Vyote, genetics, mazingira na utamaduniDuuh aisee.. Je IQ ni natural au ni kwasababu ya mazingira na utamaduni?
Maneno tu! Tatizo njaa kwa wingiUmejaribu wangoni na wamakonde?
Mbingu na ardhi ziache kuandamana kwa mauaji ya binadamu yaliyokothiri, yaje kuandamana kwangu kwa kukupa ukweli wa maisha ulivyo?Am walahi wewe dada, mbingu na ardhi zitaandamana kwa mashtaka yako siku ya kiama.
Na kuhakikisha mwisho mbaya katika maisha yako, maana hatua uliyofikia ni mbaya sana
Mimi huwa nahisi hivyoDuh, je ndo kigezo cha kuwa wamatumbi wote duniani wamelaaniwa?
Watu kama nyie kina Kweka wanapiga shaba tu za kichwa…Mali yako si ingekaa kiunoni kwako..!! 😹
Watu wasifanye utalii wa Ndani wakuendekeze wewe??
Narudia tena, utagongwa wewe mpaka mkeo… YBWYB 😹Wewe umesha laaniwa, huna thamani tena katika hii dunia, ndo maana una ropoka na kufungua bakuli lako kadri akili yako chafu itakayo kutuma
Na yeye anaenda kuokota sabuni jela 😹Watu kama nyie kina Kweka wanapiga shaba tu za kichwa…
Mleta mada analalama huko kuhusu ladies wa bongoUchangamfu hapo ndio sijaelewa.
Shida haipo kwa hao wanawake shida ipo kwako. Nafsi yako haina speed governor!Sio kwa nia mbaya,
Yaani mwanamke wa kibongo(average one) anacho offer mara nyingi ni ngono tu.. Kinacho weka mahusiano sio ngonopekee bali ni mutual love and responsibilities.
Si semi kubeza watu ama kuanzisha makundi ya ku bully watu,
Ila naongelea uhalisia uliopo nje na tumeweza ku experience tulio wengi.
Ni kwanini wanawake wa kibongo wanakinai mapema, yaani sijui niseme je ili mnielewe.
Unaweza kuleta pisi ndani ukaioa ila ukashangaa umeshaichoka na kutaka ukachaoe nyingine
Hawana kabisa craetivtiy kusema kwamba leo nimfanyie surprise baba fulani, kila siku yeye ndo umfanyie surprise.
Ndo maana watu Wanachepuka kila kukicha. Mimi naona utamaduni wa kiafrica umefanya mwanamke awe gugu maji, yaani awe mtu wa kupeleka na upepo tu na asiweze kuwa na maamuzi yake katika ndoa.. Wanawake wapo wapo tu.. Sisemi kuwabeza wala kuwaongelea vibaya.
Ni mtazamo wangu tu ndugu zangu, au mnasemaje?
Wanawake wanachokwa mapema kwasababu wanawake wengi hawana vya kwao, wanataka hata kama ana kazi awe yeye tu ndo wa kupewa kila kitu, na bado kitandani ajilaze kama gogo.
Ndo maana watu Wanachepuka, maana mtu mwishowe anachoka.
Am walahi wewe dada, mbingu na ardhi zitaandamana kwa mashtaka yako siku ya kiama.
Na kuhakikisha mwisho mbaya katika maisha yako, maana hatua uliyofikia ni mbaya sana
Mtoa mada hajaegemea upande mmoja(sex) pekee.Umejaribu wangoni na wamakonde?
Mchagga????🙄🙄🙄Katika maisha in general.. Hata kwenye ndoa ukipata mchaga mwaminifu Uta enjoy sana
nchi nyingine hazioni mpaka alalamike namna hiyoMleta mada analalama huko kuhusu ladies wa bongo