Hivi ni kweli nguruwe anaingia mwezini?

Hivi ni kweli nguruwe anaingia mwezini?

damtanzania

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
752
Reaction score
1,465
Hali zenu wana JF,

Kuna jambo huwa nalisikia sikia japo sina taarifa sahihi juu yake.

Jamani, eti ni kweli yule mnyama pendwa sana na watu kama kitoweo, pork a.k.a kitimoto huwa anapata mzunguko ( menstruation cycle), kama akina mama?
 
Unataka kuanza kula?
Hali zenu wana jf,
Kuna jambo huwa nalisikia sikia japo sina taarifa sahihi juu yake.
Jamani, eti ni kweli yule mnyama pendwa sana na watu kama kitoweo, pork
a.k.a kitimoto huwa ana pata mzunguko ( menstruation cycle), kama akina
mama?
 
Nami niliwahi kusikia ishu hii ila bado sina uhakika ngoja waje wataalam watujuze
 
Hali zenu wana jf,
Kuna jambo huwa nalisikia sikia japo sina taarifa sahihi juu yake. Jamani, eti ni kweli yule mnyama pendwa sana na watu kama kitoweo, pork a.k.a kitimoto huwa ana pata mzunguko ( menstruation cycle), kama akina mama?

Mara nyingi anapenda kuuingia mwezi wa kumi na mbili ili akafaidi krismas na watumishi wa Mungu.
 
Pigs don't have menstrual cycles - they have oestrus cycles. ""The feedback systems between the ovaries, uterus, hypothalamus and pituitary gland govern a cycle of events that takes 18-21 days. This is known as the oestrus cycle. If conception occurs this cyclic pattern is interrupted and pregnancy is maintained for approximately 114 days. Removal of the sucking stimulus at weaning triggers a new sequence of events.""
 
Ki binaadam= menstrual cycle
Ki nguruwe nguruwe= oestrus cycle
Kwa vile zote zina ishia na neno cycle
Therefore:
Menstrual cycle=oestrus cycle
Mathematically proven😀
 
Hali zenu wana jf,
Kuna jambo huwa nalisikia sikia japo sina taarifa sahihi juu yake. Jamani, eti ni kweli yule mnyama pendwa sana na watu kama kitoweo, pork a.k.a kitimoto huwa ana pata mzunguko ( menstruation cycle), kama akina mama?
unataka kumzalisha?mbona unauliza kama unataka kutarget tarehe nzuri kuweka mimba?
 
Let us define what is kuingia mwezini, then tutaweza toa majibu sahihi? Bila kutoa definition ya kuingia mwezini tutabishana kama walevi tu!
 
Ki binaadam= menstrual cycle
Ki nguruwe nguruwe= oestrus cycle
Kwa vile zote zina ishia na neno cycle
Therefore:
Menstrual cycle=oestrus cycle
Mathematically proven😀

Kama ulijua hivyo... thread ya nini umeanzisha? unataka kutudhalilishia kitoweo chetu pendwa ambacho pia ni tiba ya ukimwi?
 
unataka kumzalisha?mbona unauliza kama unataka kutarget tarehe nzuri kuweka mimba?

Hahaha anataka kumuwowa? Kitoweo chetu pendwa kiwe shemeji yetu..... kwamba tuanza kuwala mashemeji zetu? God forbid.
 
Anavopenda misosi ataweza kweli safari ya mwezini? Cheki na NASA watakupa uhakika zaidi
 
Hali zenu wana JF,

Kuna jambo huwa nalisikia sikia japo sina taarifa sahihi juu yake. Jamani, eti ni kweli yule mnyama pendwa sana na watu kama kitoweo, pork a.k.a kitimoto huwa ana pata mzunguko ( menstruation cycle), kama akina mama?

Mjarbu uone
 
Back
Top Bottom