Hivi nani aliweza kuacha pombe kabisa?

Hivi nani aliweza kuacha pombe kabisa?

Nilianza pombe 2000 hadi kufikia 2010,siku ambazo sikunywa pombe hazizidi 5,

ha ha ha,

leo ni miaka 6,tangu 2012 sijaweka pombe mwilini,
inahitaji uamzi tu,

na lazima uteseke kwa miezi miwili mitatu wakati alicohol ikitoka ndani ya mwili
 
mimi nimejitaidi sana kuacha ila lazima sometime nionje, ila sio kama zamani saizi huwezi amini nikinywa k vant na bia moja inanipeleka vibaya mno sio kama zamani, naweza tupia k vant 2 na bia zangu za eagle kama 5 au 7, ilifiia kipindi nasahau kula nikaona huku ni kuji tua kaburini
 
Sometimes stress za Maisha zinatufanya tuwe hivi, umeikabili vip hii hali
 
mkuu nimebadilisha maziingira ambayo nilikuwa nime zoea ila nikipata stress tu mzee lazima ni tupie japo sio sana naweza kaa miezi miwili au mi tatu sijanywa, na kingine kuwa na tabia ya kujipa majukumu japo najua hapa ni pagumu sana mfano pesa unayo lewa sana wekeza kwenye shamba,au kitu kingine tofauti
 
Ngumu sana lakin inawezekana tuu ..Sema inatosha kutoka moyoni kabisa roho ikiwa radhi utajitahidi tu na mwili uwe radhi usiwe dhaifu
 
Aisee pombe acha tu, ilifika mahali nikinywa namuota marehemu mamaangu ananionya kwamba " mwanangu acha pombe unaelekea kubaya" nikiamka napatwa na uchungu nakaa kitandani nalia weeee!! Halafu naenda kazini,

Kuna kipindi kikafika mizimu yangu ikagoma kuwa nisijaribu tena pombe, nikaacha nilikuja kujaribu ikawa kero nikaacha mazimaaa!!

Pombe sio jambo la maana ikikuzidi ni utumwa, unaweza kuharibu future yako kizembe sana.
 
kweli mkuu kuna mda ina kupeleka bila hata kutaraji, imenikosa kosa sana na kifo sema nilijitaidi kulaa kuna mda nilikuwa nagongaa BANANA kama maji hadi wazee wananiogopa maana tokea asubuhi hadi jioni niko eneo la tukio na hapo bado niko fit ila ikaja ku kwangu utubo achaaa sema saizi nimetulia kwanza
 
Nilianza pombe secondary form 2 (Double Punch) mpaka nafika chuo mwaka wa 1 nimekubuhu na Mabapa!..
Lakini siku moja nikawa sina hela ya kula niliispend yote kwenye pombe!, nikaamua kuanzia sasa mimi na pombe basi!.
Naongozana na friends bar naagiza Malta nikipiga 2 na coca 1 fresh!. toka 2013 hadi leo sijawahi gusa bia wala dry gin!.
Maamuzi toka moyoni!.
 
Yaani mkuu acha tu, pombe sio ishu ya maana, raha ya pombe kuopoa mademu wazuri kirahisi baasi,
 
nikutafute nikupe offa hauta gonga kweli
 
kuna kipindi nilikuwa tu much lazima asubuhi nigonge vitu ikifika saa nne nimesha pendeza kitambo sasa. nikawa na tabia ya kutongoza wamama wa watu aisee niliwatafuna na huwa nawapaga shikamo zao maana walijuaga mimi ni mstarabu ila akinikuta anga zangu hachomoi, lazima aliwe nilikuwa nime bakisha 3 kati ya 8. nikaona huku sio. nitakuja kufa mara mbili
 
Yaani mkuu acha tu, pombe sio ishu ya maana, raha ya pombe kuopoa mademu wazuri kirahisi baasi,
kweli ukiwa maji lazima upate demu hata akiwa anakusumbua vipi, na kuna mda inakupa kujiamini sana. sema sasa ikikuzidi utaisoma namba na kingine heshima huwa ina shuka kwa jamii tofauti inayo kuzunguka. NA KIKUBWA HARUFUUUUUUUUUUUU
 
Back
Top Bottom