Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,613
Hamnaaa,yupo mwenyewe ivuga anamjuaa tenaNawaona nawaonaaaa
Hamnaaa,yupo mwenyewe ivuga anamjuaa tenaNawaona nawaonaaaa
Tulia Shem, nakwambia atuchez na fursa kabisa na wala atulazi damu.[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] kumbe tayr??
Anaona wivu.!Inna jamaniiiii[emoji41] [emoji41] [emoji85]
Endelea kula kwa machoNawaona nawaonaaaa
Ivuga kafanya nn tena dearHamnaaa,yupo mwenyewe ivuga anamjuaa tena
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Tante bae wangu ,ujinga mtupu khaaaaa.
OhooooIvuga kafanya nn tena dear
Naomba niambie, unajua yule bro anawivu sana juu yangu. Ama anang'ata huku anapulizaOhoooo
Saint Ivuga!??Naomba niambie, unajua yule bro anawivu sana juu yangu. Ama anang'ata huku anapuliza
Mimi kuna rafiki yangu miaka kama miwili iliyopita nilimwambia sitaki hizo xx alinitolea maneno ya kejeli sana eti mi mshamba nikamwambia sawa ila ukikua utaacha sasa hivi anaandika vizuri sijui yapi tena yalimkutaKuna mdada ambaye ni rafiki yangu wa Karibu sana ameenda chuo mwaka huu akaanza kutumia maneno ya ajabu ajabu kama jomoni nikampiga marufuku kunitamkia maneno hayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kuna mmoja alinijibu k badala okey... nkaamjibu ' K mwenyewe'
Seriously mtu anakuandikia et mamb...ndo anakusalimia hivyo au dd badala ya dada aisee unatamani umblokie mbaliSipendi kabisa mtu aniandikie sijui xaxa, bax, takuja, pendexa, lv u, mamb, na mafinyofinyo mengine..
Nikiona text ina mafinyofinyo kama hayo huwa hata siangaiki kusoma. Utaishia kuniona na dharau kumbe sipendi use*ge
AsanteeeAcha kujidanganya, usifikiri Wanawake na wao wana shida ya kuolewa zaidi ya wewe ulivyo na shida ya kuoa!
Afadhali umwambie wewe mwenzieHata mimi sipendi ila kwa Mwanaume Muoaji huwezi kuacha kumuoa mwanamke kisa anaandika hivyo.
Ukifanya hivyo hata wewe tutakuita Mvulana tu
Kwani unaoa maneno au Mke?
Kwani kumfanya aache kuandika hivyo inagharimu nini zaidi ya kumuambia tu hupendi?
Hiyo si sababu nzito ya kutokumuoa mwanamke.
Wabillah Tawfiq,
Mkuu umesahau xaxa, shemela, bae, xafi, nk. Yani nikikuta dume zima na ndevu zake linaandika upuuzi huu, natamani hata nilimwagie maji ya motoBabyto,tantee,poua,bax,jomon,k(ok),wangu alafu anayesema mi me na mengine mengi huwa nauona huo ni uchuro
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] kwel akili za kitoto hamtafika mbaliHiyo ipo kwa me na ke. Ukiona mtu anaandika hivyo ujue akili yake bado ni ya kivulana au kisichana.