Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 56,941
- 46,442
Aise nimegundua kumbe wewe ni "limbulu" unaamua kujiongelea tu.
Wewe kauzu kweli unataka kulazimisha Lema kasoma SAUT wakati kaishia form 2.
Aise nimegundua kumbe wewe ni "limbulu" unaamua kujiongelea tu.
tuambie unachokijua!Mbona mnapenda kupotosha umma Lema hajawahi kusoma ST AUGUSTINE UNIVERSITY wala Wenje naye hajawahi kusoma.
Cc to.. Ngongo,
Alikuwa professa Lipumba mkuu,eti kesi ya ardhi na sio jinai,nilimdharau sana prof,na nikamuonea huruma,manake alidandia ile kesi kwa kasi ya ajabu halafu ikamtoa nishai.Nijuavyo elimu haipatikani darasani tu, kuna wasomi waliobobea lakini ni bure kabisa. Kuna michango na mawazo ambayo hutolewa na wenye shahada za elimu Bungeni hadi nashangaa.
Juzi juzi alipokamatwa Sheikh Ponda, msomi mmoja mbobevu na mwanasiasa, alinishangaza sana kwa maoni aliyoyatoa.
Hawa ni baadhi ya wabunge wa kuchaguliwa wa CHADEMA. Elimu ni muhimu ndio maana nimeona ni vyema mkafahamu viwango vya elimu vya viongozi ambao kesho na kesho kutwa tunatarajia wawe wawakilishi wetu katika medani za kitaifa na kimataifa:
1) Godbless Jonathan Lema -- BBA, ST Augustine --- Amevuliwa ubunge kwa sasa, kesi inaendelea.
2) Antony Gervase Mbassa - - Adv diploma - KCMC
3) Prof Kulikoyela Kanalwanda Kahigi --- Phd
4) Freeman Aikaeli Mbowe Form six
5) Highness Samsoni Kiwia ---- Secondary education O level
6) Simon Peter Msigwa - -- O level, Degree bible college.
7) Yohana Israel Natse --- Diploma in Education, Masters in theology.
8) Halima James Mdee --- Degree, UDSM
9) Zitto Zuberi Kabwe --- Degree (economic) UDSM, Masters degree (MLB)
10) Silvester Mhoja Kasulumbay Primary, Certifcate from Monduli Teachers college
11) John Magale Shibuda --- O LEVEL
12) Joseph Osmund Mbilinyi --- Form IV
13) David Ernest Silinde --- Degree(BCOM), UDSM
14) Mustapha Boay Akunaay Degree in law, Open University
15) Meshack Jeremiah Opulukwa --- Not updated
16) Philemon Ndesamburo --- Advanced diploma in Shipping
17) Said Amour Afri --- Primary school
18) Vicent Kiboko Nyerere -- O level
19) Ezekia Dibogo Wenje --- Degree, St Augustine
20) Joseph Roman Selasini --- Degree, UDSM
21) Tundu Antiphas Mughwai Lissu ___ LLM Masters degree
22) John John Mnyika --- CV not updated
23) Salvatory Naluyaga Machemuli ___ Degree DIT
24) Joshua Samwel Nassari Not updated
CV ya 'DR' WILBROD SLAA HII HAPA:
Kuzaliwa, elimu ya msingi na sekondari
Dk. Slaa alizaliwa tarehe 29 Oktoba 1948 katika Wilaya ya karatu. Alipata elimu ya msingi katika shule za Karatu na Kwermusi (Mbulu) kati ya mwaka 1958 na 1965. Alisoma elimu ya sekondari katika Shule za Dungunyi Seminari na Itega Seminari kati ya mwaka 1966 na 1971.
Mafanikio ya DK. Slaa kielimu na Kitaaluma
Dk. Slaa ana shahada na atashahada zifuatazo.
Sharada ya Uzamivu (PhD) katika Sheriaü ya kanisa kutoka Chuo kikuu cha St. Urban, Rome.
Stashahada ya Theolojiaü kutoka Kipalapala Seminari.
Stashahada ya falsafa kutoka Kiboshoü Seminari.
Stashahada ya Afya ya Macho kutoka Kituo cha Kimataifa chaü Macho.
Ni muhimu vyama kujipanga na kutokufanya mchezo na uongozi wa taifa. Sikujua mwaka ule Mbowe alipogombea urais, alipitishwa kwa vigezo gani? Uzoefu kazini au kitu gani hasa? Mtakaochangia mtatujuvya. Msitukane tu.
Kama mawaziri watatokana na wabunge, basi CHADEMA inaweza kuwa na wabunge ambao kielimu wanaweza kuwa kikwazo katika kutekeleza majukumu yao.
Indhari:
Chanzo cha taarifa hii ni kutoka kwenye web site ya bunge. Therefore, kama kuna kosa lolote unaweza kusahihisha. Si lengo kupotosha.
UJUMBE:
Tusidharau elimu wakati wa kuteua wagombea kuwakilisha watanzania.
WITO:
Tupeleke mapendekezo katika CRC ya kutaka mawaziri wasitokane na wabunge, kwa vile inaweza kuja kuwa tatizo kupata wabunge walio na sifa za kuongoza wizara.
Source please!!!! Tupe pia na wabunge wa CCM!!!!!
Acha vichekesho bwana. Sasa Lipumba utamlinganisha na nani katika list yako? Au kwa vile humpendi personally? Sema ukweli hata kama unauma. Lipumba is one of the resources TZ has, inatumikaje that is something else.Alikuwa professa Lipumba mkuu,eti kesi ya ardhi na sio jinai,nilimdharau sana prof,na nikamuonea huruma,manake alidandia ile kesi kwa kasi ya ajabu halafu ikamtoa nishai.
.This is not personal bro, its a matter of fact, wewe kama msomi na unakubali kutumika hovyo, basi you are as useless au nothing,ni bora darasa la saba asiye kubali kutumika kuliko prof anayetumika.Na hii ndo inanipa picha sasa kwa nn Mkapa alimdisapprove.Acha vichekesho bwana. Sasa Lipumba utamlinganisha na nani katika list yako? Au kwa vile humpendi personally? Sema ukweli hata kama unauma. Lipumba is one of the resources TZ has, inatumikaje that is something else.
.This is not personal bro, its a matter of fact, wewe kama msomi na unakubali kutumika hovyo, basi you are as useless au nothing,ni bora darasa la saba asiye kubali kutumika kuliko prof anayetumika.Na hii ndo inanipa picha sasa kwa nn Mkapa alimdisapprove.
Huyu Bayana ni mweupe kuliko anaojaribu kuorodhesha. Last time nilisema siyo lazima mtu uchangie au kuanzisha mada kama unajua ni pumba. Namhurumia sana huyu bwana kuwa na mada za kushambulia CDM bila msingi wowote. Ukweli ni kwamba sasa magamba wanaona silaha zote walizokuwa nazo zimeisha imebaki propaganda ambayo kwa watz haina nafasi. Hapa M4C ni mbele kwa mbele na njiani tingatinga haliachi kitu wakla kidude mtu. Nendeni mkatatue kero za wananchi ndio siri ya kuteremka chati. Haisaiddi kuendelea kupiga mawingu rangi ambayo inamwagika chini.
Vipi unataka afananishe na Nchi za kigaidi kama Iran?Chalii angu usifananishe Tanzania na Marekani hata siku moja. Bora ungefananisha Tanzania na Burundi, Malawi. Zambia.
Vipi lwo utakuja na thread ya Mnyika au Mdee sijakuona siku nyingi sana hapa jamvin na zile single zakoViongozi wa CDM ni majanga ya taifa, tusije tukawapa uongozi wa nchi watu waliozoa kuendesha chama kama vikao vya kitchen party
Unajua USA ina marais wangapi ambao hata hawakuwa na diploma?
Ok hao wenye degree zao walioko CCM na serikalini si ndio wametufikisha hapa tulipo hoi bin taaban? Je hizo elimu zao (Chenge ana digirii ya Harvad) zimelisaidiaje hii nchi mpaka sasa?
Huwezi kutumia kigezo kimoja au viwili linapokuja suala la uongozi, iwe wa jumuiya, chama au nchi.
Anza na ya Mulugo, Lukuvi, Lusinde Lameck Airo na baba lao Dr JK!