chumvichumvi
JF-Expert Member
- May 6, 2010
- 1,207
- 313
mi sidhani kama ni chuki bali ni ukweli mtupu udom hamna kituChuki dhihi ya chuo cha udom zinatoka wapi?
mi sidhani kama ni chuki bali ni ukweli mtupu udom hamna kituChuki dhihi ya chuo cha udom zinatoka wapi?
Francis,huo mfumo kwa sasa hautumik,chuo kimeajiri maprof weng wa kutoka nje ya nchi,hasa Urus na India.Mi nasoma hapa.
na declare interest: Mimi ni mdau wa udom. Ni bahati mbaya sana taarifa za uongo kama hizi huja wakati udahili wa vyuo vikuu ukikaribia. Ni hofu tu maana kama sio huu mfumo wa tcu, udom ingeweza kudahili zaidi ya nusu ya waombaji nchi nzima. Sasa mkae kimya, maana mkiiamsha udom ikaanza kujitangaza hali itakuwa mbaya. Nimesikia kuna madarasa ukiingia utadhani ni studio za bbc, lecturer mmoja aweza kufundisha madarasa manne tofauti na wakati mmoja. Mwisho ni kuwa pamoja na uchanga wa udom tayari ina jeshi kubwa la kujibu haya mashambulizi kwa kutoa ukweli.
Maproffesor wa UDOM ni chanzo cha dharau hz!
Thibitisha usasa wa chuo kikuu cha Dodoma!
hivi unajua maana ya usasa??
usasa gani hakuna waalimu wa kutosha?
usasa gani hakuna learning material za kutosha?
usasa gani waalimu hawalipwi salaries and wages kwa wakati?
usasa gani chuo kinaanzisha bila kufanyika kwa research nini kinahitajika? yani wanafunzi weeeengi wakati walichofuata hakitoshelezi?
usasa wa UDOM una ukale mwingi sana! kuanzia top level management mpaka chini, mpaka serikalini, ni majanga tu!
Japo ni chuo kikubwa na cha kisasa mno barani Afrika chuo hiki kinadharaulika mno kitaaluma. Kuna tangazo moja la kazi lilikuwa linasema kwamba.., kigezo moja wapo ili mtu aweze kupata hiyo ajira ni kwamba "asiwe amehitimu kutoka Udom.
wala, mi niko kawaida tu, mleta mada ndiyo hajui alichoongea, nimejaribu kumuuliza maswali ambayo yalitakiwa kufanyiwa utafiti kabla mada haijaletwa hapa!umetoka mapovu
nashangaa mpaka sasa hajajibu hoja!
Nadhani huruma watiwa wewe, mimi niko stable kabisa na wala elimu yangu siyo ya UDOM, jambo la msingi hapa ni kufanya uchambuzi yakinifu, na si kuleta hoja za kushushiana heshima!mpka unatia huruma..polee
Nimefurai sana ulivyodeclare interest ila nimesikitika sana kuona msomi mtarajiwa kama ww unakombatia maradhi ili hali wajua kifo kitakuumbua .... mkuu ukweli unaujua kuhusu udom ukiachilia uzuri wa majengo mengine yote yaliyobaki ni matatizo elimu hakuna na ile iliyokuwepo mtaani wanasema ni ya kayaga twende ila kwa dunia ya sasa kanyaga twende haiitajiki tena hawa wanaoongea wanawatakia nyie wanawaudom heri hicho chuo kinaharibiwa na baadhi ya vitu ambavyo mimi nilivyovishuhudia ni pamoja na udini, undugu na nani ni nani kwa nani na mengineyo ili icho chuo kiwe chuo kama chuo ivo vitu lazima vitokomezwe na mimi mkereketwa milele sitoacha kusema mpaka kibadilike for the best of Tanzania and betterment of wanaudom na ushahidi mnao nyie wanaudom mtapinga usoni ila moyoni mnakiri huu ukweli ....
hivi unajua maana ya usasa??
usasa gani hakuna waalimu wa kutosha?
usasa gani hakuna learning material za kutosha?
usasa gani chuo kinaanzisha bila kufanyika kwa research nini kinahitajika? yani wanafunzi weeeengi wakati walichofuata hakitoshelezi?
ndugu..! hivi kwa uelewa wako kuna mtu anaweza kufeli kuzimudu pass-mark za St. kayumba....(udom)
ukubwa wa chuo sio majengo na rangi za kupendeza,hicho chuo kina mapungufu mengi likiwemo uwezo mdogo wa wahitimu,ni mpango mahusus sawa na mpango wa sec za kata ambazo wahitimu hawajui kusoma wala kuandika
mbona mimi nilishavaa joho, enzi zangu za msuli na kuitafuta degree niliteseka sana hadi nikajilaumu kwa nini sikuomba Udom kwenye bata na sehemu ambapo degree nikuchukua kilahisi
See thread
Nahisi mambo kama haya yanafanya UDOM idharaulike mno..!!