Kizuri hakawezi kuleta mambo yale ya nataka sitakiKana dedi kabisa kakikosa kupigwa bakora
Mebu nitofautishie kwa picha mkuu huenda mimi nakutana na mapupu tu vichwaWee.. Wee.. Wee.. Fillet huwezi ifananisha na kongolo😂😋
Ni muda sasa nijaribu hata mtoliLadha ya pupu sifa yake ni ulaini na halina mfupa 😂.. Ndio maana uswazi wanasemaga.. laini kama supu ya mapupu😋
Bata ni muhimu sana mazee..Mzee acha nikule bata sasa! Ni wakati wangu kama mstaafuView attachment 3680791
Huyu siyo kicheche bro ni nguchiro. Kicheche ana rangi nyeusi na nyeupe kwa kiingereza anaitwa zorilla
Sasa ikiwa inachomoka chomoka sana nani anakua na shida?
Labda LC V 8 ya waya hiyo gari hicho kibubu kikijaa ni gharama ya mafuta tu..
Huyu mbona ni kama nguchiro.
Yeah huyu ni nguchiro siyo kicheche mkuuHuyu mbona ni kama nguchiro.
Kabisa. Kicheche ana mkia mrefu halafu ana mwili mdogo mrefu kwenda mbele 🔥Yeah huyu ni nguchiro siyo kicheche mkuu