajatulia tabia zao na yeye ndo akija anaanza kunihadithia mara fulan hajatulia mara vile.
Sasa mimi najiuliza ndoa yetu Bado changa kuna mambo mengi ya kujifunza hasa kwa waliotangulia Sasa utajifunza vp wakati watu wa cyle Yako hawajui hata maana ya hiyo ndoa?
Sasa ana rafiki yake huyo ndo balaa Hadi alishawahi kulala kwake mara 2 hadi nilipomwambia sitaki hiyo tabia ya kulala nje ndo akaacha, rafiki ambaye anaheshimu ndoa Yako atakupigia cm saa 6 usiku?
Au ataruhusuje ulale nje ya familia yako? Naomba wajuzi wa haya mambo wanijuze maana nashindwa kuelewa.
Asanteni
babuuuh nawee una mawazo haya? KhaaaahNimechelewa kuja hapa lakini naamini kuna kitu unapaswa kukichunguza kwa makini hasa huyo rafiki yake.. Isije kuwa mna share mume
Mumeo analala nje tena analala kwa mwanaume mwenzie..umekagua marinda yapo kweli! Je una miaka mingapi na mumeo isije kuwa tunashauri msichana na mvulana tofauti ya mwanamke na mwanaume. Huyu mumeo hajitambui na hajui maana ya ndoa. Ninachokitabili ni kuwa hapo hakuna ndoa na hamuwezi kuja kuendelea. Usizae tena vuta muda.
useme na role yake sasa, au ndo ile kula na kuliwa?Mumeo ni shoga nakuhakikishia.
Nimewaza tu haya maana siku hizi ukiwa na mkemwenza mwanamke shukuru Mungubabuuuh nawee una mawazo haya? Khaaaah
Ipi mwanaume mwenye mke ndani akalale kwa mwanaume mwenzie?! Huo ni ushoga
Sasa umri huu ndo wa kufanya hayo afanyayo? MmmmmmhMbona mnakimbilia kwenye ushoga?? Ina maana haiwez kuwepo sababu nyingine?
Kuhusu miaka mume 33 mm 27
Huyu mtoa mada bado hajui chochote ktk hii dunia, iv km mama G mke mwenzie n B12 Afu hapa anabisha lol.Nimewaza tu haya maana siku hizi ukiwa na mkemwenza mwanamke shukuru Mungu
We nawe mawazo mabaya ya nini? Huyu jamaa hajalala kwa rafiki yake, Ila rafiki yake ndo anatumika kuficha uovu..Mchunguze vizuri huyo mume wako, kuna kitu cha ziada anacho jihusisha na hao vijana. Na sio Jambo la kawaida kwa mwanaume mwenye familiayake kulala na/kwa mwanaume mwenzake...
Yawezekana anakuka utumbo ama analiwa utumbo.
Naamini wakubwa wamenielewa
Yaani hatujawahi gombana na ni marafiki sana ndo maana huwa ananipa story za huyo rafiki yake na hata akitoka nae ananiaga pia, sijawahi kuwa na gubuMimi ninachoweza kukushauri ni kwamba
Jitahidi kuwa Rafiki yake
Hata Mimi ninachelewa kurudi home ila ni Kwa vile mke wangu ana gubu sana Usiku ukiingia naanza kuwaza
Huwa wanaume tunapenda kuwa na furaha. Kama hupati furaha nyumbani utaitafuta kokote.
Yaani Kwa comment hizi nimeamini watu mawazo Yao yanatumika na ibilisi mkuu..We nawe mawazo mabaya ya nini? Huyu jamaa hajalala kwa rafiki yake, Ila rafiki yake ndo anatumika kuficha uovu..
Ni kwamba jamaa aliopoa mlupo akaingia nao lodge, afu mke akapangwa eti leo nalala kwa rafiki yangu..
Watu wanacomplicate sana vitu, hiyo ndo mbinu wanaume wengi wanatumia..Yaani Kwa comment hizi nimeamini watu mawazo Yao yanatumika na ibilisi mkuu..
Usipaniki relaxYaani hatujawahi gombana na ni marafiki sana ndo maana huwa ananipa story za huyo rafiki yake na hata akitoka nae ananiaga pia, sijawahi kuwa na gubu