Tambo zoote hizo yuko nyumba ya kupanga , kulipia tu umeme na maji ni mbinde, humu Jf anajiita kidumeEeeeeeeeeeeeh, kumbe kipimo cha Dume zima ni Kuwa na gari, je kama mtu anamiliki Nyumba za Kutosha na miradi? mie nahisi we uwezo wako mdogo wa kupambanua mambo
Ntakuwa wa kwanza kujaa kwenye kumi na tisa zako. Omba nisikuguse maana ukiguswa na mimi inakuwa zamu yako kujaaa mwenyewe kwenye asilimia mia zangu.Nikipita na gari hata ww sikutongozi. Unajaa mwenyewe kwenye kumi na tisa zangu
Magu anakazi na Tanzania ya viwanda....Ukiwaza gari wenzako wanawaza zaidi ya gari...............................................
Alisahau kama ana baba..Baba ako anayo mangapi?
Au sio mwanaume...?
Anataka mumpe lift!NAOMBA NICHEKE KDG
[emoji12] [emoji12] [emoji12] hiv mwanaume kutokua na Gari ww inakuuma nn? unataka lift? n matter of priorities. Hana gari akaamua awe na private jet au boat. Au umekariri kutokua na Gari basi n umaskin.
Unajua kuna vitu vinashangaza sana. Dume zima mpaka miaka hamsini huna hata gari la mabati. Sa unafanya kazi ya nini. Lengo la kazi upate vitu vizuri banah!
Yaani dume zima unakosa hela ya usafiri kama huu[emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 516377au basi hata magari ya mbebez na vitoto kama haya[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 516378
Au
View attachment 516379
Wanaume wengi wa jf ni wanapenda usafiri huu
View attachment 516380
Fanyeni kazi mpaye hata matoroli ya kutembelea khaaa...
Kumbuka kitu pekee cha kumtuliza mwanamke ni
View attachment 516381
Na
View attachment 516382
Mapenzi hata mmbwa anajua
Dr. H. Rweyemamu
Sawa bossGari langu mimi ni mshahara wako wa miaka kumi na kenda