me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,355
Habarini za wakati huu wakuu, mimi nimeolewa na ndoa yangu ina mwaka sasa na tumebahatika mtoto mmoja.
Sasa kilofanya niandike uzi hapa ni kwamba mume wangu anapenda sana ku-hang out na marafiki ambao hawajaoa na mbali na Hilo washkaji zake hao hawajatulia tabia zao na yeye ndo akija anaanza kunihadithia mara fulan hajatulia mara vile.
Sasa mimi najiuliza ndoa yetu Bado changa kuna mambo mengi ya kujifunza hasa kwa waliotangulia Sasa utajifunza vp wakati watu wa cyle Yako hawajui hata maana ya hiyo ndoa?
Sasa ana rafiki yake huyo ndo balaa Hadi alishawahi kulala kwake mara 2 hadi nilipomwambia sitaki hiyo tabia ya kulala nje ndo akaacha, rafiki ambaye anaheshimu ndoa Yako atakupigia cm saa 6 usiku?
Au ataruhusuje ulale nje ya familia yako? Naomba wajuzi wa haya mambo wanijuze maana nashindwa kuelewa.
Asanteni