Hivi ni kwanini wasichana makini wanaringa?

Hivi ni kwanini wasichana makini wanaringa?

Kwamba Hapo kabla ume date na TAKATAKA BOMBAY...
now ume zinduka??
 
Wakuu,

Nina swali ambalo linanisumbua sana, najiuliza ni kwanini wale wasichana wa (wa ukweli} wenye mapenzi ya dhati wanaringa sana?

Kwa mfano unapomtokea lazima akuzungushezungushe ukimtumia ujumbe anamaliza dakika kumi ndo anajibu, ukichati nae usiku anaacha anadai alipitiwa na usingizi, tofauti na wasichana vingurukizi (voda fasta) hawa unatongoza siku hyohyo na kupata jibu.

Lakini wale wenye mapenzi ya uaminifu anaweza hata kumaliza mwezi ajakupa jibu ni mizunguko tu.

Sasa najiuliza je, dalili mojawapo ya mwanamke mwaminifu ni

KUKUZUNGUSHA kwa mda mrefu?

Na je, anapokua anakuzungusha anakua anatafuta nini?

[HASHTAG]#nawasilisha[/HASHTAG]!
Si hisabati tu, kama wa kwanza anachukua siku 28 kutoa jibu, basi kila baada ya siku tongoza mwingine, apo tunatafuta probality of event P(e}. Atakama watatoa ndio 1/4 tu, iyo ni sawa na 28/4=7, 28 wameji-shotlist adi wakabakia 7, sasa kama mwanaumr unahaki ya ku-shotlist ili wapungue, au uliamushe dude na timu yako mpya. 🤣

Mkutukubalia siku moja labda tutapunguza kasi ya kutongoza.

Imagine mwanamke mmoja unakomaaa nae mwaka mzima hajakupa jibu la kueleweka si anakupotezea muda, just probality na sample space kubwa! Chears! 😝 😝 😝 😝 😝
 
Hela. Ndugu Hela........akizingua ....vitobo vya haja vipo Vingi.....
 
Wakuu,

Nina swali ambalo linanisumbua sana, najiuliza ni kwanini wale wasichana wa (wa ukweli} wenye mapenzi ya dhati wanaringa sana?

Kwa mfano unapomtokea lazima akuzungushezungushe ukimtumia ujumbe anamaliza dakika kumi ndo anajibu, ukichati nae usiku anaacha anadai alipitiwa na usingizi, tofauti na wasichana vingurukizi (voda fasta) hawa unatongoza siku hyohyo na kupata jibu.

Lakini wale wenye mapenzi ya uaminifu anaweza hata kumaliza mwezi ajakupa jibu ni mizunguko tu.

Sasa najiuliza je, dalili mojawapo ya mwanamke mwaminifu ni

KUKUZUNGUSHA kwa mda mrefu?

Na je, anapokua anakuzungusha anakua anatafuta nini?

[HASHTAG]#nawasilisha[/HASHTAG]!
The best fish swims near the bottom, it's difficult to get
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom