Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

Ahahahhah..... Mleta mada pole sana. Hapa jf ni home of great thinkers kwa hiyo hata ukitafsiri kwa kiswahili ni nyumbani au makazi ya wafikiriaji wakubwa au wakuu wa fikra.
Kama wewe unaona jina mkuu au cheo cha ukuu hakikufai ni vizuri ukaomba kuondolewa kundini au jumba la wafikiriaji wakuu.
Pia fanya uchunguzi utajua kweli hapa wakuu wanaleta hoja na mawazo makuu au makubwa na mazito... Endelea kufuragia cheo cha ukuu japo daliki zinaonyesha kinakupwelepweta au kwa kiswahili kingine ukuu unakupwaya.
Nakushukuru sana mkuu kwa tafsiri hiyo nzuri, kimsingi sio kama sipendi kuitwa mkuu au silipendi neno, ila nilitaka kujua the motive behind, sasa kumbe neno Great ndio linasababisha kila member kua mkuu, nimeelewa! Halijanipwaya mkuu, endelea kuniita Mkuu
 
  • Thanks
Reactions: Lee
mkuu kama heshima

mkuu kama kifupi cha tusi yaan 0713

kwa hyo inategemea tu unamwambia nani mkuu na content ya post ake
 
Hili Neno Lilianza Miaka 2011 Hapo Ndo Jamiiforums Najiunga Ilikuwa Hivi Kipindi Hicho Member Wengi Wa Jf Walikuwa Wazee/watu Wazima Na Suala La Kujua Jinsia Ya Mtu Kipindi Hicho Ilikuwa Tabu Sana Mwanaume Hajulikani Na Mwanamke Hajulikani Maana Id Name Za Humu Zilikuwa Za Majina Ya Ukakasi Sana, Sasa Ukazuka Mtindo Wakuitana `dogo` Na Kuoneshana Dharau Basi Hicho Kitendo Kikawakela Wengi Ikabidi Walizungumzie Hilo Swala Kwa Kuanzisha Uzi Ili Kuwe Kuna Lugha Za Staha Kwakuwa Kuna Watu Wazima Humu Wengine Wazazi Wenu Basi Kwenye Uzi Huo Ndo Yakaibuka Maneno Hapo Hapo Watu Wakajibu `ndiyo Mkuu` Pamoja Mkuu `tumekusikia Mkuu` Na Maneno Mengine yakaibuka pia Kama `PAPUCHI` MBUNYE ` DUSHELELE `KITUMBUA` MTALIMBO nk unajua kwanini maneno haya yaliibuka ni kwasababu ya BAN na sheria za jf zilikuwa zinakataza kutoa lugha chafu,kutaja viungo vya mwili nk
 
Hili Neno Lilianza Miaka 2011 Hapo Ndo Jamiiforums Najiunga Ilikuwa Hivi Kipindi Hicho Member Wengi Wa Jf Walikuwa Wazee/watu Wazima Sasa Ukazuka Mtindo Wakuitana `dogo` Na Kuoneshana Dharau Basi Hicho Kitendo Kikawakela Ikabidi Walizungumzie Hilo Swala Kwa Kuanzisha Uzi Kuwe Kuna Lugha Za Staha Kwakuwa Kuna Watu Wazima Humu Wengine Wazazi Wenu Basi Kwenye Uzi Huo Ndo Yakaibuka Maneno Hapo Hapo Watu Wakajibu `ndiyo Mkuu` Pamoja Mkuu `tumekusikia Mkuu` Na Maneno Mengine yakaibuka pia Kama `PAPUCHI` MBUNYE ` DUSHELELE `KITUMBUA` MTALIMBO nk unajua kwanini maneno haya yaliibuka ni kwasababu ya BAN na sheria za jf zilikuwa zinakataza kutoa lugha chafu,kutaja viungo vya mwili nk
Maelezo yamejitosheleza
 
Naweza kukuita dada kumbe wewe ni ME au vice versa
Hilo neno lina cover wote

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu wengi wa JF wanaendana kiitikadi za kichama, dini na hata kimitizamo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom