mjumbe1
Member
- Jan 14, 2017
- 61
- 21
Nachukia sana huu ujinga wa aina hiiHakuna kitu nisichopenda kuchati na mwanamke akaanza vile viji maneno jomoni,bax,tantee!etc
Hivi kweli unadhani mwanaume anayejitambua anaweza kuoa aina hii ya kiama!
Mjirekebishe wengine sisi tupo serious kama ratiba za ndege hatupendi mzaha mzaha