Hivi ni kwanini wasichana makini wanaringa?

Hivi ni kwanini wasichana makini wanaringa?

kuna vitu zingine inabidi nicheke tu sina namna.
hiv mkuu ulishakutana nao au imagination tu?
Hata wiki haijaisha ndo nimeingiza kwa mmoja wa dizaini hiyo,kanisumbua tangu mwaka jana may.
Kuingiza hivi aaaaaaargh hamna lolote,hana utamu,baridi,analia machozi mpuuzi sitaki tena.
 
Hata wiki haijaisha ndo nimeingiza kwa mmoja wa dizaini hiyo,kanisumbua tangu mwaka jana may.
Kuingiza hivi aaaaaaargh hamna lolote,hana utamu,baridi,analia machozi mpuuzi sitaki tena.
Yaan hata sitakaa niwaamin kbsa. Na wewe ulikuwa unamfatilia mwaka mzima ilikuwa ni application ya kazi? Hata km ni kaz mie ningeachana nayo. Pole zako. Namwonea huruma bi dada. Uzr wangu mie siko huko akhuuuu nshampata wangu wa kumoyo
 
Nimemfuatilia sn,hadi nilikata tamaa but mpaka nikamvua kw mbinde.
jje's halafu unaonekana beautiful ww.
 
Nimemfuatilia sn,hadi nilikata tamaa but mpaka nikamvua kw mbinde.
jje's halafu unaonekana beautiful ww.
Kwenye avanter au? [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] acha uwongo ww..mbona wa kawaidah..hapa tunazungumzia watoto wakali kwel

Acha kupigana na ukuta, ndivyo ilivyo, ndivyo ulivyo na ndivyo nilivyo...
 
Wanachoboa ni kwamba anakusumbua weeeee siku ukimvua pichu bwawa sasa sijui alikuwa anabana nini yaani they're out of expectations
 
Wakuu,

Nina swali ambalo linanisumbua sana, najiuliza ni kwanini wale wasichana wa (wa ukweli} wenye mapenzi ya dhati wanaringa sana?

Kwa mfano unapomtokea lazima akuzungushezungushe ukimtumia ujumbe anamaliza dakika kumi ndo anajibu, ukichati nae usiku anaacha anadai alipitiwa na usingizi, tofauti na wasichana vingurukizi (voda fasta) hawa unatongoza siku hyohyo na kupata jibu.

Lakini wale wenye mapenzi ya uaminifu anaweza hata kumaliza mwezi ajakupa jibu ni mizunguko tu.

Sasa najiuliza je, dalili mojawapo ya mwanamke mwaminifu ni

KUKUZUNGUSHA kwa mda mrefu?

Na je, anapokua anakuzungusha anakua anatafuta nini?

[HASHTAG]#nawasilisha[/HASHTAG]!
Hakuna kipimio cha kujua anamapenzi ya kweli kama anakuigizi tu?
Unajaribu kuidanganya akili yako kuwa anamapenzi ya kweli kumbe sio kweli
 
uwe unatanguliza pesa kwanza wala hawasumbuagi kwenye pesa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom