Hivi ni kwanini UDOM inadharaulika kiasi hiki?

Hivi ni kwanini UDOM inadharaulika kiasi hiki?

UDOM IS A UNIVERSITY AS OTHER UNIVERSITIES IN TANZANIA, AFRICA AND WORLD AS WELL!!!! HATUANGALII UKUBWA WA CHUO WALA CHUO KINARAHISISHAJE KUPATA AJIRA!!! TATIZO NI KWAMBA UNAWAZA KUAJIRIWA NA WALA SIO KUJIAJIRI! SIJUI USIPOIPATA HIYO AJIRA NA HICHO CHUO CHAKO UNACHOKIONA NI BORA ITAKUAJE? NDIO MAANA KIKAITWA CHUO KIKUU NA WEWE NI MWANACHUO KIKUU HAPA NCHINI NI LAZIMA UJIELEWE NA UJUE CHA KUFANYA AFTER UNIVERSITY LIFE! UNAPOSEMA CHUO CHA UDOM KINADHARAULIKA NI TANZANIA LAKINI UJUE ELIMU YA TANZANIA NDIO WEAK EAST AFRICA BAADA YA UGANDA INAYOSHIKILIA NAFASI YA MWISHO KWA KUWA NA ASIMILIA 68% YA INCOMPETENT STAFFS IKIFUATIWA NA TANZANIA IKIWA 65%, RWANDA NA BURUNDI NI 60%NA 58% HUKU KENYA IKIWA INAONGOZA EAST AFRICA KWA 42% IKIWA NA WASOMI WENYE UWEZO WA KUAJIRIWA EASTAFRICA NZIMA BILA KIPINGAMIZI NA BAADHI SEHEMU NYINGINE DUNIANI!! THINK OF IT< BE WISE< CONTROL YOUR ATTITUDE!
HII NI KWA MUJIBU WA MAKALA MAALUMU YA ELIMU NA KUONGOZEKA KWA INTELLECTUALS ANNUAL REPORT 2013/2014 BBC AND DOTCH RADIO! :A S crown-1:
 
Udsm nakikubali, kimeandaa viongozi mizigo hata Kinana anajua dunia nzima inajua, mafisadi sugu wamesoma Udsm Komba anajua dunia nzima inajua, wakurugenzi wanaoboronga halmashauri moja wamesoma Udsm Nape anajua, Dunia nzima inajua, Mawaziri mizigo wote wamesoma Udsm MANGULA Anajua, Tanzania nzima inajua. Madaktari feki wamesoma Udsm Mwigulu anajua, Dunia nzima inajua. Wahandisi feki wamezaliwa na kukulia Udsm CCM wanajua, watanzania wanajua. Sasa Udom inakosa gani? Bora mngeleta uzi unasema How Udsm Under developed Tanzania?
 
Kuna mda huwa nashindwa kabsa kuelewa kwa nini wanaojiita wasomi wa nchi yangu wamekuwa brain washed kiasi hiki. Haya wewe msomi hebu tuwekee link ya hilo tangazo. Kisha tueleze ni kiasi gani viongozi walotoka udsm wamelisaidiaje taifa hili. Make mi sioni walichokifanya zaidi ya skendo za ubakaji, kupoa vibinti vidogo na kuongea uharo unaofanana na wako bungeni. JIFUNZE KU POST CONSTRUCTIVE TOPICS NA SI KUTUMIA VIBAYA OPTION YA 'NEW TOPIC'
 
Mawenz,maslahi binafsi yepi?wivu tu bcz umeshindwa kupata nafas ya kusoma hapa!
 
Nyie ongeleeni UDOM na hivyo vyuo vingne mkitaka kulinganisha na UDSM mtaleta mabishano yasiyo ya lazima! msiamishe mada iliyoletwa hapo juu!
 
Mimi nimuhitimu wa Udom, kwenye usahili niliwaangusha graduates kutoka Udsm, Mzumbe na vyuo vingine, najivunia kuwa product ya Udom, hao wa vyuo vikongwe walionekana watupu, mimi nikapata kazi,

Usaili wa tanzania huwa ni bosheni wanafanya kutimiza masharti ya sheria lakini wanaochukuliwa wanajulikana kabla ya usaili, ulifanya usaili kazi ipi na mwajiri wako ni nani ?
 
Nilipo sema usasa nilikuwa namaanisha majengo mapya, makubwa na ya kisasa kabisa..! Em' jaribu kunielewa basi..

hicho ni chuo cha kata jamaan,,ilo mbona liko wazi,,,kuna tangazo moja hapa mjin nimeona,linasema hivyo,udom akuna
 
Japo ni chuo kikubwa na cha kisasa mno barani Afrika chuo hiki kinadharaulika mno kitaaluma. kuna tangazo moja la kazi lilikuwa linasema kwamba.., kigezo moja wapo ili mtu aweze kupata hiyo ajira ni kwamba "ASIWE amehitimu kutoka UDOM" ..!!!!!

Uongo huo.
 
Binafsi nadhan hizo kashfa sio za kwel kutokana na sababu hizi
i.wahitimu wa udom wanapata fursa za ajira kama kawaida.
ii.wahitimu wa udom wanaojiendeleza vyuo vingine wanafanya vizuri haswa masters mfano udsm.mu sua n.k
iii.pia wahitimu wa udom wanaofanya mitihani ya bodi mbalimbali mfano nbaa wanafanya vizuri mfano ni mimi binafsi, na cjaona tofauti ya materials ya hii bodi ya uhasibu na vitu tulivyosoma chuoni hivyo kunipa urahisi wa kufaulu pepa hizo.
iii.wahitimu wa udom pia wamefanikiwa kujiari na kupata chochote nawajua baadhi..
iv.binafsi wahadhiri wa udom ambao wametoka udsm na mzumbe kwa course nliyosoma cjaona kama wana uwezo wa kutisha ni wa kawaida na wengine wanamapungufu makubwa.

My take mi naona juhudi zako binafsi zitakutofautisha katika soko la ajira na pia hata kujiajiri kama wasomi tuache mijadala ambayo haina maana.
 
mtoa mada anasoma chuo cha uhazili Tabora, hajui hata majengo ya chuo kikuu yanafananaje
 
Usaili wa tanzania huwa ni bosheni wanafanya kutimiza masharti ya sheria lakini wanaochukuliwa wanajulikana kabla ya usaili, ulifanya usaili kazi ipi na mwajiri wako ni nani ?

Umenena point usahili ni kiini macho tu wengi wanakuwa wameshawekwa tayari
 
UDOM IS A UNIVERSITY AS OTHER UNIVERSITIES IN TANZANIA, AFRICA AND WORLD AS WELL!!!! HATUANGALII UKUBWA WA CHUO WALA CHUO KINARAHISISHAJE KUPATA AJIRA!!! TATIZO NI KWAMBA UNAWAZA KUAJIRIWA NA WALA SIO KUJIAJIRI! SIJUI USIPOIPATA HIYO AJIRA NA HICHO CHUO CHAKO UNACHOKIONA NI BORA ITAKUAJE? NDIO MAANA KIKAITWA CHUO KIKUU NA WEWE NI MWANACHUO KIKUU HAPA NCHINI NI LAZIMA UJIELEWE NA UJUE CHA KUFANYA AFTER UNIVERSITY LIFE! UNAPOSEMA CHUO CHA UDOM KINADHARAULIKA NI TANZANIA LAKINI UJUE ELIMU YA TANZANIA NDIO WEAK EAST AFRICA BAADA YA UGANDA INAYOSHIKILIA NAFASI YA MWISHO KWA KUWA NA ASIMILIA 68% YA INCOMPETENT STAFFS IKIFUATIWA NA TANZANIA IKIWA 65%, RWANDA NA BURUNDI NI 60%NA 58% HUKU KENYA IKIWA INAONGOZA EAST AFRICA KWA 42% IKIWA NA WASOMI WENYE UWEZO WA KUAJIRIWA EASTAFRICA NZIMA BILA KIPINGAMIZI NA BAADHI SEHEMU NYINGINE DUNIANI!! THINK OF IT< BE WISE< CONTROL YOUR ATTITUDE!
HII NI KWA MUJIBU WA MAKALA MAALUMU YA ELIMU NA KUONGOZEKA KWA INTELLECTUALS ANNUAL REPORT 2013/2014 BBC AND DOTCH RADIO! :A S crown-1:

you are very smart mkuu, well said.Ni wakat sasa wa sisi wanavyuo kubadilisha mindsets zetu na kua na constructive ideas.
 
Naomba nijitambulishe kwanza mimi ni mwanafunzi wa UDOM ambaye nilidisco UDSM. Sasa tokea nimeanza kusoma hapa UDOM kuna mambo nayaona hayako sawa. kama inavyojulikana wanafunzi wa hapa wengi uwezo wa darasani ni mdogo hivyo tunawaburuza tu darasani.

Sasa kuna tabia ambayo ni common kwa karibu vyuo vishiriki vyote vya udom ya kuwaongezea maksi za coursework wanafunzi ambao wanakuwa na maksi ndogo ili wasifeli.

Mara ya kwanza nilipoiona nikajua labda ni kwa somo moja tu, baadae nikaona kila somo, baadae nikaona na course nyingine nao wanafanyiwa hivyo hivyo, baadaye nilipowauliza na wa vyuo vingine naambiwa hiyo ni kawaida hapa udom.

Kwa mfano kuna somo mwanafunzi wa kwanza ana c/w ya 35 out of 40 na wa mwisho ana 1 out of 40, mwalimu alichofanya ni kumpa 20 yule mwenye 1 ili awe na 21 na kumpa 1 mwenye 35 ili kuondoa lawama asijelalamika kuwa yeye hajaongezewa.

Yaani wote waliokuwa chini ya 10 wameongezewa kati ya 15 - 20, bila fomula yoyote. Yaani mwalimu kapanga kuwa course work ya wanafunzi ianzie 20.

Mimi sikatai wanafunzi magarasa wasisaidiwe ila ninachopinga ni namna wanavyosaidiwa, kwa kuwaongezea maksi wanazidi kulemazwa ndio hawatasoma kwa kuwa wanajua kuwa wataongezewa tena.

Nafikiri njia bora ilitakiwa wapewe extra hours za kufundisha especially tutorials na baadaye wapewe make-up test hata kama zitatungwa below standard lakini at least ni njia inayokubalika katika vyuo vyote duniani.

Ila hili la kugawa free marks linadidimiza elimu halafu linawakatisha tamaa wale wanaojituma kwa juhudi zao. The whole examination process becomes pointless, its even hardly worth the effort to make a success out of it because it leads you nowhere.

Hili zoezi la kugawa maksi linafanywa na walimu mmoja mmoja huko madarasani, Hiyo yote ni tisa, kumi ni pale malecturer ambao hawaamini kwenye kugawa maksi wanapo-submit matokeo ya UE kwenye uongozi wa chuo.

Chuo kinaanza kugawa maksi kwa wanafunzi waliofeli sana na kupunguza maksi kwa wanafunzi waliofaulu sana. Hili lilitokea semester iliyopita karibu vyuo vishiriki vyote vya UDOM ndio maana matokeo yalichelewa sana kutolewa.

Wenyewe wanadai eti wana-standardize, eti matokeo yoyote yale lazima ya-reflect the so called "Normal distribution curve". waliosoma statistics wanaelewa maana yake ila literally inamaanisha kuwa katika darasa lazima kichwani wawepo wachache tumboni wengi bila kukosa mkia.

Sasa kwa kutumia hii style hamuwezi kujua kama somo watu wamefeli sana tatizo ni mtaala au mwalimu anayefundisha haeleweki au delivery methodology au kuna tatizo gani.

Sasa kwa kutumia hii style ya kuongeza maksi matatizo mengi ya kielimu UDOM yanajificha yanakuja kuonekana huko makazini ambako mtu aliyesoma UDOM tena kwa ufaulu mzuri anakuja kuonekana ana uwezo mdogo at its best.

Kuna taarifa zisizothibitishwa kuwa walimu wa UDOM wameambiwa wahakikishe wanafunzi hawafeli ili chuo kisikose ada kwa kuwa hakipati ruzuku serikalini ambayo itawalipa wao mishahara.

Hii inamaanisha kuwa mwanafunzi kufeli UDOM ni mpaka aamue yeye mwenyewe kuondoka chuo na mabegi yake maana hata kama husomi ila upo around maksi utapata tu labda uende kuwashitaki kwa nini wamekupa maksi wakati wewe mwenyewe hutaki, of which is impossible.

Now I was asking myself, are we still having a university at UDOM or a breeding center for fake proffessionals? Please, I know some of Administrators visit this site, try to work on these concerns for the betterment of our colleges.

If anyone disputes these facts, he/she can pm and i will forward the copies of some of the tempered coursework with respective names of their lecturers.

Ni hayo tu
See thread
Nahisi mambo kama haya yanafanya UDOM idharaulike mno..!!
 
Francis,umepest uz wa mbulula mwenzio udomsr ambaye hulala akiota namna ya kubun matatizo ya udom?anashindwa kuthibitsha
 
We FRANCIS ,hata mtoto wa chekechea akisoma uz wako anajua kabsa kuwa ni wa kubun.Achen wiv bhana!
 
We FRANCIS ,hata mtoto wa chekechea akisoma uz wako anajua kabsa kuwa ni wa kubun.Achen wiv bhana!

Ni wakubuni kama huu..??!
Niseme tu wazi mimi nimesoma UDSM, Ila sifurahishwi na jinsi ambavyo wahitimu wa udom wanavyopewa upendeleo ktk soko ajira kwasasa kuliko vyuo vingine au upendeleo?

Hivi karibuni nilikuwa nchini Botswana na Korea, nilibahatika kukutana na vijana wa Kitanzia wanaofanya kwenye mashirika ya USAID na UN respectively, kwenye maongezi yetu nikawahoji mmesoma vyuo gani wakasema Udom.

Nilishtuka sana maana sikutegemea chuo kipya kama hiki kinaweza kutoa graduates makini, wakaniambia tatizo Tz tumekariri kwamba kusoma chuo fulani basi wewe ndio unajua kumbe waajiri wanaangalia competency.

Pia juzi kulikuwa na interview ya kazi kwenye ofisi zetu katika vijana 24 waliokuwa shortlisted kwa ajiri ya Oral 9 walikuwa UDOM, 5 udsm, 5 SAUT, 3 IFM, MZUMBE 1, MUCCOBS 1, na waliofanikiwa kupata ajira na wanaripoti kazini jumatatu ni watano, udom 3, saut 1 na Muccobs 1.

Wale wazungu waliokuwa wakifanya interview walisifu sana uwezo wa vijana wa udom.

Pia nimesikia watu wakilalamika kuwa si kweli udom wapo vizuri bali wanapendelewa tuu ili kuuza jina la chuo, je haya madai ni ya kweli wadau?
see thread
 
Back
Top Bottom