damtanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 752
- 1,465
- Thread starter
- #21
Mjarbu uone
Na naomba wewe nikutumie kama sample
Mjarbu uone
Hahaha anataka kumuwowa? Kitoweo chetu pendwa kiwe shemeji yetu..... kwamba tuanza kuwala mashemeji zetu? God forbid.
Na naomba wewe nikutumie kama sample
Kama ulijua hivyo... thread ya nini umeanzisha? unataka kutudhalilishia kitoweo chetu pendwa ambacho pia ni tiba ya ukimwi?
Mleta thread alitaka tu kuwatukana binadamu flani flani hivi. Ila tumekusamehe kwani waji.nga nao ni watu. Utakuwa kichaa kutukana ulipotokea. Bila huyo usingelikuwepo hapa duniani. Ukijiheshim itakusaidia tu
Binafsi sikupanga kumtusi mtu , nilitaka kujua. Ila watu wana nidhihaki badala ya kunijibu, sa mi nifanyeje sasa!
Kama ulijua hivyo... thread ya nini umeanzisha? unataka kutudhalilishia kitoweo chetu pendwa ambacho pia ni tiba ya ukimwi?
Hakuna mnya anaeingia mwezini.
Huyu atakuwa wale wale aspirin
Nadoubt kalishwa sehemu madudu yanalalama
Mkuu kama unayale maruhaniya pork nipm nikupe mistari ya baibo iwakimbize
Afu mkuu huwa sikuelewagi, hivi, umeacha mziki siku hizi?
Napita tu mpwa
Wataalamu tusaidieni