Hivi ni sawa kwa mwanaume aliyeoa ku-hang out muda mwingi na marafiki ambao hawajaoa?

Kwahiyo wewe ndio unajiona mwenye point sana eehhh...??
Yaani wengine tusitoe michango yetu kwasababu eti wewe utaona ni upumbavu..!!
Anyway......
Hapa ndani kila mmoja yupo huru kuchangia kutokana na alivyosoma na akamuelewa mleta mada, na next time usije ukatetea ujinga wako kwasababu eti mnajiona mnajua sana kuchepuka.
Anyway, kwa mwanamke mwenye akili timamu akiambiwa na mume wake (kwamba alilala kwa rafiki yake wa kiume) lazima ajiulize maswali ya kutosha kwasababu huyo mume wake ndie nambari moja anamsema the same rafiki yake kwa mke wake....
The real gentleman alipaswa basi asingizie hata alikua club, alisafiri kikazi, alikamatwa polisi na vitu kama hizo.
Umesema kweli hapa.
 
Nimesoma mara 3 na kuelewa vema, hizo paragraph 2 za mwisho ndo zimebeba kitu.

Kiukweli huyo mume wako kuna jambo lipo baina yake na hao marafiki zake, sababu haiwezekan mtu mwenye mke tena wa ndoa na baba wa familia alale nje ya nyumba yake tena pasipo mke kujua,

Ni rafiki gan anaweza kumpigia rafk yake ambaye anajua yuko na familia yake SAA 6 usiku? Tena kwa mazungumzo ya kawaida na sio dharura? na huyo mume anapokea na wanazungumza mmmh.

Nakusihi jaribu kuchunguza sana tena taratibu utakuja kugundua kitu nyuma ya pazia, ila sitaki kuficha huyo mumeo ana mahusiano ya kimspenzi na hao rafiki zake, kadri ya maelezo yako 90% ni hivyo.

Kuwa makini sana, siku hizi hata mwanaume wanaolewa na wanakuwa wake wenza wa watu, poleeeh sana.
Kwanza wanaume saa 6 usiku wanapigiana sim kuongea nn hasa?

Ata mm nimeanza kuhis huyo dem ni mke wa mke wa mtu au ni mke wa mme wa mtu mwingne tena
 
Kwa maelezo haya aliotoa huyu dada, mume wake ni basha bila ubishi, yaan mtu ana ndoa afu analala nje kwa rafiki yake, na huko ukaribi wao wote ni wa mashaka. shangaa wee wanaume SAA 6 usku wanazungmza nn hata km marafk, bas iwe dharura, eti mazungmzo ya kawaida lol

Poleeh yake sana mume wake ni basha au kuchu.
 
Inaonyesha wazi mumeo anachepuka ila amejificha kwenye kichaka cha marafiki zake, kuhusu mitoko jaribu kuwa rafiki wa mumeo na mtu wake wa karibu sio kila mara ila mara moja moja muwe mnatoka wote. Kingine uzi wako umevamiwa na mashabiki wa ushoga nakusihi uwapuuze.
 
Nimesoma mara 3 na kuelewa vema, hizo paragraph 2 za mwisho ndo zimebeba kitu.

Kiukweli huyo mume wako kuna jambo lipo baina yake na hao marafiki zake, sababu haiwezekan mtu mwenye mke tena wa ndoa na baba wa familia alale nje ya nyumba yake tena pasipo mke kujua,

Ni rafiki gan anaweza kumpigia rafk yake ambaye anajua yuko na familia yake SAA 6 usiku? Tena kwa mazungumzo ya kawaida na sio dharura? na huyo mume anapokea na wanazungumza mmmh.

Nakusihi jaribu kuchunguza sana tena taratibu utakuja kugundua kitu nyuma ya pazia, ila sitaki kuficha huyo mumeo ana mahusiano ya kimspenzi na hao rafiki zake, kadri ya maelezo yako 90% ni hivyo.

Kuwa makini sana, siku hizi hata mwanaume wanaolewa na wanakuwa wake wenza wa watu, poleeeh sana.
Mmmh ngumu kumeza mkuu
 
Kwahiyo wewe ndio unajiona mwenye point sana eehhh...??
Yaani wengine tusitoe michango yetu kwasababu eti wewe utaona ni upumbavu..!!
Anyway......
Hapa ndani kila mmoja yupo huru kuchangia kutokana na alivyosoma na akamuelewa mleta mada, na next time usije ukatetea ujinga wako kwasababu eti mnajiona mnajua sana kuchepuka.
Anyway, kwa mwanamke mwenye akili timamu akiambiwa na mume wake (kwamba alilala kwa rafiki yake wa kiume) lazima ajiulize maswali ya kutosha kwasababu huyo mume wake ndie nambari moja anamsema the same rafiki yake kwa mke wake....
The real gentleman alipaswa basi asingizie hata alikua club, alisafiri kikazi, alikamatwa polisi na vitu kama hizo.
We foka tu ila punguza mawazo ya kishoga akilini mwako kuzani kila mtu ni shoga
 
Inaonyesha wazi mumeo anachepuka ila amejificha kwenye kichaka cha marafiki zake, kuhusu mitoko jaribu kuwa rafiki wa mumeo na mtu wake wa karibu sio kila mara ila mara moja moja muwe mnatoka wote. Kingine uzi wako umevamiwa na mashabiki wa ushoga nakusihi uwapuuze.
Kimtokacho mtu ndicho kiujazayo moyo wake kwahiyo watu wakiwa mabasha wanahis na wenzao hivohivo, labda michepuko but kuwa Basha noway I know my man
 
Yaani kwamba anaweza akawa haendani nao??

Kwani we unaendana na rfk zako tabia mpo sawa kila kitu ?

Je uko tayari kufanya kitu ambacho uko tofauti au uko against nacho for the sake of your friendship ?

Haya maswali mawili yanajibu swali lako hapo juu
 
Kuna sababu 1 kuu ya mwanaume kutopenda kukaa nyumbani kwake, nayo ni:
1. Nyumbani hamna anachomiss hadi anasahau kama ana nyumbani kwake
Man is a man, mtatafutaga sababu zote ilimradi mjione mko sawa, sometimes hamjuagi mnachotaka, maana we umesema hivo, mwingine atasema makelele, mwingine atasema vile, ili mradi mfiche hulka zenu Katika mwanamke
 
We foka tu ila punguza mawazo ya kishoga akilini mwako kuzani kila mtu ni shoga
Samahani dada, misijakufokea mwali.
Ebu fikiria kwa sauti kubwa, siku ukiolewa nakisha mumewako akikuambia anakuacha room/bed then alilala kwa rafikiyake wa kiumume...teh😂
 
Back
Top Bottom