Usije ukaandika hivyo sawa?Hahahaha mm mwanaume akiniandikia hivyo sijibu kabisaaa msj yake.
Kuandikaje bae!?Usije ukaandika hivyo sawa?

WapoooNatia shaka kama mtoto wa kiume aliye rijali ataanza kutamka maneno hayo
Hakuna kitu nisichopenda kuchati na mwanamke akaanza vile viji maneno jomoni,bax,tantee!etc
Hivi kweli unadhani mwanaume anayejitambua anaweza kuoa aina hii ya kiama!
Mjirekebishe wengine sisi tupo serious kama ratiba za ndege hatupendi mzaha mzaha
sasa na wewe mbona huna tofauti na waoUmefanya vizuri mkuu!mm huwa nakasirika hadi natamani nimpige makofi kama yupo karibu, ni maneno ya kijinga tena wengi wao ni kutoka vyuo vikuu!ss sijui ndio wanasomea hayo maneno huko!
Nimecheka sana mpaka watoto wamenishangaa kwanini ninacheka sana leo, Imebidi niwadanganye nimefurahi wamefanya vizuri Term hiiHakuna kitu nisichopenda kuchati na mwanamke akaanza vile viji maneno jomoni,bax,tantee!etc
Hivi kweli unadhani mwanaume anayejitambua anaweza kuoa aina hii ya kiama!
Mjirekebishe wengine sisi tupo serious kama ratiba za ndege hatupendi mzaha mzaha
Hata mimi sipendi ila kwa Mwanaume Muoaji huwezi kuacha kumuoa mwanamke kisa anaandika hivyo.Hakuna kitu nisichopenda kuchati na mwanamke akaanza vile viji maneno jomoni,bax,tantee!etc
Hivi kweli unadhani mwanaume anayejitambua anaweza kuoa aina hii ya kiama!
Mjirekebishe wengine sisi tupo serious kama ratiba za ndege hatupendi mzaha mzaha
Eti Jomon, na usiweke X ambapo apastahir n.kKuandikaje bae!?