Hivi ndivyo wanawake wanavyojiharibia bahati ya kuolewa

Hivi ndivyo wanawake wanavyojiharibia bahati ya kuolewa

Yaani sipendi sana kusoma meseji mtu anaandika ' x ' badala ya ' s '........

Halafu akiwa mwanaume ndiyo nakereka zaidi!
 
Hivi kifimbo cheza alishakufaga? Maana angetangika shamboko simbilisi hawa.
 
As much as hate hii tabia ila hicho Katu sio kipimo cha mke Bora na kuolewa sio bahati ni maamuzi Kuna wengine hawana mpango.
 
Kuna wengine wanaandika "hu" Badala ya "u" Mfano, "humeenda" Badala ya "umeenda"
Aisee uandishi sasa ni tatizo la kitaifa kama somo la Hisabati. Hili la "U" na "Hu" ni tatizo kubwa sana achilia mbali lile la R na L. Mbaya zaidi yanafanywa na watu ambao ni wasomi ambao ungetegemea wawe wanamatumizi sahihi ya lugha.
 
Kuolewa ni kitu kingine na matamshi ni kitu kingine bana.

Inamaana nyie hamuoi mwanamke kutokana na maandishi yake. Semeni wabadilike namna wanavyotumia maneno yao tena niwaambie walio wengi ni kwenye kuandika na sio kwenye kutamka.

Vipo visivyorekebishika vya kufanya mtu asiolewe ila sio hicho.
 
Hahahahaha et p badala ya poa unakuta kaka mkubwa tu et P whaat ...natembezaga block tu
 
Ndio maana CCM inaendelea kuongoza wapumbavu wengi.

Na hawa ndiyo kura zao uwa zinaharibika.
 
Mbele ya 'mbunye' mwanaume bazazi hata huwa hajali hizo lahaja sijui rejesta za kizazi cha smartphones...
 
Mm ukinitumia text yenye X au maneno ya ajabu sijibu wala nn, ukiniuliza nakuambia SIJAELEWA ulichoandika
 
Back
Top Bottom