Hivi ndivyo viwango vya elimu vya 'majembe' ya CHADEMA!

Kwa mtindo huu, inaweza ika vigumu kwa CHADEMA kupigana na ufisadi ikiwa mnatetea chochote kile kinachohusu chama chenu. Hamtakuwa tofauti na CCM! Kwa mtizamo wenu Mpoki yule wa Ze Comedy anaweza kuwa rais kwa vile ni mzalendo!

Leo ndio mnathibitisha uwezo wenu wa kufikiri. Endeleeni tunawasikiliza!
 
11) John Magale Shibuda --- O LEVEL
kwa taarifa za uhakika huyu hajamaliza sekondari. Alikuwa Moshi Technical na kijana mpinga ngumu mzuri. Alikataa shule akiwa kidato cha pili/tatu na kwenda kufanya kazi General tyre. Kwa kifupi, John magale shibuda anacheti cha darasa la saba tu

Halafu mtu kama Shibuda nae anaota kuwa Rais wa nchi hii, huu ni upuuzi, nchi hii bwana, hata vilaza wanataka kuongoza, haya ndo mambo ya akili ndogo zinataka kuongoza akili kubwa!
 
Sina uhakika kama CV ya Mbowe ipo sawa. Nadhani ana Masters kama sikosei. Wanaomfahamu kwa karibu wafuatilie.

Lakini kwa upande mwingine, elimu na utendaji ni vitu viwili tofauti kabisa. Tuna madokta na maprofessor wengi tu kwenye serikali ya CCM na bado hawajaweza kuleta mapinduzi yoyote yenye tija kwa taifa letu zaidi ya kulitia umaskini mkubwa usiomithilika. Nchi hii iliwahi kuwa na waziri mkuu mwenye elimu ya kawaida kabisa (Mzee Kawawa -RIP), na bado akaitumikia nchi kwa uaminifu mkubwa kuliko hao wenye PhD, Masters na vinginevyo.

Kwa mfano kwa elimu ya O-level mimi sioni kama ni shida kwa mtu kama huyo kuongoza nchi hata kama ingekuwa kwenye level ya urais. Kuna mtu anasema ingekuwaje kama Rais angekuwa hajasoma. Mimi namshangaa kwani Rais ndiyo amesoma kuliko Watanzania wengine wote? Mbona ana bachelor tu tena gentlemen na bado anawaongoza wenye PhD, post docs na Maprofessor? Idd Amin alikuwa na elimu gani na aliwaongoza waganda wenye elimu gani? Kule Njombe kaskazini sisi tuna mbunge Jah people hakuwahi kuingia darasani hata siku moja. lakini ndiyo mbunge wetu. Huwezi kumlinganisha hata na mbunge mmoja wa CHADEMA.

Tuache kupigia talumbeta mambo yasiyo na umhimu, tuangalie kwanza mambo ya msingi ambayo taifa letu kwa sasa linapungukiwa. Na tuangalie hawa watu pamoja na usomi wao mdogo wana mchango gani bungeni na katika mabadiliko ya kiuchumi na kijamii katika nchi yetu?
 
Kwa mtindo huu, inaweza ika vigumu kwa CHADEMA kupigana na ufisadi ikiwa mnatetea chochote kile kinachohusu chama chenu. Hamtakuwa tofauti na CCM! Kwa mtizamo wenu Mpoki yule wa Ze Comedy anaweza kuwa rais kwa vile ni mzalendo!

Leo ndio mnathibitisha uwezo wenu wa kufikiri. Endeleeni tunawasikiliza!

Ha ha haaaaa, aisee, nimecheka sana, ki ukweli binafsi siipendi CCM, navutika kwa CDM, lakini linapokuja suala kama hili, bado wanatetea ujinga, wana boooore!
 
Sina uhakika kama CV ya Mbowe ipo sawa. Nadhani ana Masters kama sikosei. Wanaomfahamu kwa karibu wafuatilie.

Lakini kwa upande mwingine, elimu na utendaji ni vitu viwili tofauti kabisa. Tuna madokta na maprofessor wengi tu kwenye serikali ya CCM na bado hawajaweza kuleta mapinduzi yoyote yenye tija kwa taifa letu zaidi ya kulitia umaskini mkubwa usiomithilika. Nchi hii iliwahi kuwa na waziri mkuu mwenye elimu ya kawaida kabisa (Mzee Kawawa -RIP), na bado akaitumikia nchi kwa uaminifu mkubwa kuliko hao wenye PhD, Masters na vinginevyo.

Kwa mfano kwa elimu ya O-level mimi sioni kama ni shida kwa mtu kama huyo kuongoza nchi hata kama ingekuwa kwenye level ya urais. Kuna mtu anasema ingekuwaje kama Rais angekuwa hajasoma. Mimi namshangaa kwani Rais ndiyo amesoma kuliko Watanzania wengine wote? Mbona ana bachelor tu tena gentlemen na bado anawaongoza wenye PhD, post docs na Maprofessor? Idd Amin alikuwa na elimu gani na aliwaongoza waganda wenye elimu gani? Kule Njombe kaskazini sisi tuna mbunge Jah people hakuwahi kuingia darasani hata siku moja. lakini ndiyo mbunge wetu. Huwezi kumlinganisha hata na mbunge mmoja wa CHADEMA.

Tuache kupigia talumbeta mambo yasiyo na umhimu, tuangalie kwanza mambo ya msingi ambayo taifa letu kwa sasa linapungukiwa. Na tuangalie hawa watu pamoja na usomi wao mdogo wana mchango gani bungeni na katika mabadiliko ya kiuchumi na kijamii katika nchi yetu?

Kwa maana hiyo elimu haina umuhimu? ya O'Level tu inatosha! Haina haja ya kuwa na Vyuo viingi, si ndo manake? sikubaliani na wewe!
 
Marekani ni nchi na Tanzania ni nchi lakini level tofauti.
Sasa kuna shida gani ukijifunza kwa aliyekutangulia? If they could afford to have those ilks on MERITS why not us?

Kuna mchangiaji mwingine humu alidhani nina-downgrade umuhimu wa elimu. In context tunazungumzia viongozi hapa. So pamoja na elimu kuna suala la maadili na vipaji (talents and in-born gifts). Mnaonaje tuwe na maProf na maDr wasio na maadili wala vipaji vya uongozi kama 'viongozi' wetu?

Ni bahati mbaya sana hapa nyumbani kazi za kitaalam huwa zinafanywa na wasio wataalam. Lakini tunapozungumzia uongozi sidhani kama tunapaswa kuchanganya na utaalam (be it specialty or profession). Unaweza kuwa kiongozi mzuri lakini huwezi kuwa na utaalam wa kila kitu. Utahitaji wataalam na lazima utawatumia vizuri kwa manaufaa ya umma, hiyo ndio sifa nyingine ya kuwa kiongozi bora.
 
Kwa maana hiyo elimu haina umuhimu? ya O'Level tu inatosha! Haina haja ya kuwa na Vyuo viingi, si ndo manake? sikubaliani na wewe!

Mkuu Ukitafakari sana Elimu haina Umuhimu Kiviiile. Inakufanya Unakuwa Mtumwa tu. Ukiangalia What Mbowe (Form Six Leaver ) has achieved katika Maisha yake ni Tofauti kabisa na Jakaya Kikwete (A graduate Economist ASIYEJUA why we are Poor)
 
Matusi hayana msaada cha msingi ungewashauri viongozi wako wa Chadema wajiendeleze kielimu dunia ya sasa inaitaji viongozi wasome.

Mleta uzi hana nia njema na kakaa kimtego zaidi. Hata hivyo kusema ukweli sio matusi.
 
nilisubiri watu watoe maoni yao ili nione anaekanusha. hajajitokeza hata mmoja. kama ni kweli basi CCM ITATAWALA DAIMA. kumbe chadema ni upayukaji usokuwa na utafiti. "kichwa kisicho na elimu kitapayuka tu" Dr. Nkwame Nkrumah
 
Naomba tujiulize maswali,
>hawa ndio wanaoinyima serikali na chama tawala usingizi,wanaoingiza hiz taarifa za wabunge kwenye mtandao wa bunge ameajiriwa na nani kama si serikal inayoundwa na CCM?,watendaji wa chama tawala watashindwaje kuwachakachulia CV zao tu kwasababu wana nia yao ya kuchukua nchi.

>Tusiwe wepesi kuamini kila kitu,hivi mmoja kati ya hawa jamaa wakishindanishwa na rais kutoa speech iwe formal au informal it's obvious rais ataweweseka.

Ukifuatilia vizuri hawa jamaa wana uelewa na taaluma ya uongozi,elimu ya darasani inaweza isiapply popote katika uongozi wake kwahiyo these guys are superb!
 
Narudia kusema tena Wenje hajawahi kusoma ST Augustine...wewe hunajua kama Wenje alikuwa mwalimu tu wa kawaida pale Mwanza Thaqafa Sec. Uzuri JF sio sehemu ya majungu wala porojo weka CV ya Wenje tuone lini alisoma hicho chuo.

acha ujinga Ritz na kama kitu hujui ni bora ukae kimya kuliko kupiga propaganda za kike humu kwani kuna faida gani kudanganya mtu usimyemjua? Wenje ana Degree ya SAUT na kasome na wakina Moses Maachali na mpka muda huu mkosamali naye anasoma hapa SAUT degree ya sheria.
 
Back
Top Bottom