Hivi ndivyo wanawake wanavyojiharibia bahati ya kuolewa

Hivi ndivyo wanawake wanavyojiharibia bahati ya kuolewa

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,107
Hakuna kitu nisichopenda kuchati na mwanamke akaanza vile viji maneno jomoni,bax,tantee!etc

Hivi kweli unadhani mwanaume anayejitambua anaweza kuoa aina hii ya kiama!

Mjirekebishe wengine sisi tupo serious kama ratiba za ndege hatupendi mzaha mzaha
 
Kuna mdada ambaye ni rafiki yangu wa Karibu sana ameenda chuo mwaka huu akaanza kutumia maneno ya ajabu ajabu kama jomoni nikampiga marufuku kunitamkia maneno hayo
Umefanya vizuri mkuu!mm huwa nakasirika hadi natamani nimpige makofi kama yupo karibu, ni maneno ya kijinga tena wengi wao ni kutoka vyuo vikuu!ss sijui ndio wanasomea hayo maneno huko!
 
Hakuna kitu nisichopenda kuchati na mwanamke akaanza vile viji maneno jomoni,bax,tantee!etc hv kweli unadhani mwanaume anayejitambua anaweza kuoa aina hii ya kiama!mjirekebishe mwengine sisi tupo serious kama ratiba za ndege hatupendi mzaha mzaha
Uandishi wa hivyo lazima huyo mtu ana akili za kitoto kabisa,mi ukinitumia sms za maneno hayo au unitumie sms unasema"niambie". Nadelete na conversations zote!
 
Hata wababa wapoo
Wengi JF mnatatizo hili kila dakika mnawaza Women Vs men.

Naendeleza mjadala ila wewe unonekana kutetea jinsia Lol.... wacha nikuache.[emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
tabia hujenga mazoea....ila mkuu huyo alieku text kihivyo umemwambia au ndio unapotezea..
 
Back
Top Bottom