Hivi ni kwanini wasichana makini wanaringa?

Hivi ni kwanini wasichana makini wanaringa?

Anakuwa bado anakusoma ili apate uhakika kama kweli unampenda au unataka kumvua picchu tu.

Wakuu,

Nina swali ambalo linanisumbua sana, najiuliza ni kwanini wale wasichana wa (wa ukweli} wenye mapenzi ya dhati wanaringa sana?

Kwa mfano unapomtokea lazima akuzungushezungushe ukimtumia ujumbe anamaliza dakika kumi ndo anajibu, ukichati nae usiku anaacha anadai alipitiwa na usingizi, tofauti na wasichana vingurukizi (voda fasta) hawa unatongoza siku hyohyo na kupata jibu.

Lakini wale wenye mapenzi ya uaminifu anaweza hata kumaliza mwezi ajakupa jibu ni mizunguko tu.

Sasa najiuliza je, dalili mojawapo ya mwanamke mwaminifu ni

KUKUZUNGUSHA kwa mda mrefu?

Na je, anapokua anakuzungusha anakua anatafuta nini?

[HASHTAG]#nawasilisha[/HASHTAG]!
 
Ukiona anaringa jua bado hajavutika kwako
Kama wewe unavyoniringia mimi,lakini Nyani Ngabu umemzimikia nae anaringa kama wewe,ngoja na mimi nianze kukurigia,na ukinitumia sms najibu baada ya wiki.
 
si kweli,wasichana makini uwaga hawaringi ila sasa unaweza mchukulia simple simple tu chapa ilale lkn atakavyokutoa jasho lazima mwenyewe ukubali mtoto anajielewa...wanaringaga sana malaya na wale k.bwawa madoido mengi...ila week hamalizi unamvua unakuta vituko unatema mate chini unaondoka...demu makini yupo simple tu lkn ni ngumu kwelikweli
 
Hivi utamjuaje Ni makini au Ana mapenzi ya ukweli...??
 
Unamfatilia mwezi mzima amekuwa dada yako uyo wa kusema damu nzito kuliko maji siku moja ya pili anakubali
 
Mwanamke mwenye mapenzi ya dhati na anayejielewa ana haki ya kujiamini. Kwa ubora na upekee, Anastahili kuringa. Kwa sababu ana hadhi nzuri na ana sifa nzuri ambazo mwanaume mwenye akili na mipango atajitahidi kumpata kwa sababu ameona its a nectar in a lotus.

Its us, gentlemen tujitume kuwa wasikivu na kuonyesha upendo wa kweli na nia. Atakuelewa tu akiona una nia na malengo mazuri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom