Wazee wenzangu (mabibi na mabwana),
Natumain mko wazima kabisa..
Mim Mwanaume, na Nafikisha miaka 30 this year,.
Unajua kwenye maisha kuna mambo meng tunafanya kwa kukusudia yawe mazuri au mabaya, ila mara nyingi tunajutia yale mabaya...
Najuta sana kuwa addicted na Bia, na ninaona kabisa ni adui yangu ila haipit siku bila kuuweka, this hurts Me sana...
Kuna aliyeweza kuacha bia kabisa na aliwezaje?. Nataman niachee, chaah! this too Much
NB: ushaur wa kukaa mbali na vishawishi au mbali na washkaj nishajarib na haujafaa, maana kiu ya bia hatar sana,. Hata ukikaa.mwenyewe utaitafuta.