Hivi ndivyo viwango vya elimu vya 'majembe' ya CHADEMA!

Taaluma yao ni kutetea maslahi ya Tanzania na Watanzania na kukemea maovu yote yanayofanywa na wezi, wapokea rushwa na mafisadi nchini. Natamani Kafulila naye angekuwemo Bungeni jamaa ni jembe sana.
 
Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huteuliwa na Raisi kusimamia Wizara zitakazoundwa kulingana na Taaluma zao. Aidha kuna Wizara nyeti ambazo ni lazima taaluma ya Waziri na hata Naibu Waziri izingatiwe sana.

Tuje upande wa pili wa upinzani ambapo kuna mawaziri vivuli, je suala la waziri kivuli na taaluma yake na wizara anayopangiwa, je linazingatiwa?

Mfano John Mnyika ni waziri kivuli katika wizara ya nishati, madini na gesi, je kwa unyeti wa wizara hii, anayo taaluma ya nishati, madini ama gesi?

Godbles Lema nae ni waziri kivuli katika wizara ya ulinzi na usalama, je alishapitia japo mgambo?

Huwa napata shida sana mawaziri vivuli wanapowasilisha bajeti zao maana ni kama unaona kabisa hawajui wanachokiwasilisha pengine kwa kukosa taaluma ya kutosha katika kile wanachokomalia serikali ifanye.
Wakati mwingine kama mtu huna hoja bora kukaa kimya kuliko kuandika vivuko.
 
Wakati mwingine kama mtu huna hoja bora kukaa kimya kuliko kuandika vivuko.
vivuko viko wapi wewe panzi? Umeona sawa wizara kusimamiwa na vilaza kama hao? Halafu wanaleta utoto kwenye mambo ya taaluma?

Hivi hao mawaziri kamili wangekuwa kama hao kina lema unadhani tungefika popote? Shout your mouth kama huna unachokijua.
 
Back
Top Bottom