Hivi ni kwanini UDOM inadharaulika kiasi hiki?

Mtoa mada jaribu kufikiria kabla hujatenda.. Leo unakizarau chuo Cha UDOM lakini ujue kuwa UDOM inamiaka tisa tangu ianzishwe.. Huwezi kukilinganisha na vguo vikongwe hapa nchini.. Lakinj pia ujue kuwa Taaluma inayotolewa UDOM sio ya kulinganisha vyuo vingine.. Hebu kaa uchunguze watu wanavyoumiza kichwa ndani ya Udom.. Nowdays watu wanakimbilia post za UDOM Na hii ni kwamba kuna vitu vipya ukilinganisha vyuo vikongwe ambavyo nowdays vinatoa taaluma kimazoea hata ukiangalia perfomance inashuka ni kwa sababu hawana vitu vipya. .so ww unayekizarau chuo cha UDOM UJUE KUWA KUNA KITU KINAITWA.. ''NEW CHANGES FOR THE COMING GENERATION'' UDOM YA SASA UTAKIDHARAU BUT YA BAADAYE UTATAMANI WAJUKUU ZAKO WAKASOMEE..
 
Hiki chuo sikuwahi hata kufikiria kusoma hapo....


By the way sio wote wanatoka empty hapo..
 
Katika kuanzishwa kwa chuo kikuu UDOM siasa zimekuwa nyingi tangu 2007.

Siasa zenyewe ni zile za kupenyeza uchama hasa vyama vikubwa vya kisiasa. Lakini pia hata baadhi ya wanasiasa pia wamejaribu kupenyeza wasio na sifa kwa uchache katika chuo hicho.

Ila ukijiuliza UDOM ya leo ndiyo ile ile changa ya miaka 5-7 nyuma?

Wahitimu wa miaka ya karibuni wana uwezo gani makazini?

Chuo chochote kina vipanga na vilaza, wa UDOM akikutana na UDSM, MUCE, SJUT, SAUT, n.k hopeful watazidia kwa machache.

Lakini katika vyuo hivyo hivyo vilaza hawakosekani.
 
Hahahaaaaaaa.....ni kweli chuo kipo kisiasa zaidi lakini nasikitika sana mnapoanza kudharau hadi wanafunzi wasio na makosa....Mie ni muhitimu na najivunia kuhitimu Udom tena kwa ufaulu mzuri sana so nyie endeleni kubeza wenzenu tunakula mishahara minono inayotokana na Udom, tena pengine hata mnaobeza mnazunguka tu na mibahasha ya kaki daily kila ofisi bila mafanikio....
 
Nasikia ni chuo rahisi kufaulu. Hata ukiwa na uwezo mdogo lazima upate GPA ya juu.

Vipi kuna ukweli hapo?
 
tatizo tunalinganisha udom na udsm. itachukua muda kwa udom kuwa juu kama udsm kwa sababu hata udsm nayo ilianza kama udom. lakini cha ajabu unakuta mtu anasoma sauti au tumaini halafu anajilinganisha na wa udom ambae ana sifa zote za kusoma chuo bora tanzania(udsm). wanafunzi wengi wa udom waliomba chuo kama udsm na mzumbe kutoka na kukidhi vigezo vyao sema kilichowabana ni intake capacity ya chuo husika ila kiukweli wanafunzi wa udom ni wale waliofahulu vizuri pia advance na o-level.
Umenena vyema Maulidi [I
0de4e9d359ea780583236e730f3541d5.jpg
 
Ila msifanye generalization jamani,kuna jamaa angu amemaliza udom bcom-accounts,akapata kazi pwc,saivi tuongeavyo,yuko pwc makao makuu london.msidharau udom kiivyo ingawa ni kweli wanafunz weng wa pale uwezo wao mdogo sana.
 
HII MADA ILITAKIWA IFANYIKE EVALUATION YA GRADUATE WOTE .kutoka vyuo vyote kwa kuwa uliza waajiri na wapokea huduma ,nani ni nani anafanyaje kazi?public universities nyingi zinatumia curiculla zinazofanana. Sijui ukilaza uanza tu mtu akichaguliwa Udom, lecturers wengi wa udom wametokea Sua, mzumbe,Udsm na vyuo vya nje? Mi naona tujue kila kozi wanadahiri vipi? ili tupime huko kudharauliwa. Vinginevyo this is fallacy of generalization.
 
Back
Top Bottom