Hivi ndivyo wanawake wanavyojiharibia bahati ya kuolewa

Hivi ndivyo wanawake wanavyojiharibia bahati ya kuolewa

Nilitaka kureply kwa mtu eti tantee nikawaza nikaona ni upuuzii na ujinga nikasema mie tena si wa kuandika upupu huu maana kama sikuweza zamani why now na utu uzima huu. Ni ujinga na kuiga iga kila kitu ndo watanzania wengi tunavimudu
good
 
Hamko ROMANTIC hayo maneno kwa mtoto wa kike kwa mpenzie ndio kusema mwenyewe...mwanamke at awe na lugha kav hata hainog...Kuna lugha zakimahaba jaman ila naamin hayo kwa mtu asiye wa rika lake au mheshmiwa mf wazaz ndugu wengine haifai na naamin hawafanyi ivyo.....Huko jmn ndio kujibebisha ila marufuku kwa mwanaume kutumia maneno hayo
 
Hakuna kitu nisichopenda kuchati na mwanamke akaanza vile viji maneno jomoni,bax,tantee!etc

Hivi kweli unadhani mwanaume anayejitambua anaweza kuoa aina hii ya kiama!

Mjirekebishe wengine sisi tupo serious kama ratiba za ndege hatupendi mzaha mzaha
hao sio wanawake ni watoto wa shule like wise kuna mivulana inaandika xaxa kabixa walahi nikute text kama hizi kwa phone yangu uome mungu tu niwe sijamix k vant na don nyati utaipasua simu yako
 
Mxiuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
Nitakubonda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] busu hilo vipiiii
 
We weka sura mbuzi knwy mapenzi afu apate anaemchekea ***** utaona manyoyaa....
 
Back
Top Bottom