Hivi ndivyo wanawake wanavyojiharibia bahati ya kuolewa

Hivi ndivyo wanawake wanavyojiharibia bahati ya kuolewa

Hahahahaha et p badala ya poa unakuta kaka mkubwa tu et P whaat ...natembezaga block tu
Kuna Dada alikua ananijibu P na mimi sikuwa naelewa nikawa nahisi msg inakuja kabla hajamalizia.
 
Hakuna kitu nisichopenda kuchati na mwanamke akaanza vile viji maneno jomoni,bax,tantee!etc

Hivi kweli unadhani mwanaume anayejitambua anaweza kuoa aina hii ya kiama!

Mjirekebishe wengine sisi tupo serious kama ratiba za ndege hatupendi mzaha mzaha
na wewe ukome kutumie maneno kama 'baby', au 'mamie'! Ukiyatumia tu na yeye anajua oh kumbe mimi ni 'baby' then anaanza sasa kusema kitoto, na kama ukimwita mamie basi anaanza kukusemesha kitoto maana ww kwake tarari ni mtoto kwakwe, hivyo usilaumu saana, hata nasi pia tunachangia!
 
Mie mtu akishaweka maneno ya namna hiyo hata kama alikuwa na mada nzuri yenye mbolea kiasi gani sijibu.
Mi sipendii mwanaumee anayetumia neno Mie badala ya mimi....Na ukitaka nisikujibu message niandikie X badala ya S...na maneno kama vile Oya,Oyi,
 
Mi sipendii mwanaumee anayetumia neno Mie badala ya mimi....Na ukitaka nisikujibu message niandikie X badala ya S...na maneno kama vile Oya,Oyi,
Xawa mkuu[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hakuna kitu nisichopenda kuchati na mwanamke akaanza vile viji maneno jomoni,bax,tantee!etc

Hivi kweli unadhani mwanaume anayejitambua anaweza kuoa aina hii ya kiama!

Mjirekebishe wengine sisi tupo serious kama ratiba za ndege hatupendi mzaha mzaha

cc: Wema Sepetu, Hamisa Mobeto
 
Hua sielewagi hawa watu huwa wanashindwa nini kutumia S mpaka wanatumia X hua sielewi kabisa hawa watu.
Nadhani huanzishwa na watu wanaotumiwa text zenye makosa ya kiuandishi wao wakadhani ni "fasheni".
Kama kifaa chako cha kuhariri habari ni simu, basi hizi alfabeti zinabebana wakati fulani mtu akiandika habari.
Sasa ukiandika na kurusha bila ku re-edit, matokeo yake unayemtumia habari hudhania kuwa ni bonge la kiswahili kitarafa!
Ukiona mtu anakutext kwa herufi za ajabuajabu, mkemee ili arekebishe. Watu wanaharibu sana kiswahili chetu pendwa.
 
Xaxa mbona imekua shida jomonii. Xun tutajirekibisha.
 
Mm huwa najiluza hili neno bae ni mtu alikosea kuandika babe akasahau b ikawa bae akaamua kuendlea nayo hvy hvy bae au limetokea wapi?
 
Usifosi kila mtu awe hivi wengine watakuwa vile so jaribu kuwa relaxed kutokana na mazingira, halafu kama kweli wewe ni mwanaume ambaye upo serious hukuwa na sababu yeyote ya kuanza kulalama huku mtandaoni kuhusi topiki za wanawake, f....u...c...k... o.... f....f.... na wewe kwa upande mwingine jielewe kila mtu na maisha yake sio kila kitu kuwafuatilia wanawake.... !!

[emoji16] [emoji51] [emoji119] [emoji119]
[emoji23] povu limekutoka nahis na ww ni mmoja wa wanaojadiliwa hpa..
 
Back
Top Bottom