Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,441
Teh teh tehe!!Kwani hujui kwanini baadhi ya Madhehebu ya Kikristo yanakataza kumla?
We fuatilia anaependa kula Nguruwe lazima makalio yatakuwa yanamtetemo akitembea.
Mpenzi wangu ana masaburi magumu hayatikisiki, nitamshauri aanze kula kitimoto, napenda mwanamke masaburi yawe na mtetemo akitembea.