Hivi ni sawa kwa mwanaume aliyeoa ku-hang out muda mwingi na marafiki ambao hawajaoa?

Habarini za wakati huu wakuu, mimi nimeolewa na ndoa yangu ina mwaka sasa na tumebahatika mtoto mmoja.

Sasa kilofanya niandike uzi hapa ni kwamba mume wangu anapenda sana ku-hang out na marafiki ambao hawajaoa na mbali na Hilo washkaji zake hao hawajatulia tabia zao na yeye ndo akija anaanza kunihadithia mara fulan hajatulia mara vile.

Sasa mimi najiuliza ndoa yetu Bado changa kuna mambo mengi ya kujifunza hasa kwa waliotangulia Sasa utajifunza vp wakati watu wa cyle Yako hawajui hata maana ya hiyo ndoa?

Sasa ana rafiki yake huyo ndo balaa Hadi alishawahi kulala kwake mara 2 hadi nilipomwambia sitaki hiyo tabia ya kulala nje ndo akaacha, rafiki ambaye anaheshimu ndoa Yako atakupigia cm saa 6 usiku?

Au ataruhusuje ulale nje ya familia yako? Naomba wajuzi wa haya mambo wanijuze maana nashindwa kuelewa.

Asanteni
Samahani, kwani hamkufanya mafundisho ya ndoa na baba paroko, au sio waroma, na Kama mmefanya mafundisho basi kasahau mlichofundishwa kabla ya ndoa.
 
Habarini za wakati huu wakuu, mimi nimeolewa na ndoa yangu ina mwaka sasa na tumebahatika mtoto mmoja.

Sasa kilofanya niandike uzi hapa ni kwamba mume wangu anapenda sana ku-hang out na marafiki ambao hawajaoa na mbali na Hilo washkaji zake hao hawajatulia tabia zao na yeye ndo akija anaanza kunihadithia mara fulan hajatulia mara vile.

Sasa mimi najiuliza ndoa yetu Bado changa kuna mambo mengi ya kujifunza hasa kwa waliotangulia Sasa utajifunza vp wakati watu wa cyle Yako hawajui hata maana ya hiyo ndoa?

Sasa ana rafiki yake huyo ndo balaa Hadi alishawahi kulala kwake mara 2 hadi nilipomwambia sitaki hiyo tabia ya kulala nje ndo akaacha, rafiki ambaye anaheshimu ndoa Yako atakupigia cm saa 6 usiku?

Au ataruhusuje ulale nje ya familia yako? Naomba wajuzi wa haya mambo wanijuze maana nashindwa kuelewa.

Asanteni
Nimechelewa kuja hapa lakini naamini kuna kitu unapaswa kukichunguza kwa makini hasa huyo rafiki yake.. Isije kuwa mna share mume
 
Habarini za wakati huu wakuu, mimi nimeolewa na ndoa yangu ina mwaka sasa na tumebahatika mtoto mmoja.

Sasa kilofanya niandike uzi hapa ni kwamba mume wangu anapenda sana ku-hang out na marafiki ambao hawajaoa na mbali na Hilo washkaji zake hao hawajatulia tabia zao na yeye ndo akija anaanza kunihadithia mara fulan hajatulia mara vile.

Sasa mimi najiuliza ndoa yetu Bado changa kuna mambo mengi ya kujifunza hasa kwa waliotangulia Sasa utajifunza vp wakati watu wa cyle Yako hawajui hata maana ya hiyo ndoa?

Sasa ana rafiki yake huyo ndo balaa Hadi alishawahi kulala kwake mara 2 hadi nilipomwambia sitaki hiyo tabia ya kulala nje ndo akaacha, rafiki ambaye anaheshimu ndoa Yako atakupigia cm saa 6 usiku?

Au ataruhusuje ulale nje ya familia yako? Naomba wajuzi wa haya mambo wanijuze maana nashindwa kuelewa.

Asanteni
Mumeo analala nje tena analala kwa mwanaume mwenzie..umekagua marinda yapo kweli! Je una miaka mingapi na mumeo isije kuwa tunashauri msichana na mvulana tofauti ya mwanamke na mwanaume. Huyu mumeo hajitambui na hajui maana ya ndoa. Ninachokitabili ni kuwa hapo hakuna ndoa na hamuwezi kuja kuendelea. Usizae tena vuta muda.
 
Mkuu si ametolewa mahari kwanini unasema ni sogea tuishi

Kwani kuolewa si inahusisha kutoa mahari ambacho ndio kitu kikubwa
Halafu anadai kbs ni mume wake kumbe katolewa mahari tu. Huyu kajipeleka kukaa na jamaa na jamaa hajamaliza mambo yake.
 
Hivi kuna watu bado wana marafiki wa kupiga story mpaka saa 6 za usiku. Mimi sina ujinga wa hivyo kwanza sitaki hata mazoea ya kuja kwangu. Rafiki ni mmoja tu wengine ni salaam.
 
Back
Top Bottom