Hivi ndivyo wanawake wanavyojiharibia bahati ya kuolewa

Hivi ndivyo wanawake wanavyojiharibia bahati ya kuolewa

Hakuna kitu nisichopenda kuchati na mwanamke akaanza vile viji maneno jomoni,bax,tantee!etc

Hivi kweli unadhani mwanaume anayejitambua anaweza kuoa aina hii ya kiama!

Mjirekebishe wengine sisi tupo serious kama ratiba za ndege hatupendi mzaha mzaha
Brother tokea asubuhi nilikua sijacheka ila kusema ukweli nimecheka kwa nguvu hapa kila mtu akashangaa eti unasema upo serious kama ratiba za ndege hatupendi mzaha mzaha hahahaha sasa brother mbona kuna ndege zingine zimejaa mizaha mizaha hazina hata ratiba za kueleweka zimejaa cancellation kibao bora hata ungetaja shirika la ndege ambalo halina mizaha
 
Wacha wajibebishe! Huo ni muktadha. Na hivyo ndivyo vijimaneno vya kimapenzi vinavyotumika kunyegeshana...
 
Hivi jomoni ndo jamani??
Kuna post moja iliwekwa humu hilo neno lilitumika sehemu zake zote ilinipa shida sana kulitamka kimyakimya
 
Jomon hii mada nzuri xana wish mngejua hata mm navyochukia hiyo mineno...
 
Back
Top Bottom