Yaani ujipeleke mwenyewe machinjioni?Haya takusindikiza basi
Interesting..........Tanzania hii hii?
Mkuu usimsemee mwanamke/ msichana kuhusu uaminifu. Utajutia maneno yako. Aliye mwaminifu anajijua yeye mwenyewe. Uaminifu ni ziro siku hizi. Utaumiaaaaaa.Wakuu,
Nina swali ambalo linanisumbua sana, najiuliza ni kwanini wale wasichana wa (wa ukweli} wenye mapenzi ya dhati wanaringa sana?
Kwa mfano unapomtokea lazima akuzungushezungushe ukimtumia ujumbe anamaliza dakika kumi ndo anajibu, ukichati nae usiku anaacha anadai alipitiwa na usingizi, tofauti na wasichana vingurukizi (voda fasta) hawa unatongoza siku hyohyo na kupata jibu.
Lakini wale wenye mapenzi ya uaminifu anaweza hata kumaliza mwezi ajakupa jibu ni mizunguko tu.
Sasa najiuliza je, dalili mojawapo ya mwanamke mwaminifu ni
KUKUZUNGUSHA kwa mda mrefu?
Na je, anapokua anakuzungusha anakua anatafuta nini?
[HASHTAG]#nawasilisha[/HASHTAG]!
Naomba tafsiri hapa shem wangu @behavioristDo you have what it takes to get them in a blink of an eye?
Ukiona boya anakimbiwa, ujue kuna mjanja anakimbiliwa.
Akutafsirie sentensi ya kiswahili au ya kingerezaNaomba tafsiri hapa shem wangu @behaviorist
Hicho kizungu ndio sijaelewaAkutafsirie sentensi ya kiswahili au ya kingereza
anakuzungusha kwasababu yuko makini alafu wewe utakua unaleta wasiwasiWakuu,
Nina swali ambalo linanisumbua sana, najiuliza ni kwanini wale wasichana wa (wa ukweli} wenye mapenzi ya dhati wanaringa sana?
Kwa mfano unapomtokea lazima akuzungushezungushe ukimtumia ujumbe anamaliza dakika kumi ndo anajibu, ukichati nae usiku anaacha anadai alipitiwa na usingizi, tofauti na wasichana vingurukizi (voda fasta) hawa unatongoza siku hyohyo na kupata jibu.
Lakini wale wenye mapenzi ya uaminifu anaweza hata kumaliza mwezi ajakupa jibu ni mizunguko tu.
Sasa najiuliza je, dalili mojawapo ya mwanamke mwaminifu ni
KUKUZUNGUSHA kwa mda mrefu?
Na je, anapokua anakuzungusha anakua anatafuta nini?
[HASHTAG]#nawasilisha[/HASHTAG]!
Ndivyo tulivyo..... tuko hivo.
acha uwongo ww..mbona wa kawaidah..hapa tunazungumzia watoto wakali kwelkizazi hiki hakina msichana wa kuringa,ukiona unaringiwa ujue unatafakariwa kupewa mzigoWakuu,
Nina swali ambalo linanisumbua sana, najiuliza ni kwanini wale wasichana wa (wa ukweli} wenye mapenzi ya dhati wanaringa sana?
Kwa mfano unapomtokea lazima akuzungushezungushe ukimtumia ujumbe anamaliza dakika kumi ndo anajibu, ukichati nae usiku anaacha anadai alipitiwa na usingizi, tofauti na wasichana vingurukizi (voda fasta) hawa unatongoza siku hyohyo na kupata jibu.
Lakini wale wenye mapenzi ya uaminifu anaweza hata kumaliza mwezi ajakupa jibu ni mizunguko tu.
Sasa najiuliza je, dalili mojawapo ya mwanamke mwaminifu ni
KUKUZUNGUSHA kwa mda mrefu?
Na je, anapokua anakuzungusha anakua anatafuta nini?
[HASHTAG]#nawasilisha[/HASHTAG]!
NdioTanzania hii hii?
Pengine hakuna kitu kina mu interest toka kwako.....we kuwa generous peleka zawadi nzuri nzuri...mualike outing sehemu za ukweli...mfuate kwake na gari ya ukweli sio baby walker...mpigie simu badala ya kutuma msg za whatsapp za kuchatchat...lakini most importantly don't fake fanya hayo kama una uwezo...akiendelea kuku ignore kama hivyo..njoo uniambie hapa nikupe njia nyingine...Wakuu,
Nina swali ambalo linanisumbua sana, najiuliza ni kwanini wale wasichana wa (wa ukweli} wenye mapenzi ya dhati wanaringa sana?
Kwa mfano unapomtokea lazima akuzungushezungushe ukimtumia ujumbe anamaliza dakika kumi ndo anajibu, ukichati nae usiku anaacha anadai alipitiwa na usingizi, tofauti na wasichana vingurukizi (voda fasta) hawa unatongoza siku hyohyo na kupata jibu.
Lakini wale wenye mapenzi ya uaminifu anaweza hata kumaliza mwezi ajakupa jibu ni mizunguko tu.
Sasa najiuliza je, dalili mojawapo ya mwanamke mwaminifu ni
KUKUZUNGUSHA kwa mda mrefu?
Na je, anapokua anakuzungusha anakua anatafuta nini?
[HASHTAG]#nawasilisha[/HASHTAG]!
Ngoja ajeHicho kizungu ndio sijaelewa
ne hadi wakuchambue na wenzake kwanza kama unafaa akuangalie kwanza tabia kwa mdaa na ni kisiri siri.Wakuu,