Hivi ndivyo viwango vya elimu vya 'majembe' ya CHADEMA!

Hivi ndivyo viwango vya elimu vya 'majembe' ya CHADEMA!

Kama ni kutoa hoja basi Mawaziri wasitokane na wabunge.Na ikibidi waombe nafasi hizo na wafanyiwe udahili wa kutosha.Atakayepata apewe probation period ya miezi sita akishindwa aachie ngazi.Na pia wafanyiwe performance appraisal kila mwaka ameshindwa aachie ngazi.Na mkataba uwe wa muda maalum.Na siyo mawaziri tu hata makatibu wakuu wa wizara waombe nafasi hizo,wafanyiwe udahili na wapewe mikataba.Na wao pia probation period yao iwe miezi sita na isiwe mikataba ya kudumu ameshindwa aachie ngazi.Tukiweza hapo basi Tanzania tutasonga mbele kiukweli.Na service za wizara zitakuwa kweli ni VALUE FOR MONEY.Kama nimekosea basi msiache kunikosoa lakini haya ndiyo mawazo yangu. Hata kwenye katiba mpya hili pia ningefurahi kama lingekuwemo.
 
muda wa kuongoza nchi cdm bado wakaze buti ,hata kama wanachama wao na washabiki wao wengi ni wakrsto wajitahidi kufuta hiyo dhana,pia hata kama wengi wao ni wa kanda ya kaskazini wajisafishe kwa hilo,kisha kajipange kuchukuwa dola pengine mwaka 2020
 
Uongozi cyo mkusanyiko wa vyeti,bali ninamna ambavyo mtu ataweza kusimamia,kutatua matatizo yanowakumba watu nakuyapatia ufumbuzi kwa muda mfupi, mleta mada naomba nikutajie majina ya wizara chache nchini zimeongozwa na Maprofesa lakini waliziharibu wizara husika.Moja ni Elimu tukachanganya phy+chem,tukafika somo lakilimo utu wa mgongo wa watanzania.Wizara ya kilimo na chakula wapi tokea elimu hakuna kitu, Wizara ya ulinzi alikuwepo prof zamani hizo wapi,Mzoefu wizara ya uchukuzi kutoka Tanga wapi,so elimu cyo kipimo ya uongozi na darasa langu lanne nitagombea ubunge kupitia magamba dodoma mjini
 
Napenda kutotafasiriwa vibaya na wanajf, lengo langu kuhusu elimu ya viongozi wetu wa chadema. Kiukweli chadema inaongozwa na viongozi wengi wenye elimu mbovu, isiyofaa kwa kipindi hiki cha science na technology. Hivi hawa hawatambui na kuingia class na kupiga shule, najua wenye elimu ndogo kama wao mnaweza kuja na hoja eti elimu sio lazima katika uongozi, kama ni hivyo tuvunje vyuo vyote au tuchague wasio jua hata kusoma! Tusiwapotoshe hawa viongozi wetu tuwashauri waingie class wapige buku zeni watumie hizo busara kutoa maamuzi! Sio kuwa wabishi bila logic. Pia wewe unayesoma hii threadz washauri wasome! Ntaendelea baadae na hoja!
 
Unajua haya ni matokeo ya nani? acha kubwabwaja hovyo!! utachekwa.

Div IV-29
Kisw D, Hist D, Geog D, Eng F, Math F,Biol D, Chem D, Phy D, Civ F
 
Viongozi wa Chadema ndiyo hao waliotoka CCM na ndiyo haohao wanaorudi CCM.
Ungesema Serikali ya Tanzania iboreshe ELIMU otherwise Mulugoism imekuathiri.
 
Uongozi cyo mkusanyiko wa vyeti,bali ninamna ambavyo mtu ataweza kusimamia,kutatua matatizo yanowakumba watu nakuyapatia ufumbuzi kwa muda mfupi, mleta mada naomba nikutajie majina ya wizara chache nchini zimeongozwa na Maprofesa lakini waliziharibu wizara husika.Moja ni Elimu tukachanganya phy+chem,tukafika somo lakilimo utu wa mgongo wa watanzania.Wizara ya kilimo na chakula wapi tokea elimu hakuna kitu, Wizara ya ulinzi alikuwepo prof zamani hizo wapi,Mzoefu wizara ya uchukuzi kutoka Tanga wapi,so elimu cyo kipimo ya uongozi na darasa langu lanne nitagombea ubunge kupitia magamba dodoma mjini

Mkuu,halafu hawa hawa wanaowaita hawana elimu ndiyo wenye hoja zenye mashiko kule bungeni,ccm na elimu zao matunda yao ni rushwa tu na uwizi wa mali za uma.
 
Tunahitaji viongozi wenye utashi wa hali ya juu, maono na uchungu wa nchi yao kama kina marehemu Kawawa nk. Ila pia tunahitaji watendaji wasomi na wenye weledi wa kutosha ili kupeleka nchi yetu mbele.
Kuwa na viongozi wasomi wasio na utashi wala maono na uchungu halafu watoto wao kwa vile wako maisha bora wanabebwa katika elimu bila kuelimika kisha wanapewa nafasi nyeti katika idara na mashirika nyeti mwishowe ndani ya 50 years tunakuwa na nchi ya hovyo pamoja na kuwa na rasilimali za kutosha.
ImageUploadedByJamiiForums1394177005.179417.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1394177037.986065.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1394177076.511028.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1394177153.096145.jpgImageUploadedByJamiiForums1394177809.595162.jpg

Halafu wakati hali iko hivyo viongozi wetu hawo wasomi wao wanajirusha tena katika hali ya kutia mashaka na maadili yetu. Mfano huu hapa;
ImageUploadedByJamiiForums1394177974.541815.jpg

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Nimegundua jambo!

Kigezo cha kuchagua viongozi ni UZALENDO kwa nchi,na si elimu!

Ni Jana tu wasomi wamekwiba pesa kwenye akaunti maalumu benki kuu(BOT)!

Sasa nini maana ya kuwa na wasomi hawa wasio WAZALENDO kwa nchi?
 
Tuwekee pia CV za Job Lusinde, Maji Marefu na Mahenge (Jah People)
 
Unaweza kunipatia CV za Baraza zima la Mawaziri lililokuwepo wakati Mikataba mibovu ya Uchimbaji Madini, Mikataba mibovu ya Ufuaji Umeme ya IPTL, Ubadhirifu wa hali ya juu kwenye akaunti ya EPA, Ununuaji wa ndege mbovu ya Rais na Manunuzi tata ya Rada?
 
Mkuu,halafu hawa hawa wanaowaita hawana elimu ndiyo wenye hoja zenye mashiko kule bungeni,ccm na elimu zao matunda yao ni rushwa tu na uwizi wa mali za uma.

inatosha asibishiwe tena ili thread yake ya kinafiki itolewe haraka umenena vema mkuu ubarikiwe
 
Upeo wako kujadili masuala kama haya.elimu sio kujua kusoma tu hata kuvitumia ipasavyo unavyo soma.nakupa pole nape f4 ya 29 haizungmzii
 
Tunahitaji viongozi wenye utashi wa hali ya juu, maono na uchungu wa nchi yao kama kina marehemu Kawawa nk. Ila pia tunahitaji watendaji wasomi na wenye weledi wa kutosha ili kupeleka nchi yetu mbele.
Kuwa na viongozi wasomi wasio na utashi wala maono na uchungu halafu watoto wao kwa vile wako maisha bora wanabebwa katika elimu bila kuelimika kisha wanapewa nafasi nyeti katika idara na mashirika nyeti mwishowe ndani ya 50 years tunakuwa na nchi ya hovyo pamoja na kuwa na rasilimali za kutosha.
View attachment 143273
View attachment 143274
View attachment 143275
View attachment 143276View attachment 143278

Halafu wakati hali iko hivyo viongozi wetu hawo wasomi wao wanajirusha tena katika hali ya kutia mashaka na maadili yetu. Mfano huu hapa;
View attachment 143279

Sent from my iPad using JamiiForums

msamehe alietoa thread alikua hajui alitendalo
 
Mkuu,halafu hawa hawa wanaowaita hawana elimu ndiyo wenye hoja zenye mashiko kule bungeni,ccm na elimu zao matunda yao ni rushwa tu na uwizi wa mali za uma.
Hata mimi nashangaa kwani Miswada mingi yenye mashiko inayopitishwa bungeni huanzia upinzani, pamoja na kupata upinzani kutoka chama tawala.

Kama ndiyo hiyo ni heri kuongozwa na wenye elimu ndogo wenye kipaji cha uongozi na kusimamia haki kuliko kuongozwa na watu wenye Phd za kutafuta ili wapate ulaji lakini uongozi hawawezi!!!
 
Unapokuja mjadala wa viwango vya elimu CHADEMA huwa wanapata kigugumizi.

Call a spade a spade!
 
Back
Top Bottom