Hivi ni kwanini UDOM inadharaulika kiasi hiki?

Hivi ni kwanini UDOM inadharaulika kiasi hiki?

hhhahahahahahaha...!, sasa uhazili ndio nini..??! samahani lakini...
UHAZILI ni kiswahili fasihi kabisa cha fani zinazohusiana na secretarial courses, ulifikiri nimekosea nikataka kumaanisha UWAZIRI?? pole sana that proves to me how moron you are!! endelea na kozi zako za uhazili zinakufaa sana
 
sikucheka kwamba umekosea..., nimecheka kwa ulivyonipimia na kikozo hicho...!! hahahahahah..!!
 
Tatzo n kwamb hko chuo n chuo cha chama cha mapinduzi xo siasa zmejaa utawala wa hapo. Dats y
 
Udsm nakikubali, kimeandaa viongozi mizigo hata Kinana anajua dunia nzima inajua, mafisadi sugu wamesoma Udsm Komba anajua dunia nzima inajua, wakurugenzi wanaoboronga halmashauri moja wamesoma Udsm Nape anajua, Dunia nzima inajua, Mawaziri mizigo wote wamesoma Udsm MANGULA Anajua, Tanzania nzima inajua. Madaktari feki wamesoma Udsm Mwigulu anajua, Dunia nzima inajua. Wahandisi feki wamezaliwa na kukulia Udsm CCM wanajua, watanzania wanajua. Sasa Udom inakosa gani? Bora mngeleta uzi unasema How Udsm Under developed Tanzania?

Cdhani kama chuo kina mwambia mtu asiwe mwadilifu mbadhiribu au asiwe rrsponsible kwenye utendaje swala hapo ni je utawala wa sheria unatekelezwa and not other wise let think out of the box niamini kama vjana ndo munafikiru hvi ni shda ni mabadiliko gani muyaleta kwa jamii
 
Udom msipo mpa mdogo wangu provisional result wakat amelipia mapema,dogo anatakiwa kusafir kwenda nje ya nchi, ntakuja mwenyew,ukijua A mwingine atajua B. MNAJICHORESHA BURE KILA SIKU KWENYE MITANDAO.
 
hiyo nichuki binafsi kwa chuo chetu udom.hivi naomba kujua hao wanafunzi wanaodahiliwa udsm,sua ,sauti etc wanna uwezo kuliko was udom? mbona kuna wanafunzi wengi wako udsm uwezo wao ni kawaida sana? badiliken bana so kukalili, udom kama tasisi ina mazuri na madhaifu yake!
 
Labda wahitimu wake wengi wanakuwa "Mapoyoyo" makazini......

'CHUO KIKUU CHA KATA KILICHOANZISHWA NA VASCO DAGAMA BILA MATAYARISHO MAKINI" . Tumejionea mengi katika awamu hii ambayo yanatekelezwa kwa kukurupuka na matokeo yake ni aibu tupu likiwemo hili na wahitimu wa chuo cha Dodoma kuwa MAPOYOYO na bunge la katiba kushindwa kutekeleza majukumu yake!!!
 
japo ni chuo kikubwa na cha kisasa mno barani afrika chuo hiki kinadharaulika mno kitaaluma. Kuna tangazo moja la kazi lilikuwa linasema kwamba.., kigezo moja wapo ili mtu aweze kupata hiyo ajira ni kwamba "asiwe amehitimu kutoka udom.

na declare interest: Mimi ni mdau wa udom. Ni bahati mbaya sana taarifa za uongo kama hizi huja wakati udahili wa vyuo vikuu ukikaribia. Ni hofu tu maana kama sio huu mfumo wa tcu, udom ingeweza kudahili zaidi ya nusu ya waombaji nchi nzima. Sasa mkae kimya, maana mkiiamsha udom ikaanza kujitangaza hali itakuwa mbaya. Nimesikia kuna madarasa ukiingia utadhani ni studio za bbc, lecturer mmoja aweza kufundisha madarasa manne tofauti na wakati mmoja. Mwisho ni kuwa pamoja na uchanga wa udom tayari ina jeshi kubwa la kujibu haya mashambulizi kwa kutoa ukweli.
 
yaan proffessor mmoja madarasa manne..., mbona hii ni ratio ya shule za kata...??! ungeniambia darasa moja prof. mmoja sawa.., kwani vipi.., mna uhaba wa ma prof. huko au..??!
 
yaan proffessor mmoja madarasa manne..., mbona hii ni ratio ya shule za kata...??! ungeniambia darasa moja prof. mmoja sawa.., kwani vipi.., mna uhaba wa ma prof. huko au..??!

hukumwelewa labda alimaanisha e-learning ?!!!
 
Japo ni chuo kikubwa na cha kisasa mno barani Afrika chuo hiki kinadharaulika mno kitaaluma. Kuna tangazo moja la kazi lilikuwa linasema kwamba.., kigezo moja wapo ili mtu aweze kupata hiyo ajira ni kwamba "asiwe amehitimu kutoka Udom.

All said, walimu wake academically wakoje! watu wana GPA below 3,
 
hukumwelewa labda alimaanisha e-learning ?!!!
Sasa e-learning si ni njia moja wapo ya kukabiliana na uhaba wa ma-prof. au..?! coz e-learning ya nini kama kila darasa lina mwalimu..??!
 
Chuachakala,weka ushahidi ,mtaje ,tumechoshwa na taarifa za kutunga
 
Francis,huo mfumo kwa sasa hautumik,chuo kimejari maprof weng wa kutoka nje ya nchi,hasa urus na india.Mi nasoma hapa.
 
Francis,huo mfumo kwa sasa hautumik,chuo kimeajiri maprof weng wa kutoka nje ya nchi,hasa Urus na India.Mi nasoma hapa.
 
Uwepo wa UDOM umesababisha na utaendelea kusababisha watu na makundi fulani waathirike na hata hao ambao waliwahi kusema hawataajiri mtu kutoka UDOM walifanya hivyo kuwaungamkono wadau wenzao ambao uwepo wa UDOM Unawasumbua.
Ukitaka ujue ukweli wa Chuo Cha Dodoma uliza wanaosoma pale na ndio utajua ukweli kuhusu:-

1. Elimu inayotolewa UDOM haipisha na vyuo vingine ukiachia mbali kuwa chuo hicho bado ni kichanga ukulinganisha na vyuo vingine.
2. Elimu ya UDOM sio ILE YA SPOON FEEDING kama baadhi ya vyuo ambavyo watu wengine huvisifia.

hapana elimu ya udom haifikii elimu yeyote ile ya chuo chochote kile hapa tanzania, elimu ya udom ni dhaifu sana mpaka inafika wakati unajiuliza itakuwaje uko mbeleni kama itaendelea kuwa ivo sababu ni moja ya chuo kinachochukua wanafunzi wengi kwa mkupuo ila deliverance yake hamna kitu nayaongea haya kwa ushaidi unaojitosheleza juu ya ilo kwa asilimia mia moja cjasimuliwa bali nimeyashuudia cha msingi wabadilike
 
Back
Top Bottom