secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,554
- 49,955
Hadi nimewaonea wivu.Sio 60? Wanafaidi sana sana❗😂
Hadi nimewaonea wivu.Sio 60? Wanafaidi sana sana❗😂
Wanyama wengi tofauti?Mnyama kicheche ana tabia ya kutotulia mahali pamoja na anajulikana kwa kuwa na hamu kubwa ya kujamiiana. Hana mpenzi mmoja (single partner); anaweza kujamiiana na wanyama wengi tofauti kwa muda mfupi.
Kumbe jibu unalo mkuu kwamba kwa nini malaya huitwa ni vicheche,hapo ulipobold,🤣🤣🤣Mnyama kicheche ana tabia ya kutotulia mahali pamoja na anajulikana kwa kuwa na hamu kubwa ya kujamiiana. Hana mpenzi mmoja (single partner); anaweza kujamiiana na wanyama wengi tofauti kwa muda mfupi.
Unanipa njaa ujue😐
😂Muda anaopumzika ni mdogo kuliko anaofanya matusi🤣
😋😋😋Karibu kisiniaView attachment 3680949
vyombo za wageni" 🚮 🚮
PM yuko huku,anakujibu soon!