Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Nimekuwa nafuatilia sana,kwa hesabu ya haraka haraka hili neno linatajwa zaidi ya mara mia kwa siku kwenye comment na post.....aloyeanzisha hili neno humu alilenga nin,au ni mbadara wa neno lipi hasa humu ndani.waswahili na waelewa na hata wamapovu mwaweza kuja kuniongezea cha kufikiria.

by emma mjasiriamali
Mkuu nandembako,hilo neno maana yake ni kiongoz Wa wahenga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Neno Mkuu sielewi basi wekeni majina kamili na picha ili ueleweke. Hata kama ukitoa pumba tujue ni za nani na tutamkosoaje. Kwa wale wenye matusi unaweza hata kutukana baba au mama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sababu nyie ni wahenga!

brain is the beautiful part of the body.
 
Nimekuwa humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana 'Mkuu' limekuja tu. Sijui kwanini wakuu?

Mkuu Swala la Kuitana Wakuu ni swala Ambalo lahitaji Tukufafanulie Mkuu
Unajua Mkuu jambo hili lina Muda Mkuu lakini Mkuu usijali nikipata Muda Ntakufafanulia Vizuri Mkuu
 
Kila mmoja anamwita mwenzake Mkuu.... Ni jina lililokubalika sana kwa bahati mbaya simjui mwanzilishi maana anastahili pongezi.o_Oo_Oo_O
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom