Hivi ni kwanini wasichana makini wanaringa?

Wakuu,

Nina swali ambalo linanisumbua sana, najiuliza ni kwanini wale wasichana wa (wa ukweli} wenye mapenzi ya dhati wanaringa sana?

Kwa mfano unapomtokea lazima akuzungushezungushe ukimtumia ujumbe anamaliza dakika kumi ndo anajibu, ukichati nae usiku anaacha anadai alipitiwa na usingizi, tofauti na wasichana vingurukizi (voda fasta) hawa unatongoza siku hyohyo na kupata jibu.

Lakini wale wenye mapenzi ya uaminifu anaweza hata kumaliza mwezi ajakupa jibu ni mizunguko tu.

Sasa najiuliza je, dalili mojawapo ya mwanamke mwaminifu ni

KUKUZUNGUSHA kwa mda mrefu?

Na je, anapokua anakuzungusha anakua anatafuta nini?

[HASHTAG]#nawasilisha[/HASHTAG]!

JAMANI MDOGO WANGU SI UMEMALIZA TU JUZI MTIHANI WA DARASA LA SABA!

SUBIR MWAKANI BASI UANZE KIDATO CHA KWANZA, HALAFU ELIMU ELEKEZI UTAZIPATA UKIHITIMU CHUO KIKUU..
 
Muache akifikisha 33 atajiunga jf akitafta mume yoyote bila kujali dini,kazi ,wala elimu
 
Attachments

  • 1475986301183.jpg
    1475986301183.jpg
    52.8 KB · Views: 34
Wakuu,

Nina swali ambalo linanisumbua sana, najiuliza ni kwanini wale wasichana wa (wa ukweli} wenye mapenzi ya dhati wanaringa sana?

Kwa mfano unapomtokea lazima akuzungushezungushe ukimtumia ujumbe anamaliza dakika kumi ndo anajibu, ukichati nae usiku anaacha anadai alipitiwa na usingizi, tofauti na wasichana vingurukizi (voda fasta) hawa unatongoza siku hyohyo na kupata jibu.

Lakini wale wenye mapenzi ya uaminifu anaweza hata kumaliza mwezi ajakupa jibu ni mizunguko tu.

Sasa najiuliza je, dalili mojawapo ya mwanamke mwaminifu ni

KUKUZUNGUSHA kwa mda mrefu?

Na je, anapokua anakuzungusha anakua anatafuta nini?

[HASHTAG]#nawasilisha[/HASHTAG]!

Wanaringa kwa sababu wapo makini.
 
Do you have what it takes to get them in a blink of an eye?
Ukiona boya anakimbiwa, ujue kuna mjanja anakimbiliwa.
 
Wakuu,

Nina swali ambalo linanisumbua sana, najiuliza ni kwanini wale wasichana wa (wa ukweli} wenye mapenzi ya dhati wanaringa sana?

Kwa mfano unapomtokea lazima akuzungushezungushe ukimtumia ujumbe anamaliza dakika kumi ndo anajibu, ukichati nae usiku anaacha anadai alipitiwa na usingizi, tofauti na wasichana vingurukizi (voda fasta) hawa unatongoza siku hyohyo na kupata jibu.

Lakini wale wenye mapenzi ya uaminifu anaweza hata kumaliza mwezi ajakupa jibu ni mizunguko tu.

Sasa najiuliza je, dalili mojawapo ya mwanamke mwaminifu ni

KUKUZUNGUSHA kwa mda mrefu?

Na je, anapokua anakuzungusha anakua anatafuta nini?

[HASHTAG]#nawasilisha[/HASHTAG]!
Wapo ndani ya yesu na wanaringa na yesu ndio maana mkuu wangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom