Hivi ni sawa kwa mwanaume aliyeoa ku-hang out muda mwingi na marafiki ambao hawajaoa?

Watu wanacomplicate sana vitu, hiyo ndo mbinu wanaume wengi wanatumia..

Anakutambulisha rafiki yake mmoja, tena mkiwa na shida atakuwa anakuambia amewakopesha, ili tu umwone rafiki wa maana.

Huyo ndo atakuwa chaka la kumtoa nyumbani..

Kama ambavyo ulikuwa unamtumia rafiki yako anakutoa home mkatembee na wanaume
Mkuu Sasa wewe ndo nimekuelewa maana huyo rafiki yake ana hela kidogo kuliko mume wangu Sasa utaskia ananiambia ngoja nikamchekeche huyo anitoe Leo siko poa.. asee Leo umenifumbua macho
 
Usipaniki relax
Hebu muulize nini anakosa kwako alafu ujiongeze na wewe
Kingine Usimuonyeshee kama anafanya kitu Cha ajabu sana utaharibu
Mshauri tu Kwa upole
Mwambie wewe ni Baba .... Sasa hivi heshima yako ni kubwa jaribu kufanya kama watu wanavyokuona/kukufikiria.
Mwambie Kwa upole mkiwa kitandani ila ukiwa kwenye hisia Kali
Utaona litamtoa machozi alafu unamfuta pole pole.
Hakuna mkate mgumu kwenye chai. Kumbuka hilo
Mwanamke umeumbiwa silaha nyingi sana Zitumie
Asante nitaifanyia kazi
 
Mkuu Sasa wewe ndo nimekuelewa maana huyo rafiki yake ana hela kidogo kuliko mume wangu Sasa utaskia ananiambia ngoja nikamchekeche huyo anitoe Leo siko poa.. asee Leo umenifumbua macho
Now you know, sasa nenda kistaarabu, siyo weee huyo flan blaah blaah. Bila shaka unazo
 
Hapo komaa na mtoto tu best, kama ni mtu wakupata likizo badilisheni mazingira muende mazingira mengine. Akizidi wewe muambie mtoto anajoto uone atakavyorudi mbio, akifika mwambie umemnyonyesha joto limekata hivyo utaangalia kesho ataamkaje

hahaha ila asizoee mpaka akajua ni tabia yake, siku atapata emergency kweli akapuuza kurudi.
 
maandiko yaliandikwa zamani sana. Kipindi hicho hakukuaga na washikaji.
Afu kipindi hicho usafiri ulikua ni punda, punda usiku atembei.
Nukuu: Matayo buku msitali wa elfu 4

washkaji walikuwepo sana na hata hizi starehe, kasome habari za akina Nuhu, Lutu na Ibrahimu…..walifanya karamu nyingi tu
Yakobo nae kabla ya kuoa….

ila hapo kwenye usafiri sasa
 
Huyu Dada amekuja Honest sana hadi nimempenda,, Wakuu mpeni ushauri anaohitaji ambao utamsaidia..

Mkuu mmeo kuwa na urafiki na watu hawajaoa ni sawa,, hakuna ubaya....inategemea na yeye anajielewa vipi,, anaku treat vipi,,anaonyesha mabadiliko yoyote juu yako?,, hatimizi majukumu?,....

Nini hasa kimepelekea wewe kuwa na wasiwasi?? kuna lolote mumeo amebadilika juu yako..

natumaini pia atakua na akili ya kupambanua kila ushauri na kuchagua yaliyo sahihi, humu mawazo/mashauri yapo mengi sana. Kazi kwake.
 
Pole sna Ila ndio ndoa hyo.
Kwanza kabisa angalia tabia zako Wenda Ni mtu wa ukali ukali muda mwingi au haumpi support kwa kile anachokushirikisha(hii inapelekea mume kufanya vitu vyake bila ya ww kujua ila tu utapokea taarifa ya kitu flani nimefanya)
Pili msome mumeo kwa umakini sana,wapenzi wengi huwa Wana act wakati wa mahusiano Ila ikishakuja ndoa ndio tabia zikizojificha huwa dhahiri.km mumeo anakula kilauli fanya juu chini weka ndani kiasi kadhaa then tumia njia yoyote awahi kurudi akikuta kilauli ndani ajidunge huko huko.
Km utashindwa mwambie akitoka kazini straight home akimaliza kula na kuijulia familia Hali ndio atoke( hii itampelekea kuwa na uvivu wa kutoka toka Sana)
Hao washkaji kuwaacha Ni ngumu na inahitaji kujitoa kafara ili kuepukana na masela wasio na watu wa kuwategemea.
Mfano.mm nilikuwa nauza usingizi kila ikifika ijumaa,jumamosi nitarudi saa 9 10 mpaka 11 alfajiri kabla hatujafunga ndoa na ndio ilikuwa destuli yangu tangu Niko chuo,siku moja nikarudi saa 1 flani hv asubuhi mwanangu wa kwanza akiwa na miezi 9 anaanza kutambaa
Dogo kanifata kwa shangwe nikambeba(na tungi langu kichwani) Ile kumsogeza kifuani nikawa namsemesha aisee dogo alininyali kna kwamba sijaswaki week 2.anaangalia harufu inapotokea Ni Kama haelewi hv,so nikamshusha chini kitu Cha kwanza ku notes Ni kwamba unachokitumia wew yawezekana ikawa kero kwa mwingine.
Nikaachana na route za kutoka every weekend nikawa nachukua vitu vyangu nijikita navyo ndani(Raha ya pombe ujimix na watu) so ikaenda mpka nikaona mbona km vibe silipati hv.nikahama nikaanza kunywa winenikapunguza kunywa mpka nikabaki na level ya ku sip tu one or two shots nikahama nikaenda kwenye Champagne nilikunywa Mara mbili(chupa 2 vipindi tofauti)tu kwa hyo system niliyokuwa nayo,siku zimeenda nikawa naziangalia tu kabatini.
Ninavyoongea iko chupa moja ina zaidi ya miaka miwili haijafunguliwa na mzuka Sina na tungi nimekatia.
Washkaji bachelor ninao lakini ninaonana nao kwa muda nitaokuwa free,yote hyo Ni kwa nn nimeamua kuwa Karibu na family.
utauliza Kwa nn mumeo arudi nyumbani mapema halafu ndio atoke!?
Jibu Ni hv akifika home mapema Ni rahisi kujua alichogain kwa siku Ile hvyo km mke hutaruhusu kuona mumeo kapata laki 3 af 2 akanywe na washakaji(hapo ataona anabanwa na kujirekebisha)
Km atakuwa mkaidi mwambie tugawane hzo unazokwenda kutumia na wanao halafu hiyo hela mpelekee mwanao kwenye account atakuja kukurudia na magoti juu.
Ukishindwa mwambie tunatoka wote uone km hajawa mkali ndio hapo utamu unapopatikana,mwambie tufanye maendeleo kwa ajili ya mtoto wetu hzo pombe utakunywa ukishamaliza majukumu yako.
me and I
 
Nice, nimependa story Yako , tho mine hanywi pombe Wala kilev chochote
 
Kilevi chake Ni mbususu,mwanaume anakwambia Sina Starehe,yaani weed,fegi havuti,pombe hanywi,mpira sio mpenzi,club haendi,kusoma vitabu na majarida sio mpenzi STAREHE YAKE NI NN
km sio mbususu na viduara vya 0713
 
Hivi unajua maana ya mahari? Labda tuanzie hapo
Kuna watu kibao wamelipa mahari na wamezalisha wamekimbia na kwenda kuoa sehemu zingine. Kulipiwa mahari sio ndoa hapo unajidanganya utakaa na mahari yako mkononi na utaachiwa na mtoto na ataenda kufunga ndoa na usiwe hata na nguvu ya kuzuia hiyo ndoa. Changamsha akili why unakuwa mzito kama madam Le profeso Joyce eeeeh aaaah Ndalichako
 
Habarini za wakati huu wakuu, mimi nimeolewa na ndoa yangu ina mwaka sasa na tumebahatika mtoto mmoja.

Sasa kilofanya niandike uzi hapa ni kwamba mume wangu anapenda sana ku-hang out na marafiki ambao hawajaoa na mbali na Hilo washkaji zake hao hawajatulia tabia zao na yeye ndo akija anaanza kunihadithia mara fulan hajatulia mara vile.

Sasa mimi najiuliza ndoa yetu Bado changa kuna mambo mengi ya kujifunza hasa kwa waliotangulia Sasa utajifunza vp wakati watu wa cyle Yako hawajui hata maana ya hiyo ndoa?

Sasa ana rafiki yake huyo ndo balaa Hadi alishawahi kulala kwake mara 2 hadi nilipomwambia sitaki hiyo tabia ya kulala nje ndo akaacha, rafiki ambaye anaheshimu ndoa Yako atakupigia cm saa 6 usiku?

Au ataruhusuje ulale nje ya familia yako? Naomba wajuzi wa haya mambo wanijuze maana nashindwa kuelewa.

Asanteni
Si sawa kabisa, ....ila ongea vizuri kwa mapenzi, kuwa anachofanya si mbolea kwa maisha yenu....
Ongea na mumeo ukiwa umesimama katika nafasi yako kama mke mwema, atakuelewa tena vizuri kabisa.

MUNGU akutangulie kwenye ndoa yako.
 
Kuna watu kibao wamelipa mahari na wamezalisha wamekimbia na kwenda kuoa sehemu zingine. Kulipiwa mahari sio ndoa hapo unajidanganya utakaa na mahari yako mkononi na utaachiwa na mtoto na ataenda kufunga ndoa na usiwe hata na nguvu ya kuzuia hiyo ndoa. Changamsha akili why unakuwa mzito kama madam Le profeso Joyce eeeeh aaaah Ndalichako
Sikushangai maana watu kama nyie wapo sana tu yaani inakuwa ni mioyo ilojaa makasiriko haijarishi mtu humjui au unamjua kwahiyo Kwa kuwa mioyo na mawazo Yenu yamejaa ubaya obviously hauwez kutoa ushauri wenye kujenga bali kubomoa maana naona umeshupalia sio ndoa sio ndoa, Sasa nikuibie tu Siri kwamba ndoa yetu ni Jan.2022.hatukuweza kufunga ndoa kwasababu ya mimba maana kiimani tuliambiwa sio vizuri.. ACHA NEGATIVE MIND MAN utafika mbali sana ila Kwa staili Hii utaishia kukasirikia watu hata usiowajua
 
Hahahahahahaha wewe dada nadhani unapitia muda mgumu sana. Sasa ndoa yenu ya mwaka gani sijui lakini haukuweza kufunga ndoa. Hapo hakuna maisha. Wangapi wanafunga ndoa na mimba. Ukileta hoja ukitaka kushauriwa usitarajie kubembelezwa.
 
Naona una stress Sasa unazimilizia jf pole sana na hata hivo uzi wangu sijaomba ushauri juu ya ndoa yangu naona umedandia tren Kwa mbele ..
 
Mimi sina msongo wowote nipo buheri wa afya njema na mapema sana narudi kwangu. Siwezi kukaa nje halafu nina familia. Huyo hakutaki utakuja kuniambia ipo siku.
Hauna familia yoyote watu wenye familia hata comment zao zinaonyesha maturity na kama wewe ni mume na ni baba basi mkeo ana hasara kubwa Sana maana wewe ni mvulana unabwabwaja sana.
 
Back
Top Bottom