Hivi ndivyo viwango vya elimu vya 'majembe' ya CHADEMA!

Hivi ndivyo viwango vya elimu vya 'majembe' ya CHADEMA!

Mwanangu Mundali umemaliza yote. Mie nimesoma Amerika kuanzia shahada ya kwanza. Nilikuja nikiwa nimeishasoma Tanzania chuo cha Manzese. Kweli nilipofika hapa nikarejeshwa kusoma upya nilianza kulalamika. Lakini baada ya kuingia darasani na kuona tofauti ya mfumo wa elimu, niliacha kulalamika na kujikunja na kufanya vizuri. Usemayo ni kweli. Wasomi wetu wengi wana matatizo ya kukaririshwa. Juzi niliona mtu anayetegemea kuhitimu shahada ya kwanza akiomba eti vyanzo (Sources) kwa ajili ya kuandika a mere research paper. Nilishangaa sana huyu hata akihitimu atakuwa na anajua nini zaidi ya kuwa na karatasi iitwayo shahada? Ni bahati mbaya kuwa mfumo wetu uliooza umeanza hata kubariki shahada za chupi, kudesa, kughushi na kununua ukiachi ambali za heshima isiyo heshima bali dharau. Hivyo nakubaliana nawe mwanangu. Tunakabiliwa na balaa kubwa tu.
 
Mwanangu Mundali umemaliza yote. Mie nimesoma Amerika kuanzia shahada ya kwanza. Nilikuja nikiwa nimeishasoma Tanzania chuo cha Manzese. Kweli nilipofika hapa nikarejeshwa kusoma upya nilianza kulalamika. Lakini baada ya kuingia darasani na kuona tofauti ya mfumo wa elimu, niliacha kulalamika na kujikunja na kufanya vizuri. Usemayo ni kweli. Wasomi wetu wengi wana matatizo ya kukaririshwa. Juzi niliona mtu anayetegemea kuhitimu shahada ya kwanza akiomba eti vyanzo (Sources) kwa ajili ya kuandika a mere research paper. Nilishangaa sana huyu hata akihitimu atakuwa na anajua nini zaidi ya kuwa na karatasi iitwayo shahada? Ni bahati mbaya kuwa mfumo wetu uliooza umeanza hata kubariki shahada za chupi, kudesa, kughushi na kununua ukiachi ambali za heshima isiyo heshima bali dharau. Hivyo nakubaliana nawe mwanangu. Tunakabiliwa na balaa kubwa tu.

Mbali na matatizo yote uliyoyaeleza, umuhimu wa kupata elimu na kuwa na viongozi walioelimika bado uko pale pale. Hizi ni changamoto tu za kufanyia kazi lakini afadhali upit kwenye hayo madarasa kwanza kuliko kukacha kabisa. Something is better than nothing. Sisi wengine tumesoma shule hizo hizo na tunafanya kazi na hao waliokwambia ukasome tena. Sioni kikubwa sana zaidi ya lugha. Sijui wewe ulisoma wapi na ulisomea kitu gani mpaka ukaambiwa urejee tena kusoma! May be matokeo yako na maelezo yako wakati wa kujiunga na chuo yalikuwa hayaendani na kiwango.
 
Nilisoma sheria. Si unajua tena sheria na udaktari vilivyowekewa ngumu hasa katika mataifa ya wenzetu? Hivyo niligundua kuwa kama ningetaka kupitia mfumo wa kuhakiki tena ningechelewa. Hivyo niliamua kukubaliana nao na nilijipinda nikapata nilichotaka na zaidi. Nilisomea Kanada.
 
Sina uhakika kama CV ya Mbowe ipo sawa. Nadhani ana Masters kama sikosei. Wanaomfahamu kwa karibu wafuatilie.

Lakini kwa upande mwingine, elimu na utendaji ni vitu viwili tofauti kabisa. Tuna madokta na maprofessor wengi tu kwenye serikali ya CCM na bado hawajaweza kuleta mapinduzi yoyote yenye tija kwa taifa letu zaidi ya kulitia umaskini mkubwa usiomithilika. Nchi hii iliwahi kuwa na waziri mkuu mwenye elimu ya kawaida kabisa (Mzee Kawawa -RIP), na bado akaitumikia nchi kwa uaminifu mkubwa kuliko hao wenye PhD, Masters na vinginevyo.

Kwa mfano kwa elimu ya O-level mimi sioni kama ni shida kwa mtu kama huyo kuongoza nchi hata kama ingekuwa kwenye level ya urais. Kuna mtu anasema ingekuwaje kama Rais angekuwa hajasoma. Mimi namshangaa kwani Rais ndiyo amesoma kuliko Watanzania wengine wote? Mbona ana bachelor tu tena gentlemen na bado anawaongoza wenye PhD, post docs na Maprofessor? Idd Amin alikuwa na elimu gani na aliwaongoza waganda wenye elimu gani? Kule Njombe kaskazini sisi tuna mbunge Jah people hakuwahi kuingia darasani hata siku moja. lakini ndiyo mbunge wetu. Huwezi kumlinganisha hata na mbunge mmoja wa CHADEMA.

Tuache kupigia talumbeta mambo yasiyo na umhimu, tuangalie kwanza mambo ya msingi ambayo taifa letu kwa sasa linapungukiwa. Na tuangalie hawa watu pamoja na usomi wao mdogo wana mchango gani bungeni na katika mabadiliko ya kiuchumi na kijamii katika nchi yetu?

Masters ya Mbowe ipo kwenye hiyo kitu hapo chini,akiwa nyuma ya turntable hata viziwi wataruka.


images
 
What is the ****ing education help the MAFISADI anyway. We just want results and not C.Vs.
 
Watu kama akina Nape ndio wanaandika vitu vya kijinga kama hivi.
Kwanza kama elimu ndio kigezo cha kuwa kiongozi muadilifu, then kesho nachoma vyeti vyangu vyote! Degree zetu hazina maana kabisa!
 
Kweli Ndugu Kinana ameanza kazi ya kuirudisha CCM kuwa kipenzi cha Wa Tz kama ilivyokuwa awali. Propaganda za kisiasa za CCM zimeanza na zinasambaa kwa kasi kwenye media mbali mbali pamoja na humu JF wamevamia badala ya kung'ang'ania Uhuru na lile gazeti lingine la serikali ambalo jina limenitoka. Keep it up Ndg Kinana kwa kuwatumia vijana wako kama hawa wakina Bayana na wengine. Safari njema kuelekea 2012 kazaneni. Mlikuwa mmewaachia wapinzani wenu kutamba humu pekee yao. Sasa ngoma inanoga. Kwetu ni burudani tosha.
 
Nijuavyo elimu haipatikani darasani tu, kuna wasomi waliobobea lakini ni bure kabisa. Kuna michango na mawazo ambayo hutolewa na wenye shahada za elimu Bungeni hadi nashangaa.
Juzi juzi alipokamatwa Sheikh Ponda, msomi mmoja mbobevu na mwanasiasa, alinishangaza sana kwa maoni aliyoyatoa.

Kijana hata ukitoa povu hadi kunakucha, suala la elimu halihitaji kuwa overemphasized!!! Twendeni shule ujanja ujanja hautalisogeza hili taifa mbele. Ni bora tuwe na viongozi wenye elimu kuliko kuwa na viongozi wasio na elimu!!Hakuna taifa linaloendeshwa na wajinga lililotokamo!!!
 
Philipo Mulugo? Abdulazziz Aboud? Hivi John Komba amesomea nini na wapi (anapiga usingizi sana bila shaka mijadala inamboa).
 
Hawa ni baadhi ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA. Elimu ni muhimu ndio maana nimeona ni vyema mkafahamu viwango vya elimu vya viongozi ambao kesho na kesho kutwa tunatarajia wawe wawakilishi wetu katika medani za kitaifa na kimataifa:

1) Godbless Jonathan Lema -- BBA, ST Augustine --- Amevuliwa ubunge kwa sasa, kesi inaendelea.
2) Antony Gervase Mbassa - - Adv diploma - KCMC
3) Prof Kulikoyela Kanalwanda Kahigi --- Phd
4) Freeman Aikaeli Mbowe – Form six
5) Highness Samsoni Kiwia ---- Secondary education – O level
6) Simon Peter Msigwa - -- O level, Degree bible college.
7) Yohana Israel Natse --- Diploma in Education, Masters in theology.
8) Halima James Mdee --- Degree, UDSM
9) Zitto Zuberi Kabwe --- Degree (economic) UDSM, Masters degree (MLB)
10) Silvester Mhoja Kasulumbay – Primary, Certifcate from Monduli Teachers college
11) John Magale Shibuda --- O LEVEL
12) Joseph Osmund Mbilinyi --- Form IV
13) David Ernest Silinde --- Degree(BCOM), UDSM
14) Mustapha Boay Akunaay – Degree in law, Open University
15) Meshack Jeremiah Opulukwa --- Not updated
16) Philemon Ndesamburo --- Advanced diploma in Shipping
17) Said Amour Afri --- Primary school
18) Vicent Kiboko Nyerere -- O level
19) Ezekia Dibogo Wenje --- Degree, St Augustine
20) Joseph Roman Selasini --- Degree, UDSM
21) Tundu Antiphas Mughwai Lissu ___ LLM – Masters degree
22) John John Mnyika --- CV not updated
23) Salvatory Naluyaga Machemuli ___ Degree – DIT
24) Joshua Samwel Nassari – Not updated

CV ya 'DR' WILBROD SLAA HII HAPA:
Kuzaliwa, elimu ya msingi na sekondari

Dk. Slaa alizaliwa tarehe 29 Oktoba 1948 katika Wilaya ya karatu. Alipata elimu ya msingi katika shule za Karatu na Kwermusi (Mbulu) kati ya mwaka 1958 na 1965. Alisoma elimu ya sekondari katika Shule za Dung'unyi Seminari na Itega Seminari kati ya mwaka 1966 na 1971.

Mafanikio ya DK. Slaa kielimu na Kitaaluma

Dk. Slaa ana shahada na atashahada zifuatazo.
Sharada ya Uzamivu (PhD) katika Sheriaü ya kanisa kutoka Chuo kikuu cha St. Urban, Rome.
Stashahada ya Theolojiaü kutoka Kipalapala Seminari.
Stashahada ya falsafa kutoka Kiboshoü Seminari.
Stashahada ya Afya ya Macho kutoka Kituo cha Kimataifa chaü Macho.

Ni muhimu vyama kujipanga na kutokufanya mchezo na uongozi wa taifa. Sikujua mwaka ule Mbowe alipogombea urais, alipitishwa kwa vigezo gani? Uzoefu kazini au kitu gani hasa? Mtakaochangia mtatujuvya. Msitukane tu.

Kama mawaziri watatokana na wabunge, basi CHADEMA inaweza kuwa na wabunge ambao kielimu wanaweza kuwa kikwazo katika kutekeleza majukumu yao.

Indhari:
Chanzo cha taarifa hii ni kutoka kwenye web site ya bunge. Therefore, kama kuna kosa lolote unaweza kusahihisha. Si lengo kupotosha.

UJUMBE:
Tusidharau elimu wakati wa kuteua wagombea kuwakilisha watanzania.

WITO:
Tupeleke mapendekezo katika CRC ya kutaka mawaziri wasitokane na wabunge, kwa vile inaweza kuja kuwa tatizo kupata wabunge walio na sifa za kuongoza wizara.


Hapo kwenye Red Color panahusika- Kiongozi usidhani 2015, CHADEMA itakuwa na Wasomi wa kutafuta kwa Microscope, kuna kundi kubwa sana la vijana wasomi wanajinoa hivi sasa ndani na nje ya nchi kwa ajili ya kufanya mabadiliko makubwa hapa nchini!!!! So pamoja na hofu yako kwa chadema, mimi nadhani hofu hiyo ulipaswa uielekeze CCM chama ambacho hakina mvuto miongoni mwa wasomi na vijana. Na nadhani ndo mana kwa kulitambua hilo wameamua kurudia kuyatumia Magobore yake ya zamani (Kinana and Mangula) katika zama hizo za Hi-Tech!!
 
ukabila na udini hautumiki tena? shehe ponda kawatia adabu..kudadeki
 
Uongozi na hekima haifundishi darasani ni kipaji watu wanachozaliwa navyo. Ndio maana mabilionea wengi sana hapa Duniani ni Ma drop out.

Tukirudi kwenye Ubunge, kwa kutumia katiba yetu ya sasa ibara ya 67 inasema hivi:

67.-(1) Subject to the provisions contained in this Article, any person
shall be qualified for election or appointment as a Member of Parliament if he -
(a) is a citizen of the United Republic who has attained the age of twenty-one years and who can read and write in Kiswahili or English; and
(b) is a member and a candidate proposed by a political party.

Kwa kutumia vigezo hivyo juu ni uwezo wa kuandika kiswahii au kingeereza ndio minimum requirement ya kugombea ubunge as far as Education is concerned.

Ni bora uwe na kiongozi wa darasa la saba Mzalendo kuliko kuwa na PHD where hata utendaji wako uko so poor.

Ninamifano zaidi ya 40 ya vijana viongozi tanzania ambao talents zao za uongozi zilianzia sekondari hata kabla wajamaliza eimu zao za vyuo vikuu. Kwa hiyo elimu ya chuo kikuuu is a Plus but is not the ultimate measure of Leadership quaity




Umesema Vyema Kijana Emmanuel Daud Tayari!!! Sina haja ya Kuongezea Nyama!!
 
Ikumbukwe kuwa Mbowe hakuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa chadema, alirithishwa na mkwewe. Hana elimu.
 
Elimu ni mihimu sana,lakini tumeshuhudia viongozi wa bara la Africa wenye Elimu wanavyo shindwa kuendesha Inchi,ni vizuri ungeweka na CV za uhadilifu!
 
Siyo kweli ndugu,Freeman Aikael Mbowe anayo Degree na yupo kwenye mchakato wa Masters
 
Mbona mnapenda kupotosha umma Lema hajawahi kusoma ST AUGUSTINE UNIVERSITY wala Wenje naye hajawahi kusoma.
Cc to.. Ngongo,

Hivi mtoa mada si ulisema tusitukane au.Nakuapia kwa miungu hakika tutatukana tu kwa ajili ya huyu osama wa humu jf
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom