Hivi ni kwanini wanawake wa kibongo hukosa mvuto mapema?

Hivi ni kwanini wanawake wa kibongo hukosa mvuto mapema?

Mtoa mada hajaegemea upande mmoja(sex) pekee.

Kagusia upendo wa pamoja, akili na ubunifu.

Je hao Makonde wamebeba sifa zote za kumfanya mwanaume asichoke?
Haswaa, maana wanawake wengi wanajisahaulisha, na wajuba wanadhani kukinai mtu ni tendo pekee bali nyanja zingine zikishazoeleka zina affect kote
 
Haswaa, maana wanawake wengi wanajisahaulisha, na wajuba wanadhani kukinai mtu ni tendo pekee bali nyanja zingine zikishazoeleka zina affect kote
Kweli mkuu.
Hasa tabia za kishenzi msizoendana, pamoja na uchafu dah!

Hata angelikuwa na sura rembo kama Cleopatra, hauwezi ishi naye na kama utaforce, utaishi naye bila furaha.
 
Wanapoteza mvuto kwa sababu hawazingatii nafasi zao pamoja na majukumu yao ya kijinsia, ni either wanataka kujaliwa sana pasipo ku reciprocate ama wanataka kujifanya ‘super women’ wazee wa 50/50.

Mwanamke akisimama kwenye nafasi yake ki sawa sawa hata mwanaume utaona kukaa baa ni kupoteza muda.

Asilimia 90 ya wanawake wa sikuhizi akili zao ni kama za marehemu Jane Urassa
 
Sio kwa nia mbaya,

Yaani mwanamke wa kibongo(average one) anacho offer mara nyingi ni ngono tu.. Kinacho weka mahusiano sio ngonopekee bali ni mutual love and responsibilities.

Si semi kubeza watu ama kuanzisha makundi ya ku bully watu,

Ila naongelea uhalisia uliopo nje na tumeweza ku experience tulio wengi.

Ni kwanini wanawake wa kibongo wanakinai mapema, yaani sijui niseme je ili mnielewe.

Unaweza kuleta pisi ndani ukaioa ila ukashangaa umeshaichoka na kutaka ukachaoe nyingine

Hawana kabisa craetivtiy kusema kwamba leo nimfanyie surprise baba fulani, kila siku yeye ndo umfanyie surprise.

Ndo maana watu Wanachepuka kila kukicha. Mimi naona utamaduni wa kiafrica umefanya mwanamke awe gugu maji, yaani awe mtu wa kupeleka na upepo tu na asiweze kuwa na maamuzi yake katika ndoa.. Wanawake wapo wapo tu.. Sisemi kuwabeza wala kuwaongelea vibaya.

Ni mtazamo wangu tu ndugu zangu, au mnasemaje?

Wanawake wanachokwa mapema kwasababu wanawake wengi hawana vya kwao, wanataka hata kama ana kazi awe yeye tu ndo wa kupewa kila kitu, na bado kitandani ajilaze kama gogo.

Ndo maana watu Wanachepuka, maana mtu mwishowe anachoka.
sifahamu :1Head:
 
Mh huelewwki unachokitaka ukishindwa kuwa na demu wewe nenda kawe demu wa mtu, fambastic
Punguani wewe?

Inamaana hujui kuwa mwanamke mshenzi ndiye anaharibu ndoa kwa ujinga na ujuha wake yeye mwenyewe?

A cha udwanzi wa kukataa the fact that vyanzo vya matatizo ni nyie wenyewe na ujinga wa akili zenu?
 
Kweli mkuu.
Hasa tabia za kishenzi msizoendana, pamoja na uchafu dah!

Hata angelikuwa na sura rembo kama Cleopatra, hauwezi ishi naye na kama utaforce, utaishi naye bila furaha.
Hiki ndo kitu ambacho tu nawaambia kila siku ila hawataki kusikia ndo maana wanaishia kula shaba tu
 
Wanapoteza mvuto kwa sababu hawazingatii nafasi zao pamoja na majukumu yao ya kijinsia, ni either wanataka kujaliwa sana pasipo ku reciprocate ama wanataka kujifanya ‘super women’ wazee wa 50/50.

Mwanamke akisimama kwenye nafasi yake ki sawa sawa hata mwanaume utaona kukaa baa ni kupoteza muda.

Asilimia 90 ya wanawake wa sikuhizi akili zao ni kama za marehemu Jane Urassa
Nagongea na nyundo kabisa huu ujumbe
 
Back
Top Bottom